Makosa 10 aliyotenda Mungu

Makosa 10 aliyotenda Mungu

Awe na logical consiatency isiyo na contradiction.

Mungu anatakiwa asiwe na contradiction. Huyu Mungu wa Biblia, Quran Mungu omnipotent, omniscient, omni benevolent kwa mfano, mtu akiweza kuniondolea contradictions zote zilizopo katika habari zake, sio tu nitakubali, bali pia nitafurahi sana. Contradictions hizo ni hizi.
Kwa uchache.

1. Kwa nini Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote, upendo wote na utakatifu wote, kaumba ulimwengu ambao maovu yanaweza kutokea, wakati alikuwa ana uwezo wa kuumba ulimwengu ambao maovu hayawezi kutokea? Naomba jibu lisiwe kusema maovu yapo kwa sababu ya shetani. Swali linauliza kabla shetani hajaumbwa Mungu alikuwa na uwezo wa kuumba ulimwengu ambao shetani hawezi kuwepo. Jibu la swali lisiseme maovu ni matokeo ya dhambi za watu. Mungu angeweza kuumba ulimwengu ambao dhambi haiwezekani. Jibu lisiseme free will, hatuna hiyo inayoitwa free will katika mengi sana na hata kui define tu watu hawawezi.

2. Inakuwaje Mungu awe ndiyo mtoa rehema ya kumjua, anachagua mwenyewe nani amjue na nani asimjue, halafu mtu akishindwa kumjua Mungu, kwa sababu Mungu hajamchagua huyo mtu kumpa neema yake Mungu ya kumjua, huyo mtu aonekane ana makosa, ahukumiwe kuchomwa moto? Baba anawezaje kumhukumu mtoto ambaye hajui kusoma, kama mtoto hajui kusoma kwa sababu baba ndiye aliyemnyima nafasi ya kwenda shule?

3. Inakuwaje mahakama za watu tu zinakataza mtoto kuhukumiwa kwa makosa ya mzazi, lakini vitabu vya Mungu vinasema Mungu anahukumu watoto na wajukuu vizazi hata vizazi? Kwa kosa la mzazi wa zamani sana? Huyu Mungu mbona haki yake haijafikia hata haki yetu watu tu?

4. Mnasema Mungu anajua yote. Anayajua maisha ya mtu yote mwanzo mpaka mwisho kabla hata mtu hajaishi. Na anachojua huyo Mungu kitatokea, ni lazima kitokee. Anavyojua si kama utabiri wa hali ya hewa kwamba kuna 80% ya mvua. Yeye anajua kitu kamili hakina utata. Sasa kama anajua hivyo, ina maana mtu muuaji, alimjua huyu atakuwa muuaji kabla hata hajazaliwa. Na muuaji huyo hawezi kuepuka kuua hata afanye nini. Kwa sababu kuepuka kuua wakati Mungu kashajua huyu ataua ni kum prove Mungu wrong. Sasa kama huyu mtu anaenda kuwa muuaji, na hana jinsi ya kuepuka hilo, tutasemaje ana uhuru wa kuamua na anaua kwa uamuzu wake na atahukumiwa motoni kwa uuaji?

5. Mbona hivyo vitabu vinavyosemwa ni vya Mungu vina contradictions lukuki?

6. Mbona huyo Mungu mnayemsema yupo hathibitishiki? Anajificha asijulikanw vizuri kwa nini? Kwa nini hakufanya ulimwengu uweze kumjua vizuri bila uwezo wowote wa kuwepo ubishi juu ya uwepo wake?

7. Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote anaweza kuumba jiwe zito sana kiasi yeye mwenyewe ashindwe kulibeba? Akiweza kuumba jiwe hilo, atakuwa hawezi yote, maana kuna jiwe atakuwa kashindwa kulibeba. Akishindwa kuumba jiwe hilo, atakuwa hawezi yote maana kuna jiwe atakuwa kashindwa kuliumba.

8. Kwa nini Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote, ameruhusu kifo kitenganishe wapendanao, baba na mama, wazazi na mtoto, marafiki etc, wakati alikuwa na uwezo, ujuzi na upendo wote wa kuumba ulimwengu ambao kifo hakiwezekani kuwepo?

