simba45 mkali
JF-Expert Member
- Oct 15, 2012
- 1,980
- 1,881
Teh teh teh eeeramezungusha yaani
Teh teh teh eeeramezungusha yaani
form four jina alilotumia ni Paul...ukifika form 2 unaruhusiwa kubadili jinaUnaambiwa alimaliza f4 na jina la Daudi akatoka na zero, akanunua cheti cha Paul Christian M, yeye alikuja kubadilisha jina akiwa uraiani
Hata mie nimehisi hivyo hata gari yake sijaona ikipeperusha benderaHapana alitumia cheti cha Paul Christian Muyenge then baadae ndo akabadili jina to Paul Makonda kosa Si kubadili jina bali kutumia cheti. Huyu kiumbe pengine keshatumbuliwa Maana kuna kaimu Mkuu wa mkoa wa Dar sasa na ndiye aliyeenda kumpokea Magu!! Let's wait and see!!
Halaumiwi kwa kubadili jina bali analaumiwa kwa kusemekana kutumia cheti cha mtu mwingine!Wana JF.
Kubadilisha jina ni jambo la kawaida na linaruhusiwa kisheria ni suala la kwenda mahakamani na kuapa tu kama Paul Makonda aliamua kuchukua jina hilo badala ya Daudi Bashite na akaapa mahakamani hajavunja sharia yoyote ile ni haki yake kisheria acheni hoja za hovyo hovyo.
huyo Paul Muyenge na Paul Makonda ni mtu mmojaNdugu sijasema kubadili jina ndo kosa, kosa lake katumia cheti cha Paul Christian Muyenge.
huyo Paul Muyenge na Paul Makonda ni mtu mmoja
huyo mtu mwingine hayupo...Daudi na Paul ni mtu mmoja na division inayosomeka ni div 3 !Halaumiwi kwa kubadili jina bali analaumiwa kwa kusemekana kutumia cheti cha mtu mwingine!
Tatizo hakubali kama Daudi ni jina lake na Daudi alizungusha divisheni zero. Kubadili jina hakuwezi kubadili matokeo yake! Inabidi ahame na ziro yake kwenye hilo jina jingine!
Aliapa Mwaka gani na vyeti ni Vya Mwaka gani? Shule ya msingi alisoma kwa majina gani, na nje sekondari kwa majina yapi. Na matokeo take halali ni yapi? Jina kabadilisha ana umri gani? Wazazi wake walijua. Tusiwe tunaongea tu na kushabikia kwa huruma. Nchi hii vyeti Vya kugushi na fake no vingi mno. Watumishi wengi wapo hatiani. Kwahio Bashitee au Paula Makondi, ajitokeze kama public figure nakuweka wazi nsitofahamu hii kwa wana Dar es Salaam na taiga kwa ujumla.Wana JF.
Kubadilisha jina ni jambo la kawaida na linaruhusiwa kisheria ni suala la kwenda mahakamani na kuapa tu kama Paul Makonda aliamua kuchukua jina hilo badala ya Daudi Bashite na akaapa mahakamani hajavunja sharia yoyote ile ni haki yake kisheria acheni hoja za hovyo hovyo.
huyo Paul Muyenge na Paul Makonda ni mtu mmoja
lala mkuu unapambana japo bila kutumia akilihuyo mtu mwingine hayupo...Daudi na Paul ni mtu mmoja na division inayosomeka ni div 3 !
shule ya msingi Daudi Bashite....Secondary Paul Muyenge...chuo Paul Makonda.....yote hii kisheria inawezekanaAliapa Mwaka gani na vyeti ni Vya Mwaka gani? Shule ya msingi alisoma kwa majina gani, na nje sekondari kwa majina yapi. Na matokeo take halali ni yapi? Jina kabadilisha ana umri gani? Wazazi wake walijua. Tusiwe tunaongea tu na kushabikia kwa huruma. Nchi hii vyeti Vya kugushi na fake no vingi mno. Watumishi wengi wapo hatiani. Kwahio Bashitee au Paula Makondi, ajitokeze kama public figure nakuweka wazi nsitofahamu hii kwa wana Dar es Salaam na taiga kwa ujumla.
Sidhani kama uko sahihi mkuu, robo kilo ni kubwa sana punguza!kumtetea bashite lazima uwe na akili robo kilo
Ukiwa na wakili kama huyu hata ukishindwa kesi unamlipa bila kinyongo. Endelea kaka labda utetezi wako utaonekana wa maana kwa unaofanana nao, siye bado hatudanganyiki na abrakadabra.shule ya msingi Daudi Bashite....Secondary Paul Muyenge...chuo Paul Makonda.....yote hii kisheria inawezekana
sina usingizilala mkuu unapambana japo bila kutumia akili
Ila jaman huyu makonda hanakosa kabisaWana JF.
Kubadilisha jina ni jambo la kawaida na linaruhusiwa kisheria ni suala la kwenda mahakamani na kuapa tu kama Paul Makonda aliamua kuchukua jina hilo badala ya Daudi Bashite na akaapa mahakamani hajavunja sharia yoyote ile ni haki yake kisheria acheni hoja za hovyo hovyo.
Mfano kwenye suala la Makonda hii inawezekana
Shule ya msingi ametumia jina la Daudi Bashite
Secondary School akatumia Paul Christian Muyenge
Chuo akatumia Paul Makonda.
Kisheria hii inawezekana kabisa na wala hakuna kosa lolote .
umeona eeIla jaman huyu makonda hanakosa kabisa
Chadema tenaKweli buana yuko sahihi,si yeye tu bashite wapo wengi tu walobadili majina ila chadema wamekomalia hii ishu balaaa