Makosa ya Umri wa Miaka 20

Makosa ya Umri wa Miaka 20

Ahaaa ngoja nione kama nikifika 30 nitajutia haya maamzi ninayofanya leo
image_7e1cc8c.png
 
Mwaka 2013 , ndio mwaka naajiriwa. Kazi ya kwanza. Tulikuwa watu 6. Tumeajiriwa kwa pamoja.

Mwaka 2016 nikahama pale. Coz salary ilikuwa haijapanda kwa muda mrefu. Nikahamia sehem nyingine ambayo salary inazidiana 400k tu

wale 6 tuliajiriwa pamoja. Mmoja nae aliondoka. Wengne wako hadi leo.

Ajabu ni kuwa sasahivi wote wanne wana vitengo vizur. Wanakunja sio chini ya 5 Mill. Na wamepewa magar na ofisi. Nissan Hardtop zile. 😊😊😊😊 ila wako mikoani.

Nawaonea wivu dizain. Maana na mm ningekuwa humo humo. Dah.

Kosa ni kuhama kampun kwa kukimbilia top up ya 400k. 😑😑😑😑
 
Kosa nililolifanya nikiwa na miaka 20+ ni kumuamin mwanamke ambaye niliamin kabsa kuwa ni mwanamke sahihi sana kwangu!

Nikiwa katka mahusiano nae (mkoa mmoja wilaya tofauti), kumbe mwenzangu kule ananipga matukio wakat huo mm nahudumia na kutoboka kwelikweli huku naishi kwa uaminifu sana!

Kufupisha stori; Nilimuoa ila nilikuja kugundua alinipga matukio mengi sana had kuniletea mimba isiyo yangu akidai yangu, nishazaa nae watoto wengne, bado pia anavitabia vingne vya ajabuajabu.

Hapa nilishamtunza tu nasubl nije nimbwage nivute pisi nyinge nianze maisha upya kabsa (watoto nitawachukua, ngoja wakue kidogo)!

Huwa inaniuma sana na najuta kumuamin na kumpa nafas huyu mwanamke, katka maisha yangu hayo ndo maamzi mabovu kabsa nimewah kufanya!
 
Pole
 
Kwa tuliokulia maisha magumu sana huku elimu zenyewe za kuunga unga na familia zikitegemea matokeo mazuri baada ya kuondoka home kwa umri huo tulikuwa hatuna cha kupoteza,kila cent ilikuwa na thamani.

Binafsi ndiyo umri ulionipa vyote nilivyo navyo leo mpaka mke,ninapoishi leo nilipanunua nikiwa na 22 yrs so unaweza ukaona jinsi nilivyokuwa muoga wa maisha na muda.
 
Kosa nililolifanya nikiwa na miaka 20+ ni kumuamin mwanamke ambaye niliamin kabsa kuwa ni mwanamke sahihi sana kwangu!

Nikiwa katka mahusiano nae (mkoa mmoja wilaya tofauti), kumbe mwenzangu kule ananipga matukio wakat huo mm nahudumia na kutoboka kwelikweli huku naishi kwa uaminifu sana!

Kufupisha stori; Nilimuoa ila nilikuja kugundua alinipga matukio mengi sana had kuniletea mimba isiyo yangu akidai yangu, nishazaa nae watoto wengne, bado pia anavitabia vingne vya ajabuajabu.

Hapa nilishamtunza tu nasubl nije nimbwage nivute pisi nyinge nianze maisha upya kabsa (watoto nitawachukua, ngoja wakue kidogo)!

Huwa inaniuma sana na najuta kumuamin na kumpa nafas huyu mwanamke, katka maisha yangu hayo ndo maamzi mabovu kabsa nimewah kufanya!
Endelea nae,usiwe baba wa matabaka Kila mtoto na mama yake!
 
Back
Top Bottom