Makonda yuko sahihi. Kubadili jina kuko kisheria

Makonda yuko sahihi. Kubadili jina kuko kisheria

Tunaenda koromije kwa majirani na watu aliosoma nao ahaaa takwimu zipo, aliosoma nao sekondari wapo,
 
Hakika CCMkumejaa vilaza,alichokifanya kisheria anatakiwa kuhukumiwa miaka isiyopungua 7 jela,hapo bila ya kuunganisha makosa mengine wakati anatumikia ofisi ya umma ie matumizi mabaya ya ofisi ya umma na mikataba yoyote aliyosaini ni fake!!
kwani president kafanya unauthorized delegation???
 
sio siri elimu ya mtz inahitaji kurudiwa. kwa namna nyingine naona ndio mtaji wa CCM
 
kubadili jina haina tatizo tunakubali hata padri anauwezo kubadilisha jina
lakini si kutumia vyeti vya shule ni kosa la jinai
 
Hahahahah bashite kaangua kilio kizito leooo mpaka inafkia mahali nimemuonea huruma ila jamaa anastahili oscar
Mi ndomana sishangai wanaume wa Dar scorpion kafanya yake, kumbe mbabe wao wa vita huwa analialia tu, je watu wake tena wanaume si watalia kupita yeye, maana mdogo akiona mkubwa wake analia yeye ugalagala.
 
Kweli buana yuko sahihi,si yeye tu bashite wapo wengi tu walobadili majina ila chadema wamekomalia hii ishu balaaa
sio chadema! wapenda haki wote, wiki jana nesi kala mvua 35 kwa kufoji cheti leo tunamsifia Daudi Bashite ati mchapakazi?

Kwani yule nesi alishindwa kazi? si nae alikua mchapakazi na hakukosea kazi!
 
Kuna tofauti kubwa kati ya kubadili jina na kutumia jina la mtu mwingine!! Tuhuma za Makonda sio kubadili jina bali kutumia jina la mtu mwingine... kwa maana nyingine, anajifanya Daudi Makonda wakati sio Daudi Makonda!!

Tunavyosema kubadili jina; kwa mifano ya karibuni kabisa ni kama ambavyo Loveness Malinzi alivyobadili jina kutoka Loveness na kuwa Diva!!
 
Hahahaa unaapa kubadili jina la ukoo,

ninachojua sana sana unaweza kubadili jina la kwanza tena kwa sababu maalum kama ubatizo, ndoa nk. Ila ni ajabu sana kuona mtu anabadili ubini hadi jina la ukoo.
 
hiyo ya kununua elimu ya mtu ni uzushi tu wa CHADOMO

Kinachomfanya alie ni nini?! Kutoa maelezo kua nilibadili majina ni kazi eeh[emoji23][emoji23][emoji23] mpaka ukimbilie kwa mashehe na mapadri mfunyuu
 
Wana JF.
Kubadilisha jina ni jambo la kawaida na linaruhusiwa kisheria ni suala la kwenda mahakamani na kuapa tu kama Paul Makonda aliamua kuchukua jina hilo badala ya Daudi Bashite na akaapa mahakamani hajavunja sharia yoyote ile ni haki yake kisheria acheni hoja za hovyo hovyo.

Mfano kwenye suala la Makonda hii inawezekana
Shule ya msingi ametumia jina la Daudi Bashite

Secondary School akatumia Paul Christian Muyenge

Chuo akatumia Paul Makonda.

Kisheria hii inawezekana kabisa na wala hakuna kosa lolote .
Ok,kwahiyo unataka kusema huyu kiumbe hakuwahi kutumia cheti cha mtu bali aliamua kubadilisha jina hili aondokane na mkosi wa kufelifeli darasani?
 
Ndio wazazi wake walisema pia walipohojiwa na zamaradi kuwa daudi alibadili jina lake na la babaake....walisema hayo ktk ile video tazama dakika ya 1575000886655 na sekunde 564885789904224 utaona
 
Kubadili jina sio tatizo, but kupata 0 form 4 halaf ukafika degree...
 
Suala sio kubadili jina, suala ni kutumia vyeti vya mtu mwingine!
 
iv yule kaim mkuu wa mkoa alikwepo toka kitsmbo au ..na wakat anaenda kumpkea raic ..mkuu wa mkoa alikuwa wap..duh safar ndo inaanza nn ya kwahel...maana si kwa kuliaa vilee hahaaa tusubir tuone
Alikuwa kanisani kkkt usharika wa kimara
 
Kama umesahau ulizaliwa lini, wapi ?,umesoma wapi...historia yako kwa ufupi basi mvae gwajima kichwa kichwa utayajua yote.....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Wana JF.
Kubadilisha jina ni jambo la kawaida na linaruhusiwa kisheria ni suala la kwenda mahakamani na kuapa tu kama Paul Makonda aliamua kuchukua jina hilo badala ya Daudi Bashite na akaapa mahakamani hajavunja sharia yoyote ile ni haki yake kisheria acheni hoja za hovyo hovyo.

Mfano kwenye suala la Makonda hii inawezekana
Shule ya msingi ametumia jina la Daudi Bashite

Secondary School akatumia Paul Christian Muyenge

Chuo akatumia Paul Makonda.

Kisheria hii inawezekana kabisa na wala hakuna kosa lolote .
Naunga mkono hoja, ndio maana tumempongeza rais kwa kuzipuuzia kelele hizi.

Kubadili jina ni process ya kisheria na jina likiisha badilishwa husajiliwa kwa msajili wa hati, na tukashauri, kama alipobadili jina hakulisajili rasmi, then tumemshauri Magufuli atengue uteuzi wa Paul Christian Makonda kama Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam na hapo hapo amteue Daudi Albert Bashite kuwa Mkuu mpya wa Mkoa wa Dar es Salaam.
Heko Rais Magufuli kwa msimamo thabiti. Shikilia hapo hapo. Kelele za Mlango Zisikukoseshe Usingizi!
Paskali
 
Suala ni cheti sio jina mbona mnataka kupotosha Mara Vita ya madawa mweee nasubiri le mutuz aombe radhi kwa kua karibu na mfoji vyeti maana ndio zake kuwakana marafiki wapatapo matatizo
 
Back
Top Bottom