Da vinci jr
JF-Expert Member
- Mar 12, 2012
- 202
- 34
Hahahahaha. Hivi ni kweli haujui? Au ni ignorance ru?
Karibu mzee.MAGUFULI bado anafanya Drama tu!
Kiukweli huyu Rais wetu Magufuli simuelewi mimi, labda nyie wenzangu mnieleweshe kama mnaelewa. Hivi makontena ya bandari na hao mafisadi papa kuwakamata huwa inasaidia nini wananchi? Ok umekamata wakwepa kodi lakini je inahusiana vipi na maisha ya wananchi wa hali ya chini?? Maana umeme bado ni shida, maji ni shida, hospitali ni shida, sasa hayo makonten 346 yanahusiana na sisi walala hoi??
Nawasilisha

geti 05 pamefungwa teh teh...Sio bure wewe unafaidika na huo mfumo geti 5
kwanini umeitaja chadema ?Chadema msipokua makini mtapoteza wafuasi wenu wengi Sana, Mimi nkiwa mmoka wapo
Sasa huo umeme na maji utapaje wakati kodi haikusanywi?
Sijui una elimu gani?
Kiukweli huyu Rais wetu Magufuli simuelewi mimi, labda nyie wenzangu mnieleweshe kama mnaelewa. Hivi makontena ya bandari na hao mafisadi papa kuwakamata huwa inasaidia nini wananchi? Ok umekamata wakwepa kodi lakini je inahusiana vipi na maisha ya wananchi wa hali ya chini?? Maana umeme bado ni shida, maji ni shida, hospitali ni shida, sasa hayo makonten 346 yanahusiana na sisi walala hoi??
Nawasilisha
Kiukweli huyu Rais wetu Magufuli simuelewi mimi, labda nyie wenzangu mnieleweshe kama mnaelewa. Hivi makontena ya bandari na hao mafisadi papa kuwakamata huwa inasaidia nini wananchi? Ok umekamata wakwepa kodi lakini je inahusiana vipi na maisha ya wananchi wa hali ya chini?? Maana umeme bado ni shida, maji ni shida, hospitali ni shida, sasa hayo makonten 346 yanahusiana na sisi walala hoi??
Nawasilisha
Ameomba aelimishwe,kejeli za nini?Yawezekana wapo wengi wanaojiuliza swali hilo.Ni sawa na hadithi ya Uchumi kukua kwa 7% lakini mwananchi wa kawaida anakufa kwa kukosa mlo wa siku.
Kwa kawaida mtu hutumia mazingira yanayomzunguka katika kufikiri na kujenga hoja,tangu ashike hatamu,Magufuli amefanya mambo kadhaa ya msingi ambayo impact yake imeelekezwa DSM tu,1:Fedha za tafrija ya wabunge imetumika kununulia Vitanda na magodoro Muhimbili,2:Fungu lililokuwa litumike ktk maadhimisho ya Uhuru(sh.4bl)Zitatumika katika upanuzi wa barabara DSM,sasa unafikiri mwananchi wa kawaida anayekaa vijiji vya Ilyamchele,Kankanshe,Nyabilezi,Buzirayombo au Mabira Jimbo la Chato Mkoa wa Geita atawezaje kuona faida za maamuzi hayo bila ya kuelimishwa?
Hivi ni kweli watu wa Nyengedi,mahumbika,Kiwalala,mbekenyela hadi kule Lukuledi kusini mwa Tanzania wanaweza kujisifu kwamba Rais amewasaidia kwa maamuzi hayo? Basi kama ndivyo,siasa itakuwa ni ushabiki tu kama tunavyoshabikia Simba na Yanga.
Wewe ndio jinga la mwisho na la kwanza,ndio ulifundishwa kujibu maswali hivo,nyang`au wewe