Papushikashi
JF-Expert Member
- Feb 28, 2016
- 11,559
- 14,329
Pombe
Kazi kweli kweliHuyu jamaa uandishi wake dah [emoji3]
Najiuliza sana Andrew Nyerere kama ana-access JF kwanini anashindwa kupata access ya watsapp ya Makongoro."Nasikia ameweka picha kwenye whatsup lakini sijaziona" .... Jamani wenye picha tupieni hapa tuone, pole sana Chief Makongoro Nyerere.
Nahisi Makongoro atakuwa amem-block Andrew Nyerere kwenye WhatsAppSasa Andrew kama Wewe Kaka Mtu kabisa huna picha zake za WhatsApp sisi wengine tungezipataje? au namba yake nayo huna? Kazi ipo hakyamungu......!
Inaoneka hawa watu sio ndugu zaidi ya kushare sir name ya Nyerere.Me kuna jamaa nilimaliza naye advanced school alikuwa na sir name ya Nyerere lkn nilipomuuliza alisema Baba yake alipewa hilo jina kwa sababu ya Nyerere kukubalika kijijini kwao.Najiuliza sana Andrew Nyerere kama ana-access JF kwanini anashindwa kupata access ya watsapp ya Makongoro.
Hivi Mako alishaachaga kukata maji sababu nakumbuka alikua akiingia bar enzi hizo Arusha alikua anatoka kama bia zote zimeisha.Jana.Makongoro alipokuwa anarudi Arusha baada ya kutoka Dodona,amemgonga ng'ombe amepata ajali. Hakuumia. Alikuwa peke yake ndani ya gari.Nasikia ameweka picha katika Whatsup lakini sijaziona.
tena anakwambia alisikia ameziweka,nahisi hata hakuwa na muda hata wa kumfuatilia nakujua hali yake ipojeSasa Andrew kama Wewe Kaka Mtu kabisa huna picha zake za WhatsApp sisi wengine tungezipataje? au namba yake nayo huna? Kazi ipo hakyamungu......!
Mkuu hii post yako imewagusa kwa kiasi kikubwa ma prince wetuGenta kumbe hujaelewa !. Hajaziona ili watu humu tuulize kwa nini hajaziona jibu lije kuwa anatumia kitochi! .
Watoto wa Mwalimu ni down to earth like father like son, Nasikia Mwalimu alikataa kutumia mobile. Sasa meanie anatumia kitochi! .
Pasco
Yaani ndugu yako anapata ajali anaweka picha whatsApp kabla ya kuwatafuteni ndugu zake? Inaonyesha mapungufu makubwa sana kifamilia. Ni mtazano wangu tu.Jana.Makongoro alipokuwa anarudi Arusha baada ya kutoka Dodona,amemgonga ng'ombe amepata ajali. Hakuumia. Alikuwa peke yake ndani ya gari.Nasikia ameweka picha katika Whatsup lakini sijaziona.
Angemtukana tu huyo ng'ombe... Bingwa wa matusi yuleJana.Makongoro alipokuwa anarudi Arusha baada ya kutoka Dodona,amemgonga ng'ombe amepata ajali. Hakuumia. Alikuwa peke yake ndani ya gari.Nasikia ameweka picha katika Whatsup lakini sijaziona.
Huu usemi unamaana kwa wenzetu. Hapa bongo tunajua "don't drive and drink". In other words you can drink and drive as long as you will not be drinking while driving. Si unaona hata madereva wa mabasi huajiza bia wakati abiria wana kula wakiwa safarini!Dont Drink and Drive.