Niko Mkuu Sema Majukumu Ndio YanabanaLong time no see you.. U gud?
Bora hiki kinalika.
Pressure cooker hio.
Amini nakuambia, hawa dada zetu wa sasa wa hapa mjini (hususani wasomi, modern girls) kwa sasa, huenda zaidi ya 80% yao hawajui na hawapendi kabisa kupika chochote, sio ugali, wali, pilau, kuunga mboga, hata kupika chai hawajui.Umenikumbusha demu wangu wakichaga alikuja geto kwangu nikajitutumua nikanunua Sato wa 16k kipindi hicho ili anipikie nilikuta kampika kama alivyo hajamparua magamba na hajamchuna kutoa uchafu (utumbo) tumboni!!
Aiseee basi tu upendo huu nilijifanya kula lakini nikashindwa ikabidi kesho yake ninunue mwingine na nimfundishe kupika.
Kimoyo moyo nilikuwa najisemea huyu ndo nioe huyu?
Sasa kama pic no.1 kuna jambo tena....Hahahaha
Kwa kiasi fulaniNa kujisahau
Huyu alikuwa hajui kabisa, asamehewe tu
Kabisa.Ubahili wa kipare!?😀