Oho
JF-Expert Member
- Jul 21, 2026
- 477
- 1,245
Kosa la kimaisha ambalo nilifanya, kuanza kufanya mapenzi kabla ya ndoa. Huwa nikikumbuka moyo unaniuma sana, ningeweza ningejitunza kwa mala ya kwanza nikafanyia ndoani.. ila ndio basi tenaNi kosa gani la kifedha au kimaisha ulilofanya ukiwa kijana ambalo unatamani ungeliepuka?