Swali kama hili nilikujibu jana. Kwamba Mola ameumba kila ugonjwa na dawa yake,tafuta dawa ya ugonjwa wa akili utaipata ujitibu,hakuna tatizo hapo.Kama tuna mental sickness, huo ninushahidi zaidi Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote hayupo.
Angekuwepo, asingeumba ulimwengu unaowezekana kuwa na mental sickness.
Ukisikia laana ndio hii
Bro wewe niambie tu,akili yangu iko salama haijawahi kuukataa ukweli hata kwa bahati.Hata nikuambia huwezi kukubali maana akili yako imesharogwa umeweka uzio katika ubongo wako
Huwa nikisema Atheist wote na wale wanaojidai ma Atheist kama Kiranga na wenzake wana MENTAL SICKNESS ndio kama hivi wanavyofanya na kuandika.
Bado nipo... Naona jambo la masharti limemshinda anataka tujadili Falsafa.
Najua kuwa lazima ulazimishe suala la uthibitisho kwa sababu nje ya hapo huna hoja ya kuelezea ni kwanini unapinga uwepo wa Mungu? Unakwepa kujadili sababu za watu kukubali uwepo wa Mungu ambao wewe unapinga ,matokeo yake unarukia kujadili masuala yenye kumuhusu Mungu.Hakuna aliyeweza kuthibitisha Mungu yupo.
Nje ya uthibitisho, anything goes.Najua kuwa lazima ulazimishe suala la uthibitisho kwa sababu nje ya hapo huna hoja ya kuelezea ni kwanini unapinga uwepo wa Mungu? Unakwepa kujadili sababu za watu kukubali uwepo wa Mungu ambao wewe unapinga ,matokeo yake unarukia kujadili masuala yenye kumuhusu Mungu.
Hata watu wa dini tofauti hubishana na kutofautiana masuala yenye kuhusu Mungu ila wote kwa pamoja wanakubali uwepo wa Mungu.
Kuna watu wanakubali uwepo wa Mungu hawaamini dini wala vitabu vya dini,wewe hawa huwezi kujadiliana nao kwa sababu hauwezi kuwabambikiza habari za contradictions ili upinge uwepo wa Mungu kama unavyowafanyia watu wa dini.
Ndiyo maana nakwambia wewe unapinga uwepo wa Mungu ila haujaeleza kwanini unapinga uwepo wa Mungu?
Sawa wasalimie.Ngoja tumuulize mwenyewe
"INNAMAA AMRUHU IDHAA ARADA AYI YAQUL LAHUU KUN FAYAKUN"
mimi nakuonyeshea huyo mungu wako kama yupo basi hana fair ila kwakuwa hayupo kichanga chochote kikizaliwa na tatizo tuta dx mpaka tutajua chanzo
Eleza kwanini unapinga uwepo wa Mungu?Nje ya uthibitisho, anything goes.
Thibitisha Mungu yupo.
Nieleze mara ngapi?Eleza kwanini unapinga uwepo wa Mungu?
Unakwepa hili suala.
Hayo uliyoyaeleza sio yanayowafanya watu kukubali uwepo wa Mungu na ndiyo maana kuna watu hawaamini hayo ila wanakubali uwepo wa Mungu.Nieleze mara ngapi?
Unajua kusoma?
Kwa kuanzia. Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote, aliyeumba ulimwengu huu, hayupo.
Hayupo kwa sababu, dhana ya kuwepo kwake ina contradiction.
Contradiction inaonesha Mungu huyo hawezi kuwepo.
Dhana ina contradiction kwa sababu, upande mmoja Mungu ana ujuzi wote, uwezo wote na upendo wote, lakini kaumba ulimwengu ambao mabaya yanawezekana.
Contradiction hii inaonesha Mungu katungwa na watu tu katika hadithi. Hayupo.
Kama unabisha, thibitisha Mungu yupo.
Hayo uliyoyaeleza sio yanayowafanya watu kukubali uwepo wa Mungu na ndiyo maana kuna watu hawaamini hayo ila wanakubali uwepo wa Mungu.
Eleza kwanini unapinga uwepo wa Mungu?
Naona ujajifaragua kijinga. Sasa hapo umejibu nini ? Naona muzabizabina tu,huku haupo kule haupo.Yaan unazidi kupotea maskini huelewi unachongea katika medicine topic ambayo niliyokuwa naipenda wakati nilivyokuwa chuo ni psychiatry and mental health mpaka leo psychotic disoder inanisaidia kuwatibu watu wenye mashetani waliorogwa wenye depression mpaka suicidal thought
Huko unapotaka kuenda usiende maana ukifika katika psychotic disoder katika shizophrenia utakuja kuona features zake zote zinawapata waumin wa dini
Utanielewa tu.Yanayowafanya watu wakubali uwepo wa Mungu ni yapi?
Unaelewa maana ya "kwa kuanzia"?
Mantiki ya hayo niliyoyaeleza umeikubali?
Ninakubaliana nawe 100%. Ni sawa na sisi kabla ya kuwepo kwetu, hakukuwahi kuwa na chochote na wala kisingekaa kuwepo hadi tulipokuwepo. Mwanzo wa kila uwepo huanza simu ulipoanza kuwepo. Wewe ni Alpha na Omega. Na hivyo, wewe ndiye Mungu.Huwezi kuthibitisha Mungu yupo.
Kwa sababu hayupo.
Mungu ndiye atakuwa anakosea. Kwa uwezo wrote alionao, wala asingeruhusu Kiranga kuandika yote haya! Unaweza kuona namna huyu Mungu alivyo mdhaifu na wala hakuna kitu kama hicho.Ni kufuru kubwa kunena kuwa mungu amekosea na hii ni kwa dini zote
Yaan unazidi kupotea maskini huelewi unachongea katika medicine topic ambayo niliyokuwa naipenda wakati nilivyokuwa chuo ni psychiatry and mental health mpaka leo psychotic disoder inanisaidia kuwatibu watu wenye mashetani waliorogwa wenye depression mpaka suicidal thought
Huko unapotaka kuenda usiende maana ukifika katika psychotic disoder katika shizophrenia utakuja kuona features zake zote zinawapata waumin wa dini
Huijui falsafa. Niambie mitume gani walikuwa wanaijua falsafa,maana waliokua na elimu ni wao.Falsafa ilikuwepo kabla ya dini zetu zote dunia hii kuanza.Falsafa ni elimu iliyozaa masomo yote yaliyopo duniani
Mola ametuumba kwa hiyari na uone ni jinsi gani huruma ya Mola kwa waja wake ni kamili,leo watu wanamtukana na kumdhihaki lakini anawapa rizki na mfano wake.Mungu ndiye atakuwa anakosea. Kwa uwezo wrote alionao, wala asingeruhusu Kiranga kuandika yote haya! Unaweza kuona namna huyu Mungu alivyo mdhaifu na wala hakuna kitu kama hicho.
Katika hayo makundi je, wewe upo wapi, kwa wenye akili au wajinga??ππ