Mara 4R, Mara mardhiano....... haya yote ameshidwa na vigogo ndani ya CCM
View: https://youtu.be/Ku52ZOjs0oQ?si=N3mmmLL4TrSqjbhQ
View: https://youtu.be/Ku52ZOjs0oQ?si=N3mmmLL4TrSqjbhQ
Sawa, kachukueni nchi nyie chadema basi kama hayupo.
Nje mada kidogo, hivi tone tone inaendeleaje huko makamanda wetu wa ukweli?!!!!!
Sawa.
Acha hii tabia kama wewe ni mwanaume, kama ni mwanamke inakufaa.Sawa, kachukueni nchi nyie chadema basi kama hayupo.
Nje mada kidogo, hivi tone tone inaendeleaje huko makamanda wetu wa ukweli?!!!!!
Ipo hiyo mkuu, ya kuulizia mwenendo wa tone tone?!!!!Acha hii tabia kama wewe ni mwanaume, kama ni mwanamke inakufaa.
Wee unaishi wapi? Hujui mahakama imefungia akaunti zote za Chadema?Sawa.
Vp tone tone huko kamanda?!!!!
Rais Samia sio malaika ni binadamu, kwenye binadamu, hakuna mkamilifu, hivyo anaruhusiwa kukosea. Rais Samia, sio malaika ni binadamu anaweza kukosea. Tusimlaumu, kumshutumu na kumponda kwa makosa ya kukoseshwa. Tumvumilie tumpe mudaMara 4R, Mara mardhiano....... haya yote ameshidwa na vigogo ndani ya CCM
Sawa. Vp tone tone lakini?!!Wee unaishi wapi? Hujui mahakama imefungia akaunti zote za Chadema?
Huyo mama wenu amekuwa mwehu!View attachment 3416036
Mke wangu kawekewa makalio ya mama pale MlogazilaWewe utakuwa
View attachment 3416050
Sawa, vp lakini kuhusu tone tone kamanda?!!!Wewe utakuwa
View attachment 3416050
Rais Samia sio malaika ni binadamu, kwenye binadamu, hakuna mkamilifu, hivyo anaruhusiwa kukosea. Rais Samia, sio malaika ni binadamu anaweza kukosea. Tusimlaumu, kumshutumu na kumponda kwa makosa ya kukoseshwa. Tumvumilie tumpe muda
Hakuna hata rais mmoja wa Tanzania ambaye hajawahi kukosea, na ukifanyika a comparison analysis, Rais Samia ndiye rais wa Tanzania mwenye makosa kidogo compared na wengine!.
P