farajakwangu
JF-Expert Member
- Jun 13, 2015
- 1,942
- 701
Pole sana, Ng'ombe amekatka mkia ??
Nyerere alikufa na kila kitu chakeMwalimu alikuwaga kichwa sana, hivi ni nani alimrithisha akili zake? Nauliza tu ila sidhani kama ni huyu mgonga ng'ombe!
Mwalimu alikuwaga kichwa sana, hivi ni nani alimrithisha akili zake? Nauliza tu ila sidhani kama ni huyu mgonga ng'ombe!
Mkuu,nadhani atakuwa alimuachia mama MariaMwalimu alikuwaga kichwa sana, hivi ni nani alimrithisha akili zake? Nauliza tu ila sidhani kama ni huyu mgonga ng'ombe!
Genta kumbe hujaelewa !. Hajaziona ili watu humu tuulize kwa nini hajaziona jibu lije kuwa anatumia kitochi! .Mkuu mbona unatufahamisha kama vile wewe ni mpita njia wakati huyo aliyepata ajali ni nduguyo wa damu/relative?
Nasikia jamaa ni mdau mkubwa wa tblDont Drink and Drive.
Atapelekwa zizini pale lumumbaPole sana, Ng'ombe amekatka mkia ??
Mbona na ng'ombe hajampiga picha tujue hali yake! Kama ajali ilihusisha viumbe wawili why tujue habari na hali ya kiumbe mmoja! Hii si sawa.
Ndiyo huyo huyo aliyekuwa 'ameutwika' pale Jangwani mwaka jana akisema kofia hoyee.... Na miwani hoyee.....Huyu ndo yule aliekuwa anaongea vitu vya ajabu kwenye kampeni?
Kama mleta uzi kasema picha zimepigwa unategemea zisionekane? Wewe nae sijui uko kwenye jupiter!Umeziona picha au umekurupuka tu?
Halafu kuna kipindi CCM walitaka huyu ndiye awe Rais wa TANZANIA.
Ng'ombe amekatika mkia.Vipi ng'ombe amepona?