Kwa nini watetezi wa Quran waajitapa sana kusema vitu fulani vichache vimethibitishwa kisayansi, kuinadi Quran kama kitabu cha ukweli, wakati vingi sana vina contradictions ama vinapingana na sayansi ama havijathibitishwa kisayansi, hawasemi vinapingana nansayansi au havijathibitishwa kisayansi?

10.Kama kuna Mungu kweli, kwa nini karuhusu confusion ya dini nyingi tofauti kuwa na vitabu vingi tofauti vyote vinasema vya Mungu wa kweli?
Kwa leo tuishie na maswali haya 10.

Unaweza kujibu?
7)Hilo swali lako ni sawa nikakwambia

"Kama kweli unazijua hesabu za kujumlisha,je unaweza kuandaa swali la kujumlisha ambalo huwezi kulifanya,kama unaweza kulifanya basi wewe hujakidhi vigezo kama huwezi kulifanya basi wewe si lolote si chochote".
 
8)Binadamu tunapitia hatua tatu ambazo ni kuzaliwa, kuishi na kufa.
 
Sayansi haijakamilika ndio maana kila kukicha kuna updates nyingi zinafanyika ,kuna nadharia ambazo zimedumu miongo kadhaa watu wakiamini kwamba ni kweli mwisho wa siku anakuja mwengine kuonesha kwamba si kweli,na yeye pia nadharia zake zinakaa kwa muda mrefu na wengine wanakuja na kumkosoa kwamba hakuwa sahihi, kwa hiyo sayansi nayo imejaa contradictions pia.
 
10)Dini inayotambulika mbele ya Mungu ni moja tu ,tena dini ya kiislamu na ushahidi upo na unajidhihirisha kila kukicha.
 
Kaka sikufichi unajua kwamba mimi nina weza kukufundisha elimu ya mantiki kuliko huko ulikoisikia wewe ? Maana wewe unaonekana hata elimu hii hujaisoma bali umeisikia na ukazuzuka na msamiati na maneno ya kivutia tu.

Kaka elimu ya mantiki haina jipya zaidi ya kufikia hitimisho moja kutokana na hoja mbili.

Yaani :

Kama P----->R na Q----->R basi P----->Q

Sasa huo ni ujinga uliopea. Yaani kama nikisema :

Mungu ni mwema,Yesu ni mwema basi Yesu ni Mungu. Sasa hitimisho la kimantiki mara nyingi huwa limegubikwa na ujinga wa hali ya juu. Ndio maana nikasema hivi,msingi mmoja wapo wa mantiki ni kuongea jambo bila elimu.

Yaani hapo huwa hamna muda wa kujadili tofauti ya huyu na yule na mfano wake.

Narudi.....

Unaelewakwamba ukiandika 1 + 2 = 5 hilo halina maana hesabu zina makosa, ila wewe ndiye umefanya makosa kujumlisha?

Umeandika

Ila bro wewe ni mwepesi sana,kuna mwanachuoni mmoja simtaji kwa kulinda heshima yake anasem "Miongoni mwa misingi ya watu wa mantiki (Ahlul Kalam,al Mantiqiyuun) ni kuongea jambo wasilo kuwa na elimu nalo"

Yaani nyinyi huwa mnaongea mambo pasi na elimu na kufanya hivyo ndio mnaona sawa. Sasa hapa umeongea nini ?

Eti maafa haya yantokana na mifumo ya kumomonyoka. Hiki ni kituko cha karne. Vipi kuhusu mabadiliko ya usiku na mchana,vipi kuhusu mvua ?

Bro umeshawahi kujiuliza kwanini maafa hayatokei hovyo hovyo ?

Halafu kusema kutokuzuia maafa yasitokee sio sababu ya kuthibitisha kutokuwepo kwake. Huo ndio ukamilifu,yeye anaya achia na yeye ndio anaysitisha,hivi hujiulizi kwanini maafa huwa yana muda fulani kisha yanapita ?

Vipi kuhusu Tsunami ? Jaribu kuwa unafikiri kinyume na unavyofikiri,kufanya hivyo bila shaka kutakutoa gizani.

Kama mantiki ya kusema "if P then Q" ni ujinga, basi hata wewe unayesema "If it is written in the Quran, then it must be true" ni mjinga.

