Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 25,257
- 34,553
Ndio.Unaweza kuthibitisha hilo lilitokea kweli na si hadithi tu?
Ndio.Unaweza kuthibitisha hilo lilitokea kweli na si hadithi tu?
Unaelewa kwamba ukishatumia neno la negation "isipokuwa" na neno la kuunganisha "na" tayari ushatumia mantiki?Kaka sasa ngoja nikupe faida. Shahada ina kuthibitisha na kukanusha. Shahada ina masharti yake.
Sasa nakutamkia shahada yetu kisha uielezee kwa misingi ya mantiki.
"Hapana Mola apasae kuabudikwa haki isipokuwa Allah,na nina shuhudia ya kuwa Muhammad ni mtume na mja wa Allah"
Kaka tambaa kimantiki na hiyo shahada hapo juu.
sha·ha·da
SHäˈhädə/
noun
la ilaha illallah
- the Muslim profession of faith (“there is no god but Allah, and Muhammad is the messenger of Allah”).
Huwezi kuitaja shahada ya usilamu bila kutumia "but" kutumia negation "illah".
Hayo yote ni maneno ya mantiki.
Ukiisema shahada ya Uislamu tu, ushatumia mantiki. Unatumia maneno kama and, but , maneno ya mantiki.
Sasa wewe unaiponda mantiki, wakati shahada ya Uislamu inatumia mantiki na wee hujui!
Hilo swali nimeshakujibu.Ambazo zinaonesha Mungu hayupo.
Tunazaliwa kwa uchungu, tunaishi kw amateso na tunakufa bila kutaka.
Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote angekuwepo asingekuwa katili kuumba ulimwengu wenye mabaya yote haya.
Mantiki imekuja baada ya maneno kuwepo?Kaka mantiki imekuja baada ya maneno kuwepo.
Hapa naona matatizo ya ku copy na ku paste. Bro kwanini usiwe unajifunza na kuyaelewa mambo katika uhalisia wake ?
Suali lako kaka nimeshalijibu kitambo.Unaelewa kwamba ukishatumia neno la negation "isipokuwa" na neno la kuunganisha "na" tayari ushatumia mantiki?
Unaelewa hapokuna negation halafu kuna and?
Unaelewa negation na and ni logic, mpaka kwenye elements za logical truth table zipo?
Unaelewa hayo?
Hili swali jijibu mwenyewe. Swali la kitoto hilo.Mantiki imekuja baada ya maneno kuwepo?
Kabla ya maneno moja na mbili kuwepo, ukiweka jiwe moja na moja pamoja ulikuwa hupati mawe mawili?
Hitimisho la kimantiki nikwamba wewe hujuiunachoandika.Naona bro umesahau kuleta hitimisho la kimantiki hapo. Mimi nakukumbusha tu.
Post No 2278.Wapi? Wekalink hapa.
Hahaha,bro nakutesa sana,leta hitimisho la kimantiki katika shahada bro.Hitimisho la kimantiki nikwamba wewe hujuiunachoandika.
Unaiponda mantiki, wakati dini yako yenyewe huwezi kuikubali bila kutumia kauli ya shahada, ambayo inatumia mantiki.
Ukiikataa mantiki, umeikataa shahada.
Ukiikataa shahada, umeukataa Uislamu.
Hujui hata unasimamia wapi!
Bro maneno yalikuwepo kabla ya hayo mawe kuwepo,sasa hapo kinachokushinda wewe nini ?Mantiki imekuja baada ya maneno kuwepo?
Kabla ya maneno moja na mbili kuwepo, ukiweka jiwe moja na moja pamoja ulikuwa hupati mawe mawili?
Jibu swali nililokuuliza.
Wewe umeanza kuthibitisha hilo kabla sijathibitisha, kwa masali yako.Thibitisha kwamba sijavisoma vizuri hivyo vitabu.
Wewe unaweza kuwajua watu hao ?Wewe umeanza kuthibitisha hilo kabla sijathibitisha, kwa masali yako.
Quran inasema Mungu atawafanya watu fulani mioyo yao iwe migumu, macho yao yasimuone, masikio yao yasmsikie.
Ili wasimjue.
Halafu atawahukumu watu hao kwa kutomjua Mungu.
Yani Mungu anazuia watu wasimjue, halafu anawahukumu kw akutomjua.
Hicho unasema kitabu cha Mungu?
Maswali yako yote 10 ambayo ulidai ndio yanayokupelekea usiamini uwepo wa Mungu nimekujibu kiufasaha zaidi.Tatizo hujawahi kusikia Socratic method, huwezi kujadiliana na mimi.
Swali linaweza kujibiwa kwa swali.
Kama katika mfano wa Yesu alipoulizwa "tulipe kodi kwa Kaizari au tusilipe"
Akajibu kwa kuuliza" hii sarafu ina picha ya nani?"
Mungu hayupo, ndiyo maana huwezi kuthibitisha kwamba yupo.
Kama unabisha, thibitisha yupo.
Wapi wameandika hivyo?Wewe umeanza kuthibitisha hilo kabla sijathibitisha, kwa masali yako.
Quran inasema Mungu atawafanya watu fulani mioyo yao iwe migumu, macho yao yasimuone, masikio yao yasmsikie.
Ili wasimjue.
Halafu atawahukumu watu hao kwa kutomjua Mungu.
Yani Mungu anazuia watu wasimjue, halafu anawahukumu kw akutomjua.
Hicho unasema kitabu cha Mungu?
Thibitisha.Ndio.
Nithibitishe nini?Thibitisha.
Weka link tuone uliponijibu, vinginevyo unaweza kudanganya tu umejibu wakati hujajibu au umejibu jibu lako likapingwa au kupingika.Hilo swali nimeshakujibu.
Kujibu nini?Weka link tuone uliponijibu, vinginevyo unaweza kudanganya tu umejibu wakati hujajibu au umejibu jibu lako likapingwa au kupingika.
Wapi umejibu? Weka link.