Miaka gani bwashee?Mimi nimesoma sana, Kwanza nimepiga PCB degreee pia nikapiga miaka 6.
I think it was too much, Ningeweza pita shortcut nianze maisha mapema.
Kuolewa 24 yrs unajutia nn?.Makosa mawili.
1. kuolewa at 24years.
2. Kutokuwa na mahusiano binafsi na Mungu
Kununua Gari yangu ya Kwanza (ya kutembelea)...nikiwa na miaka 19...ilikuwa wakati wa kuchanua kwangu kiuchumi...gari ilifanya uchumi wangu ukasinyaa badala ya kuchanua!...Sitausahau mwaka 2008 kamwe!Ni kosa gani la kifedha au kimaisha ulilofanya ukiwa kijana ambalo unatamani ungeliepuka?
Ushauri:Kununua Gari yangu ya Kwanza (ya kutembelea)...nikiwa na miaka 19...ilikuwa wakati wa kuchanua kwangu kiuchumi...gari ilifanya uchumi wangu ukasinyaa badala ya kuchanua!...Sitausahau mwaka 2008 kamwe!
Ushauri:
Vijana, unapokuwa na nafasi nzuri ya kiuchumi (unaingiza kipato kikubwa)...katika umri mdogo, Jaribu kutengeneza japo wazee wawili ama mmoja,(wanaojitambua) waliokuzidi umri...hata kama kiuchumi hawako vizuri...wawe marafiki zako...wa kukushauri katika nyanja ya kiuchumi na fursa zinazokuzunguka...utakuja-nishukuru baadae!
Nilikuwa na nafasi ya kuwekeza sana kipindi kile, fursa zilikuwa nyingi sana mahala nipokuwepo, nilikosa washauri wa kunizunguka..nilizungukwa na weka tuweke!(wala bata).
Miaka gani bwashee?
Sawa upo hospital gani kw sasaDegree yangu ni 5 yrs, 1 internship.
Nimemaliza chuo nina miaka 25.
Kuolewa 24 yrs unajutia nn?.
Au ulitaka uzoefu kidogo kazin kwa kuwa na mahusiano meng meng😊😊😊.
binafsi kuolewa ukiwa na umri mdogo sion shida. Hasa kama umepata mtu sahihi. Na ww uwe u ajiweza . Umesoma na una kipato chako.
Kwa bahati mbaya sana waulize wengi wanajutia, ila sio wote wanaweza kukiri.Kuolewa 24 yrs unajutia nn?.
Au ulitaka uzoefu kidogo kazin kwa kuwa na mahusiano meng meng😊😊😊.
binafsi kuolewa ukiwa na umri mdogo sion shida. Hasa kama umepata mtu sahihi. Na ww uwe u ajiweza . Umesoma na una kipato chako.
Pole,umeandika kwa hisia sanaKosa nililolifanya nikiwa na miaka 20+ ni kumuamin mwanamke ambaye niliamin kabsa kuwa ni mwanamke sahihi sana kwangu!
Nikiwa katka mahusiano nae (mkoa mmoja wilaya tofauti), kumbe mwenzangu kule ananipga matukio wakat huo mm nahudumia na kutoboka kwelikweli huku naishi kwa uaminifu sana!
Kufupisha stori; Nilimuoa ila nilikuja kugundua alinipga matukio mengi sana had kuniletea mimba isiyo yangu akidai yangu, nishazaa nae watoto wengne, bado pia anavitabia vingne vya ajabuajabu.
Hapa nilishamtunza tu nasubl nije nimbwage nivute pisi nyinge nianze maisha upya kabsa (watoto nitawachukua, ngoja wakue kidogo)!
Huwa inaniuma sana na najuta kumuamin na kumpa nafas huyu mwanamke, katka maisha yangu hayo ndo maamzi mabovu kabsa nimewah kufanya!
Totoz si bado uko nao lakini?Kuhonga totozi , nikiwa na miaka 21 nilipiga pesa sana, na mwana ambae ndio alinifahamisha jf na humu yupo , kitu sitakaa nisahau nilihonga sana na kukodi magari , kufanya tambo laiti ningekua na akili za sasa hapa nilipo ningekua mbali zaidi
Ndio ,ila sio kivile😁Totoz si bado uko nao lakini?
Sawa bhanaNdio ,ila sio kivile😁
Tulia 😄Sawa bhana