masihara

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. GENTAMYCINE

    Niliwaonya hapa hapa kuwa Kawaondoeni Ndugu zenu kwa akina Fally Ipupa na Ferre Gola kwani 'Namba M' hawana Masihara mkanipuuza

    Na baadhi ya wale ninaoongea nao kutoka kwa akina Fally Ipupa na Ferre Gola wanasema kuwa Walioondoka na Pumzi ya Moto siyo Watatu ila wako Tisa na huenda Wasafiri wengine wa Kuondoka na hawa Abiria Wazembe Watatu hadi Kenda ( Tisa ) tunaotamba nao Wakaongezeka. Shikamooni sana Namba M na labda...
  2. Expensive life

    Ila tuache masihara huyu dada mzuri aiseeeh.

    Irene uwoya, so beautiful aiseeh. Au nakosea vidume wenzangu?
  3. ndege JOHN

    Ila jamani tuache masihara Dar pazuri points zinaibeba

    A:Waponda dar 1. joto (umaskini & njaa) 2.kero ya usafiri (jam) 3.uchafu (miundombinu) 4.maadili mabovu(usasa) B:wapenda dar 1.michoro nje nje (madeal) 2.starehe,anasa na vibe(viwanja) 3.Totoz (everywhere) 4.maujanja yote (sekta zote)
  4. mfate42

    Usiombe namba ya mwanamke Kwa lengo la masihara

    Habar za muda huu ndugu zangu, Kwa tulipofikia sasa, usijaribu kumuomba namba mwanamke kwa lengo la utani au kujaribu kutest zali, na ukijaribu kufanya hivyo bas ujue atakuganda hadi ujute kwanini ulichukua namba yake.
  5. Mjukuu wa kigogo

    Masihara haya ni hatari afya yako....Endeleeni tu ipo siku tu

    Msije sema sijawaambia!Angalia yaliyomkuta mwenzenu
  6. Wadiz

    Kama masihara tangu msiba wa kitaifa 17-03-2021 wanawake wamepindua meza kwa kila kitu

    Hello mambo aje JF! Kama masihara ila ukiangalia kwa darubini kali kuna kitu kimejificha tangu tupigwe tukio la msiba wa kitaifa 17-03-2021 kuna namna wanawake wamepoteza Ile nafasi yao na heshima kwa wanaume na imekuwa kama masihara hata wao hawaamini kama meza imenduka na wana hali fulani ya...
  7. MakinikiA

    Hawa Iran hawatanii na hawana masihara

    Iran yamnyonga raia mwenye uraia wa Uingereza na Iran Raia wa Uingereza na Iran Alireza Akbari, ambaye alihukumiwa hukumu ya kifo nchini Iran, amenyongwa. Familia ya Bw Akbari ilikuwa imeombwa kwenda katika gereza lake kumuona kwa “mara ya mwisho" siku ya Jumatano na mkewe alisema alikuwa...
  8. Bundakwetu

    Asante 2022, nilipata mil. 4.5 kimasihara

    Nikiwa nimepitia misukosuko mingi tangu Januari ya mwaka 2022 Nitaikumbuka zaidi siku ya Alhamis tar 29 majira ya saa saba za mchana, nikiwa nimekaa kijiweni na jamaa zangu huku nikiwa sina ramani ya kazi na sikuwa hata na uhakika wa mlo wa mchana kwa siku hiyo iliingia sms ya muamala kwenye...
  9. Mp4real

    Haya masihara ya riki boy

    Wasalaam!🤞 Nipo town kama kawa nasaka minoti,ila dakika 15 zilizopita nimetoka kumshusha bidada moja hivi black beauty ya kawaida toka kwenye tax yangu akitokea place x to sky city. Alipoingia kwenye ndinga nikamsalimu as usual + nikampokea kisha tukaanza route..sipendi abiria wangu awe kimya...
  10. adriz

    Watanzania tumekosea wapi? Nilidhani masihara kuwa gharama za vifurushi zimeendelea kupanda

    Kwa masikitiko makubwa niende moja kwa moja. Watanzania wengi hatuelewi na hatujapata bado ufafanuzi sababu zinazopelekea Vifurushi vya Internet kupanda mara kwa mara tena kwa ghafla miezi michache tokea Rais Samia achukie madaraka. Alianza kuupiga mwingi hadi tukawa tunajifia mitandao kwa...
  11. Tanzania Railways Corp

    Taarifa kwa Umma: Ajali ya Treni ya Abiria - Malolo, Tabora

    TAARIFA KWA UMMA TRENI YA ABIRIA KUTOKA KIGOMA YAPATA AJALI TABORA Shirika la Reli Tanzania (TRC) linautaarifu umma kuwa Treni ya abiria namba Y14 yenye injini namba 9019, iliyokuwa ikisafiri kutoka Kigoma kuelekea Dar es Salaam, imepata ajali majira ya saa 5:00 asubuhi eneo la Malolo...
  12. Venus Star

    Wameibuka wandishi wa habari wenye masihara sana, ni afya kwa Taifa?

    Uandishi wa habari kwa sasa umekuwa wa ajabu sana. Umegubikwa na masihara, mizaha na kutoa taarifa ambazo ni za uongo. Tukiendelea kulea na kuendekeza masuala haya tutaua nchi yetu. Hakuna mtu anayekemea, viongozi wapo kimya tu. Kwanini haya mambo hayakemewi!?
  13. Richard

    Siamini serikali inakusanya kodi ipasavyo. Kanzidata ya wapiga kura 2015 na zingine zitumike kuwatambua walipakodi nchi nzima

    Kuna mambo ambayo nakubaliana na hayati Magufuli khasa katika utekelezaji wa sera za CCM hususani dira ya maendeleo ya 2015-2025. Hayati Magufuli alitaka kila mradi khasa ile miradi mikubwa ikamilike kabla ya 2020. Moja ya miradi ambayo hata hivyo alitaka ikamilike mwaka huu ni ujenzi wa mji...
  14. guzman_

    Jamani tuache masihara. Hizi pisi kali ni hatari kuliko Corona

    Leo juma3 ila mood yangu haiko sawa. Takribani miezi 8 nyuma nilifahamiana na kadada kamoja kamodo kazuri keupe ila takoless nikarusha nyavu baada ya kama wiki kakajaa. Baada ya kufahamiana sana ndo nikajua kalisoma IFM na ni yupo tu amepanga anafukuzia kazi mjini hapa. Inshort alikuwa kama...
  15. M

    Makongoro Nyerere jifunze kutoka kwa Chalamila, punguza Masihara

    Brother Mako Najua wewe ni mtu wa masihara na utani utani mwiiingi. Utani hoye! Najua wewe ndivyo ulivyo toka long time kitambo. Ila nataka nikueleze kitu, Kuwa makini sana na utani wako usifikie hatua ya kuharibu haiba na taswira ya taasisi ya Urais au rais mwenyewe!. Namaanisha ukimtaja...
Back
Top Bottom