Kaka utakuwa na matatizo ya uelewa sio bure.Ndio maana nikakumbia hakuna anayejua muda na siku ktk dunia ya leo
Kinchobaki ni kukaa na kukubaliana ktk jamii husika mpange na kutumia kalenda yenu husika mfano waislam walikaa na kukubaliana kalenda yao ianze baada ya hijiria
Kama muda na tarehe na masiku yangekuwa sawa duniani kungekuwa na kalenda moja tu duniani
Kitendo cha kuwepo kalenda nyingi duniani kunathibitisha hakuna anayejua muda kila mtu anapanga muda kutokana na kalenda yake kulingana na mazingira yake
Quran imetungwa na watu tu, tena ngumbaru kamaulivyosema wasiojua kusoma.
Ndiyo maana imejaa contradiction.
Hapa unaambiwa Allah ana rehema zote na ni Mungu wa haki.
Pale unaambiwa kuna watu Allah anawafunga mioyo, macho na masikio, wasimjue. Kisha anawahukumu kwa adhabu kubwa sana, kwa sababu hawakumjua.
Sasa mtu hujiulizi, huyu Allah mwenye rehema kubwa sana, mwenye upendo mkubwa sana, mwenye haki kuu, kwa nini anawafunga macho, masikio na mioyo viumbe wake?
Allah akiwafunga macho, masikio na mioyo viumbe hao, maana yake hata wajitahidi vipi kumjua Allah, hawatamjua.
Sasa anawafunga macho, masikio na mioyo, wasimjue. Halafu, wasipomjua, anawaadhibu kwa kutomjua.
Huyo Allah ni Mungu au kichaa?
Yupo kweli? Au hadithi za kutungwa na watu tu?
Kaka utakuwa na matatizo ya uelewa sio bure.
Ushawi kumuona iblis au huyo shetani?
Si umuulize Ibilis bin Shetani, Atheist mwenzako !!!
Aliwaonea wivu wao wana kitabu, Wwaarabu hawakuwa na kitabu.
Mpaka alikuwa anawaita "watu wa kitabu".
Ikabidi na yeye atunge kitabu ili Wwarabu nao wawe na kitabu.
Hapo ndipo uongo wote wa Quran ulipoanzia.
Ukiisoma unaona kabisa imeandikwa na ngumbaru asiyejua kuandika mambo kwa logical consistency, si kitabu cha Mungu.
Si umuulize Ibilis bin Shetani, Atheist mwenzako !!!
Aliwaonea wivu wao wana kitabu, Wwaarabu hawakuwa na kitabu.
Mpaka alikuwa anawaita "watu wa kitabu".
Ikabidi na yeye atunge kitabu ili Wwarabu nao wawe na kitabu.
Hapo ndipo uongo wote wa Quran ulipoanzia.
Ukiisoma unaona kabisa imeandikwa na ngumbaru asiyejua kuandika mambo kwa logical consistency, si kitabu cha Mungu.
Yeye amejiita tu jina haina maana kama hao viumbe wapo
Kaka embu na wewe jiite majina ambayo hayana wahusika.Yeye amejiita tu jina haina maana kama hao viumbe wapo
Hili hata wakubwa zako katika upotofu huu mlio nao hawakuwahi kulithibitisha,bali hata mpewe miaka elfu hamwezi kuthibisha hayo myasemayo.Alichofanya muhamad ni kuchukua hadithi za wayahudi kupitia vitabu vyao na kuandika kitabu chake
Na warabu wenzake wakamsapoti kupitia kitabu hiko ili kushindana na wayahudi
Kaka nakukumbusha tu,sifa za hawa watu ni kushindwa kujibu maswali. Mimi huwa nawauliza maswali ili watu waone ujinga wao.Hapa, suala si uwepo au kutokuwepo kwa hao viumbe, suala ni nini maana ya maneno Ibilisi na Sheitani!!.
Wewe unafahamu maana ya hayo maneno, badala ya kumuongoza Atheist mwenzako unamuacha tu huku pembeni ukimcheka, kitu ambacho hajui, wewe Astronomer huna nia nzuri!!..
Usiilazimishe akili yako ikubali hivyo kisa tu hauamini Mungu,ndio maana nikawaambia msome wanasayansi wanasemaje kuhusu hicho kitabu.Alichofanya muhamad ni kuchukua hadithi za wayahudi kupitia vitabu vyao na kuandika kitabu chake
Na warabu wenzake wakamsapoti kupitia kitabu hiko ili kushindana na wayahudi
Hapa, suala si uwepo au kutokuwepo kwa hao viumbe, suala ni nini maana ya maneno Ibilisi na Sheitani!!.
Wewe unafahamu maana ya hayo maneno, badala ya kumuongoza Atheist mwenzako unamuacha tu huku pembeni ukimcheka, kitu ambacho hajui ππππ, wewe Astronomer huna nia nzuri!!.ππ.
Mokaze kwani yeye kujiita hivyo kuna tatizo gani?
Kama akiwa anayo matendo mazuri kushinda wewe mwenye majina unayoona mazuri nani atakuwa ana tabia njema nani atakuwa mkarimu?
Kwa hiyo cha muhimu ni jina au tabia njema?
Na mtu akiwa ana matendo mabaya halafu jina lake zuri je mtu huyu jina lake litamsaidia?
Usiilazimishe akili yako ikubali hivyo kisa tu hauamini Mungu,ndio maana nikawaambia msome wanasayansi wanasemaje kuhusu hicho kitabu.
Hamwezi mkatetea msimamo wenu kwa kupinga na kuignore mambo tu.
Hili hata wakubwa zako katika upotofu huu mlio nao hawakuwahi kulithibitisha,bali hata mpewe miaka elfu hamwezi kuthibisha hayo myasemayo.
Sasa basi kwanini mnazua ?
Mokaze kwani yeye kujiita hivyo kuna tatizo gani?
Kama akiwa anayo matendo mazuri kushinda wewe mwenye majina unayoona mazuri nani atakuwa ana tabia njema nani atakuwa mkarimu?
Kwa hiyo cha muhimu ni jina au tabia njema?
Na mtu akiwa ana matendo mabaya halafu jina lake zuri je mtu huyu jina lake litamsaidia?
Nashukuru umekiri kuwa hayo majina (ibilisi na shetani) ni majina mabaya, swali ni je majina mazuri yaliisha hadi mtu ajipe jina Ibilisi na isitoshe na akampa baba yake jina la Shetani !!ππ.
Mbona wewe umejipa jina la kujitukuza !!, Astronomer the great.
Halafu hapa hatuzungumzii juu ya matendo mema na mabaya bali tunazungunzia juu ya uwepo wa Mungu, sasa unadhani mtu anayejiita Ibilisi bin Shetani anaweza kukubali kuwa Mungu yupo??, sababu shetani na Ibilisi mbele ya Mungu ni maluuni.
Ibilisi ni mtu mwenye kiburi na majivuno na shetani ni mtu muasi.
Sasa badala ya kumrekebisha mwenzako wewe unafurahi yeye kuwa na hayo majina mabaya au ndiyo sifa zenu nyie Atheists.