Makosa kwa CCM-Mama Samia: Wapinzani sasa ni Mamilioni ya Wananchi na sio vyama tena!

Kamundu

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2006
Posts
9,268
Reaction score
13,892
Makosa kwa CCM-Mama Samia: Wapinzani sasa ni Mamilioni ya Wananchi na sio vyama tena!

Yaani walivyo wazito kuelewa bado wanahangaika kuwashika Heche na Lissu bila kujua kwamba wamesha chelewa tena sana. Elimu tayari imeingia Wananchi wa kawaida kuhusu HAKI na bahati mbaya uzembe wa serikali wamekuwa wakifanya mambo bila mkakati ya utekaji, utesaji hata kwa walienda mahakamani na rushwa za waziwazi hasa wa watu wa usalama na viongozi wa juu. Chadema walikuwa watoa elimu lakini ni pamoja na wanaharakati wengi ambao wengine hawapo hata Tanzania.

Hivyo Mama Samia leo hata ukimtoa Lissu na Heche bado hautazuia harakati mpaka kuwe na katiba mpya inayotoa haki na serikali ionyeshe kwa uwazi kwamba ina pambana na rushwa na viongozi wa usalama ambao ni wauaji. Bila haya nchi haitaweza kutawalika. Kuna uwekezaji tayari tumeukosa kutokana na hizi chaguzi za Samia lakini kuna kampuni zinataka kuondoka kutokana na kufungiwa kwa mitandao ili tu kumlinda Samia. Nchi yetu tayari imeshatolewa kwenye nchi zenye uchumi wa kati sasa nchi yetu imerudi kwenye nchi kundi la nchi masikini sana! na zenye vita.

Ushauri mbovu kwa hawa CCM na Mama wa kufikiri tatizo ni vyama ! ni kutokuelewa Tanzania ya sasa. Upinzani wa sasa ni kama Mafia hauna kiongozi, hauna umri na uso na hawataki maridhiano zaidi ya vitendo. Yaani sasa ulimwengu mzima unajua kuhusu mambo mabaya ya Tanzania hatuwezi kurudi kama zamani. Mama Samia anashinda kwenye vikao vya CCM lakini CCM ina wanachama 15M tu na wengi wao hawaungi mkono yanayoendelea. Vijana wengi ndani ya jeshi nao wapo na wananchi msije kufikiri huko mbele itakuwa powa tu kwa kuweka wanzanzibari kwenye vyeo vya juu. wapinzani wakubwa sasa sio vijana pekee hata wazee wamekuwa wapinzani kwasababu ya kiburi cha viongozi wa sasa. Vijana wamejifunza kwamba wanatakiwa kujua maji za viongozi zilipo na vibiriti vipo kila mahali hivyo amani kwa sasa dawa yake ni HAKI tu sio maridhiano ya Chadema, ACT wazalendo au kununua wapinzani.
 
Hakika!
 
IMG-20251106-WA0039.jpg
 
Muuaji Samuya elimu yake ndogo, hawezi kuona futi mbili mbele.
 
Back
Top Bottom