Makongoro Nyerere jifunze kutoka kwa Chalamila, punguza Masihara

Siyo kila anayeteuliwa ana shida ya uteuzi. Ila heshima ya kuaminiwana na rais wa nchi ni kitu kikubwa, kuipoteza hiyo eti kusa una vijisenti viwili vitatu vya kunywa kahawa na bia na washikaji zako si jambo la kujivunia.
Mkuu Makongoro amewahi kuhamia NCCR Mageuzi mwaka 1995 alipokatwa ndani ya CCM tena wakati baba yake yupo akiwa bado mwenyekiti wa chama.

Yaani Makongoro huwa anafanya kitu ambacho akili yake huwa inamtuma tu.
 
Ndugu
Kila mtu anajua kuwa Makongoro ni mtoto wa baba wa Taifa

Kila mtu anajua kuwa Makongoro ni easy going

Lakini pindi unapoaminiwa na mkuu wa nchi na ukala kiapo kuna mambo kadha wa kadha unapaswa kuyaacha, kwa mfano yale mambo yanayoshusha hadhi ya ofisi yako.

Kwa hiyo kuna aina ya kauli itabidi uziache
Kuna aina ya sehemu itabidi uache kukaa
Kuna aina ya mavazi itabidi uache

Kila mtu ana life style yake, lakini ukishapewa dhamana fulani unabadilika ili kulinda heshima ya dhamana hiyo.
 
Mkuu, waswahili wanasema tabia ni kama ngozi ya mwili huwezi kuibadili.

Leo Mako ana miaka zaidi ya 60 usitegemee ndio atabadilika tabia kwasababu ya ukuu wa mkoa.

Nafikiri muhimu ni mamlaka ya uteuzi kama ingehitaji mtu wa tofauti na yeye, wapo wengi kuliko kumteua mtu kama yeye halafu ukategemea abadilike.

Kabla ya 2020 alikuwa mbunge wa bunge la Afrika masharti na alikuwa hivyo hivyo.

Wanasema mbwa mzee hafundishwi mbinu mpya.
 
Kama nakumbuka vizuri, Rais SSH aliwahi kusema, bango moja tu kwenye mkutano kiongozi anaondoka madarakani.... Sasa huyu kama kasema mabango ruksa basi alikuwa anapima kina cha maji. Matokeo ni kina kirefu.
Na alisha sema hataki kuzinguliwa kabisa!
 
Kwa lugha rahisi unataka Makongoro aishi kama yuko Jela.

Maisha hayawezi kusimama kwakuwa eti mtu siyo mkuu wa mkoa.

Acheni kuabudu TEUZI.

Makongoro siku zote yuko hivyo, leo ana miaka karibu 60 ndio unategemea kwasababu umemteua Mkuu wa mkoa ndio atabadilika.
Wanafiki na boot lickers kamwe hawawezi kumuelewa Makongoro. Born free, living free. Tanzania oyee.
 
Mkuu, waswahili wanasema tabia ni kama ngozi ya mwili huwezi kuibadili.

Leo Mako ana miaka zaidi ya 60 usitegemee ndio atabadilika tabia kwasababu ya ukuu wa mkoa.

Nafikiri muhimu ni mamlaka ya uteuzi kama ingehitaji mtu wa tofauti na yeye, wapo wengi kuliko kumteua mtu kama yeye halafu ukategemea abadilike.

Kabla ya 2020 alikuwa mbunge wa bunge la Afrika masharti na alikuwa hivyo hivyo.

Wanasema mbwa mzee hafundishwi mbinu mpya.
You can't teach an old dog new tricks.
 
Chalamila kaondolewa kwa mambo mengi, alitakiwa kuondolewa kitambo
Ni sawa ila sio kwa style ile,unamwamisha mtu kwenda mkoa mwingine siku 10 tu unamwachisha kazi?
Is it fair?
Thats pyscholog torture. Angemtumbua huko huko Mbeya.
Fikiria familia yake maybe ndo kwanza wapo njiani kwenda Mwanza,hata kama wamefika ndo wanajipanga.
Uhamisho watoto,kila kitu jamaa aanze upya.
Sijapenda kabisa na kwa hili navaa viatu vyake hadi machozi yananitoka.
Angepewa hata warning.
Chalamila ana upuuzi mwingi ila sijapenda alichofanyiwa.
 
True say aisee Bora utolewe kuliko kuishi maisha ya Namna iyo ushindwe kufurai maisha kwa sababu ya TEUZI
Unaongea tu wewe, haya maneno unayasema ukiwa nyuma ya keyboard ya simu ama computer unayotumia kuandika hapa, infact hata mkeo/ mmeo ama mchepuko unaishi nao kwa wasiwasi sembuze aliyekuteua ama aliyekupa kazi?

We always remain submissive to whoever above you, na ufyata tu.
 
Back
Top Bottom