Makongoro Nyerere apata ajali ya gari Babati

Makongoro Nyerere apata ajali ya gari Babati

Andrew tueleze kinagaubaga maana lugha ya code kuing'amua inakuwa ngumu wengine .Wewe tuambie kama Uncle Mako kweli amepata ajali au la
 
Nimekuelewa sana endrew Nyerere ...
Kwamba ni kiasi gani nduguyo mako anashindwa kukupa umhimu wa pekee. Yaani anadiriki kuwapa taarifa marifiki wa WatsApp na kukutenga wewe ndugu wa damu?!
Yaani hakupi hata namba yake atumiayo huko mitandaoni?!
Amma kweli mako kafirisika uzalendo hadi kwa nduguze?
 
Genta kumbe hujaelewa !. Hajaziona ili watu humu tuulize kwa nini hajaziona jibu lije kuwa anatumia kitochi! .

Watoto wa Mwalimu ni down to earth like father like son, Nasikia Mwalimu alikataa kutumia mobile. Sasa meanie anatumia kitochi! .

Get well soon from shock. Kwa jinsi ninavyokufahamu Makongoro, next time you have a long safari please have a driver!. We still needs you.

And you carry the family name upon your shoulders.

Pasco
Pasco welcome back brother
 
Stress za kutokumbukwa na Magu pamoja na mapovu yote yaliyomtoka kwenye kampeni
Sijui hajajinyea?
 
Mbona na ng'ombe hajampiga picha tujue hali yake! Kama ajali ilihusisha viumbe wawili why tujue habari na hali ya kiumbe mmoja! Hii si sawa.

Hao ng'ombe watakuwa walikatika mikia tuu. Wakirudi zizini watapokelewa tuu.
 
kwani Mako anachezea cha pombe ooh sory i mean cha ndimu?
 
Back
Top Bottom