juvenile davis
JF-Expert Member
- Apr 13, 2015
- 4,752
- 4,480
Kiukweli huyu Rais wetu Magufuli simuelewi mimi, labda nyie wenzangu mnieleweshe kama mnaelewa. Hivi makontena ya bandari na hao mafisadi papa kuwakamata huwa inasaidia nini wananchi? Ok umekamata wakwepa kodi lakini je inahusiana vipi na maisha ya wananchi wa hali ya chini?? Maana umeme bado ni shida, maji ni shida, hospitali ni shida, sasa hayo makonten 346 yanahusiana na sisi walala hoi??
Nawasilisha
Nawasilisha