Kwa sababu "If it is written in the Quran,then it must be true" ni sentensi ile ile tu "If P, then Q"

P= "It is written in the Quran"
Q= "It must be true"

Unaelewa kwamba hata shahada ya Uislamu "La illah ilah allah" inatumia mantiki?

Na ukiiponda mantiki, tayari umeiponda nguzo ya Uislamu, shahada?
 
Sayansi haijakamilika ndio maana kila kukicha kuna updates nyingi zinafanyika ,kuna nadharia ambazo zimedumu miongo kadhaa watu wakiamini kwamba ni kweli mwisho wa siku anakuja mwengine kuonesha kwamba si kweli,na yeye pia nadharia zake zinakaa kwa muda mrefu na wengine wanakuja na kumkosoa kwamba hakuwa sahihi, kwa hiyo sayansi nayo imejaa contradictions pia.
Hujathibitisha Mungu yupo.
 
Unaelewakwamba ukiandika 1 + 2 = 5 hilo halina maana hesabu zina makosa, ila wewe ndiye umefanya makosa kujumlisha?

Umeandika

Kama mantiki ya kusema "if P then Q" ni ujinga, basi hata wewe unayesema "If it is written in the Quran, then it must be true" ni mjinga.

Kwa sababu "If it is written in the Quran,then it must be true" ni sentensi ile ile tu "If P, then Q"

P= "It is written in the Quran"
Q= "It must be true"

Unaelewa kwamba hata shahada ya Uislamu "La illah ilah allah" inatumia mantiki?

Na ukiiponda mantiki, tayari umeiponda nguzo ya Uislamu, shahada?
Hahaha,sisi huwa hatuishii tu mnakoishia nyinyi,sisi tun a vipimo thabiti.

Jaribu uone nikupe faida.
 
8)Binadamu tunapitia hatua tatu ambazo ni kuzaliwa, kuishi na kufa.
Ambazo zinaonesha Mungu hayupo.

Tunazaliwa kwa uchungu, tunaishi kw amateso na tunakufa bila kutaka.

Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote angekuwepo asingekuwa katili kuumba ulimwengu wenye mabaya yote haya.
 
Unaelewakwamba ukiandika 1 + 2 = 5 hilo halina maana hesabu zina makosa, ila wewe ndiye umefanya makosa kujumlisha?

Umeandika

Kama mantiki ya kusema "if P then Q" ni ujinga, basi hata wewe unayesema "If it is written in the Quran, then it must be true" ni mjinga.

Kwa sababu "If it is written in the Quran,then it must be true" ni sentensi ile ile tu "If P, then Q"

P= "It is written in the Quran"
Q= "It must be true"

Unaelewa kwamba hata shahada ya Uislamu "La illah ilah allah" inatumia mantiki?

Na ukiiponda mantiki, tayari umeiponda nguzo ya Uislamu, shahada?
Unasema nimeiponda shahada ? Kaka unaijua shahada kweli ?
 
Hahaha,sisi huwa hatuishii tu mnakoishia nyinyi,sisi tun a vipimo thabiti.

Jaribu uone nikupe faida.
That is neither here, nor there.

Unakubali kwamba huwezi kuitaja shahada ya Uislamu bila kutumia mantiki?

Na kwamba, ukiikanusha mantiki, huwezikutaja shahada ya Uislamu?
 
Hapa ninazidi kupata mshangao kutoka kwa "Atheists", wao wanasema hakuna Mungu lakini "behind the scene" wanaamini sayansi kama ndio Mungu wao ama kwa kujua huku wakificha imani yao au kwa kutojua, kama ni kwa kutojua ninawaambia hivi:- sayansi ni elimu kama elimu zingine na inatumika kuweza kujua sifa na tabia na mahusiano yao ya kiutendaji yakihusishwa na nishati, kimsingi, sayansi ni nyenzo itumiwayo na watu kutawala na kutumia vitu vinavyotuzunguka kwa faida yetu, sayansi inatuwezesha kujua sheria zinazofuatwa na objects katika kutekeleza (execution) nidhamu fulani katika utendaji wa kila siku wa objects hizo, sayansi ni nyenzo (instrument) kama jembe analotumia mkulima kupalilia lakini jembe ni jembe mkulima ni mkulima na shamba ni shamba kila kimoja kina "play its role independently", lakini nani kaweka hivyo vitu ili vitii sheria za kisayansi zinazokubaliana na akili zetu??, Hivi ile sheria ya Issack Newton "universal law of gravitation " ndiyo iliyoumba the universe pamoja na nguvu zake za uvutano???, ile formular imetuwezesha tu kurusha rockets na settelite angani tu wala haijaumba chochote, special theory of relativity ya Einstein imetuwezesha kujua the immense energy stored in the nuclear of an atom au uhusiano kati ya nishati na matter tu lakini nani aliuweka huo uhusiano at such excellent manner na utii ile formular??, Hayo na mengine mengi ndiyo maswali ya kujiuliza.

