Huwezi toa maelezo ya mashairi unatambua wazi quran ni mashairi
Muhamad amekopi hadithi za bible wakatengeneza mashairi wakishirikiana na Hasan bin thabiti
Hakuna kitabu hapo ujue hayo ni mashairi kama diwani ya mloka ndiio maana waislam wengi utawakuta wanasoma quran kwa mtindo wa kuimba bila ya kujua maana kwakuwa ni mashairi
Nacheka sana,ushairi ile ni elimu bro. Nimekuwekea vitabu kukuonyesha ya kuwa madai unayoyaleta wewe waliyaleta wakubwa na mabingwa wa mashairi tangu zama za mtume amani ya Allah iwe juu yake,lakini walishindwa.
Nakuuliza swali ni wapi swahaba Hassan bin Thabiti alimfundish mtume ? Hapa nataka ushahidi bro.
Ushairi ni elimu hata katika Kiswahili elimu hii ipo. Tafuta kitabu "Sheria za kutunga Mashairi na Diwani ya Amri" kitabu hiki kimeandika na Sheikh Kaluta Amri Abeid ili uone namna ya utunzi wa tungo una kanuni zake. Sasa elimu hii katika kiarabu ndio imekita mizizi hasa.
Soma vitabu nikivyokupa ili uelewe na uache kuandika mambo kwa mihemko na chuki za kijinga.