Makontena kukamatwa inamsaidia nini mwananchi?

Makontena kukamatwa inamsaidia nini mwananchi?

Wewe tumbili mshafunga shule......???

maana naona unakuja na maswali ya watoto wa darasa la pili.

We panya buku tulia,uwe unajibu maswali kama yanavoulizwa,usipige kelele kama mwanamke anaeliwa 0713,
 
Mtu ameingia madarakani kwa bahati ya mtende hana plan anajichora tu nguvu ya soda
 
Hatuja wahi kuona serikali ikitaifisha mali za hao wabadhilifu.Inaishia tu mahakamani na kupoteza muda na fedha mahakamani basi.Na muda mwingine mabadhilifu hayo hushinda na kulipwa fidia.
 
Hiyu jamaa anafanya utafiti kupima akili zetu zikoje kwmb tutamwelewesha ama kumtusi ama vingnevyo lakn si kweli kwmb alichoandika hakijui.

Mtoa mada umenifurahisha sana maana utafiti wako umekamilika vyema na kama ni mtihani ushafaulu.

Ukitaka kupima akili ya mtu jifanye MJINGA, its true umejifanya mjinga na umepata ulichokitaka.
Bigup mkuu.
 
Huo umeme, maji, barabara, madawa, hospitals, zinajengwaje bila kukusanya hizo kodi?
Ah sijui unatupima au umeamua kutuboa...... Nonsense
 
Kwani Lowassa ni nani ndani ya CHADEMA? Naona anatoa matamko kila siku na nyumbu nyie hata hamshituki!!

Lowassa ni efu-lefu tu (titleless man in Ibo) ndani ya Chadema. Uanachama wake umeandikwa kwa penseli tu miezi minne sasa !. Hastahili hata kusema PEOPLES'
 
atafanyaje mambo yote kwa wakat mmoja makontena hayo ndo kiin cha wew kukosa maji kama hayalip kod ulitakaje?
 
Kiukweli huyu Rais wetu Magufuli simuelewi mimi, labda nyie wenzangu mnieleweshe kama mnaelewa. Hivi makontena ya bandari na hao mafisadi papa kuwakamata huwa inasaidia nini wananchi? Ok umekamata wakwepa kodi lakini je inahusiana vipi na maisha ya wananchi wa hali ya chini?? Maana umeme bado ni shida, maji ni shida, hospitali ni shida, sasa hayo makonten 346 yanahusiana na sisi walala hoi??

Nawasilisha

Akili yako haijiwezi pole
 
Kiukweli huyu Rais wetu Magufuli simuelewi mimi, labda nyie wenzangu mnieleweshe kama mnaelewa. Hivi makontena ya bandari na hao mafisadi papa kuwakamata huwa inasaidia nini wananchi? Ok umekamata wakwepa kodi lakini je inahusiana vipi na maisha ya wananchi wa hali ya chini?? Maana umeme bado ni shida, maji ni shida, hospitali ni shida, sasa hayo makonten 346 yanahusiana na sisi walala hoi??

Nawasilisha

Uwe unafikiri kabla ya kuandika upuuzi kma huu.
Hujui hizo kodi ndo pesa za kutengenezea miundo mbinu?????
 
Jamani huyu jamaa! Kunamawili kwanza anaweza kuwa mtoto wavigogo anamslahi na hayo makontena au kazi ya kodi zetu hazijui! Pili umri wake, Hivyo inatakiwa tumjue aliyeandika uzi huu ni nani! Pia anayezungumzia maswala ya Chadema naye anakosea Saizi wanachadema tunamuunga mkono na kumuombea JPM azidishe kukaza ,Kifupi Jpm anatukuna sana kwa anayoyafanya! Tupo naye pamoja sana ila siyo Chama chenu CCM
 
Kwa kweli mtoa mada umetoa mada inayoleta mihemuko mbalimbali. Safi sana. Bila kusahau kaika mambo yote aliyofanya Magufuli mpaka sasa 90% ametumia ilani za UKAWA.
 
Kwa kweli mtoa mada umetoa mada inayoleta mihemuko mbalimbali. Safi sana. Bila kusahau kaika mambo yote aliyofanya Magufuli mpaka sasa 90% ametumia ilani za UKAWA.

Hiyo ilani ya ukawa ni ipi? Au unazani always ni ukawa tu ndo wanaona mapungufu ya ccm yalifanywa na uongozi uliopita, kwanza nikuambie, ww ndo hujui a thing, ukawa hawana ilani ni pili hiyo ya chadema ni ipi au ndo ile tuliyobiwa tukasome kwenye blog.
 
Hivi kuwa ccm lazma uwe mjinga? Jibuni hoja siyo kutukana, msilazimishe kila mtu kukubali 100% yaliyofanywa mpaka sasa na Magufuli! kwani hata watangulizi wake walianza hivyohivyo...
 
usihofu mkuu watakushambulia lkn point yako imeeleweka

Hamna point hapo, kama unaona point basi kichwani utakuwa mtupu

Ila sishangai maana kwa akili ndogo kama yako unachowaza mda mwingi ni utupuutupu tu na kujianika
 
Pole sana kaka juvenile, hilo sio swali la kuuliza hata kama haujaenda shule! nn kazi ya kodi? ukijua kazi ya kodi utajua makontena ayo yanatusaidia nn sisi wananchi wa hal ya chin! cku nyingine usiulize maswali ya kipuuz umu jf maana swali kama hilo hata mwanao angekusaidia kujibu
 
Hiyo ilani ya ukawa ni ipi? Au unazani always ni ukawa tu ndo wanaona mapungufu ya ccm yalifanywa na uongozi uliopita, kwanza nikuambie, ww ndo hujui a thing, ukawa hawana ilani ni pili hiyo ya chadema ni ipi au ndo ile tuliyobiwa tukasome kwenye blog.


LACHERO. siku zote ukweli unauma. Tangu Magufuli aingie Madaraka amekiwa akitumia sera za UKAWA. Kwa mfano. kupunguza safari za nje huku mabalozi wakipewa majukumu hayo siku mskia hata siku mmoja akizungumza ktk kampeni za zaidi ya UKAWA. Yapo mengi sana aliyo copy na kupaste kwakuwa sasa hv ilani ya CCM haiuziki.

Lakini chakujiuliza ni kwamba anafanya hivi kama zima moto ama ataendelea hivi hivi. Kwamfano suala la makontena wamiliki wake wanafahamika na yalikuwa yanakwenda kwa nani sioni haja ya kuuzunguka mbuyu wakati wa husika wanafahamika.

Pia lazima tukumbuke kwamba waliomwezesha yeye kuwa hapo ni hao hao wamiliki wa hayo makontena ambao walitumia mabilioni kuhakikisha CCM inabaki madarakani.

Sasa tusibiri hizo bilioni 80 zitarudi au la tutasikia kesi imeishia hewani.
 
Huna akili wewe,nimeomba kueleweshwa matokeo yake unanikejeli,mxiiiuuu
kwa hiyo na wewe ni great thinker?Huduma zinapatikana vipi bila kodi.kweli tz bado sana.naona ujinga,maradhi hasa ya akili na umasikini bado vimetamalaki
 
Kuna mawili;yawezekana ni kweli muuliza swali hajui uhusiano uliopo kati ya ukwepaji kodi na huduma mbovu za kijamii au anajaribu kupima uelewa wa watu juu ya uhusiano uliopo kati ya ukwepaji kodi na hizo huduma mbovu za kijamii.
 
Ameomba aelimishwe,kejeli za nini?Yawezekana wapo wengi wanaojiuliza swali hilo.Ni sawa na hadithi ya Uchumi kukua kwa 7% lakini mwananchi wa kawaida anakufa kwa kukosa mlo wa siku.

Kwa kawaida mtu hutumia mazingira yanayomzunguka katika kufikiri na kujenga hoja,tangu ashike hatamu,Magufuli amefanya mambo kadhaa ya msingi ambayo impact yake imeelekezwa DSM tu,1:Fedha za tafrija ya wabunge imetumika kununulia Vitanda na magodoro Muhimbili,2:Fungu lililokuwa litumike ktk maadhimisho ya Uhuru(sh.4bl)Zitatumika katika upanuzi wa barabara DSM,sasa unafikiri mwananchi wa kawaida anayekaa vijiji vya Ilyamchele,Kankanshe,Nyabilezi,Buzirayombo au Mabira Jimbo la Chato Mkoa wa Geita atawezaje kuona faida za maamuzi hayo bila ya kuelimishwa?

Hivi ni kweli watu wa Nyengedi,mahumbika,Kiwalala,mbekenyela hadi kule Lukuledi kusini mwa Tanzania wanaweza kujisifu kwamba Rais amewasaidia kwa maamuzi hayo? Basi kama ndivyo,siasa itakuwa ni ushabiki tu kama tunavyoshabikia Simba na Yanga.

kwa hiyo hizo bilioni nne zingefanya miradi nchi nzima? hivi hospitali ya muhimbili ni ya wana dsm au ni ya taifa.mbona tunajitoa ufahamu.matatizo ni mengi unatatua mojamoja kulingana na budget uliyonayo.
 
Back
Top Bottom