Utamkuta mtu kashikilia, eti, Mungu hayupo, kama angalikuwepo dunia hii ingekuwa shwari kwa kila kitu!!, dunia itakuwa shwari huku walevi, vibaka, wala nguruwe, wala rushwa, waongo, watukanaji nk wakiwepo??!,

Mungu katupa akili na miongozo ili tusiwe WAONGO, WATUKANAJI,WALEVI,nk, bado hatuna shukrani isipokuwa kumkanusha huku tukiabudu false gods na sayansi.

Mungu kaumba hii dunia kwa hekima na katika jambo hili haingiliwi na yeyote yule, kaamua kutuleta sisi sote tuishi kwa kumuabudu ili akatulipe huko akhera, na hakuna yeyote mwenye kiburi atakaye dai kwamba kajileta yeye mwenyewe na awe na jinsia ipi na azaliwe na wazazi gani!!

Calamities na disasters zingine ni mitihani ya Mungu ili atupime kama tutamtegemea yeye au disasters zingine ni adhabu kwa sababu watu hawaoni aibu tena ya kutukana na kusema uongo ili wasifiwe kwa ajili ya "cheap prestige".
 
Unasema nimeiponda shahada ? Kaka unaijua shahada kweli ?
sha·ha·da
SHäˈhädə/
noun

  1. the Muslim profession of faith (“there is no god but Allah, and Muhammad is the messenger of Allah”).
la ilaha illallah

Huwezi kuitaja shahada ya usilamu bila kutumia "but" kutumia negation "illah".

Hayo yote ni maneno ya mantiki.

Ukiisema shahada ya Uislamu tu, ushatumia mantiki. Unatumia maneno kama and, but , maneno ya mantiki.

Sasa wewe unaiponda mantiki, wakati shahada ya Uislamu inatumia mantiki na wee hujui!
 
Bible it is written to learn... Ni stories za manabii zenye ushuhuda ndan yake.... Kutupa moyo na mitihan ya duniani
 
That is neither here, nor there.

Unakubali kwamba huwezi kuitaja shahada ya Uislamu bila kutumia mantiki?

Na kwamba, ukiikanusha mantiki, huwezikutaja shahada ya Uislamu?
Kaka sasa ngoja nikupe faida. Shahada ina kuthibitisha na kukanusha. Shahada ina masharti yake.

Sasa nakutamkia shahada yetu kisha uielezee kwa misingi ya mantiki.

"Hapana Mola apasae kuabudikwa haki isipokuwa Allah,na nina shuhudia ya kuwa Muhammad ni mtume na mja wa Allah"

Kaka tambaa kimantiki na hiyo shahada hapo juu.
 
sha·ha·da
SHäˈhädə/
noun

  1. the Muslim profession of faith (“there is no god but Allah, and Muhammad is the messenger of Allah”).
la ilaha illallah

Huwezi kuitaja shahada ya usilamu bila kutumia "but" kutumia negation "illah".

Hayo yote ni maneno ya mantiki.

Ukiisema shahada ya Uislamu tu, ushatumia mantiki. Unatumia maneno kama and, but , maneno ya mantiki.

Sasa wewe unaiponda mantiki, wakati shahada ya Uislamu inatumia mantiki na wee hujui!
Kaka mantiki imekuja baada ya maneno kuwepo.

Hapa naona matatizo ya ku copy na ku paste. Bro kwanini usiwe unajifunza na kuyaelewa mambo katika uhalisia wake ?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom