Ndebile
JF-Expert Member
- Sep 14, 2011
- 8,246
- 12,789
nasikia Marehemu Kingunge dakika za mwishoalipata skramenti ya kitubio ikiwa ni pamoja na kuishika biblia na kuitwa tena jina lake la ubatizo.
Alinikwaza sana ndio maana hata huyu mleta mada siku akianza kulishwa kwa mpira na kupumua kwa mashine utamsikia eee, Mungu wangu...
Alinikwaza sana ndio maana hata huyu mleta mada siku akianza kulishwa kwa mpira na kupumua kwa mashine utamsikia eee, Mungu wangu...