Makonda yuko sahihi. Kubadili jina kuko kisheria

Makonda yuko sahihi. Kubadili jina kuko kisheria

laki si pesa.

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2015
Posts
9,983
Reaction score
9,760
Wana JF.
Kubadilisha jina ni jambo la kawaida na linaruhusiwa kisheria ni suala la kwenda mahakamani na kuapa tu kama Paul Makonda aliamua kuchukua jina hilo badala ya Daudi Bashite na akaapa mahakamani hajavunja sharia yoyote ile ni haki yake kisheria acheni hoja za hovyo hovyo.

Mfano kwenye suala la Makonda hii inawezekana
Shule ya msingi ametumia jina la Daudi Bashite

Secondary School akatumia Paul Christian Muyenge

Chuo akatumia Paul Makonda.

Kisheria hii inawezekana kabisa na wala hakuna kosa lolote .
 
Wana JF.
Kubadilisha jina ni jambo la kawaida na linaruhusiwa kisheria ni suala la kwenda mahakamani na kuapa tu kama Paul Makonda aliamua kuchukua jina hilo badala ya Daudi Bashite na akaapa mahakamani hajavunja sharia yoyote ile ni haki yake kisheria acheni hoja za hovyo hovyo.
kifungu namba ngapi??? ibara ya ngapi???
 
Hahahahah bashite kaangua kilio kizito leooo mpaka inafkia mahali nimemuonea huruma ila jamaa anastahili oscar
What makes him to cry ?.aidhaa anajua kuwa alifanya kosa sasa anahitaji huruma ya watu .pili analia kwa uchungu kwaku pewa kashfa nzito ambayo hastahili.lakini haya yote ya nini?.Akanushe hizi tuhuma ili abaki safi.Je? Maisha yake baada ya U RC kuisha huenda yanamfanya alie kwani hakuna wakuwaweka ndani,Hakuna wakuwakashfu.Hakuna wakufanya wamtetemekee.na wale ambao amewatendea ubaya je ?watamuacha?.Akumbuke kuwa kuna watu kawatesa nakuwadhalilisha pasina hatia kwa ujuha wake .hawa watu dhaifu ambao hawana wakuwatetea zaidi ya mungu wao aliye hai na si yeye
 
Wana JF.
Kubadilisha jina ni jambo la kawaida na linaruhusiwa kisheria ni suala la kwenda mahakamani na kuapa tu kama Paul Makonda aliamua kuchukua jina hilo badala ya Daudi Bashite na akaapa mahakamani hajavunja sharia yoyote ile ni haki yake kisheria acheni hoja za hovyo hovyo.
So achukue vyeti ndo abadili jina hahahajajaja wewe kimeo kweli unafadhani issue rahisi hivyo
 
Nakumbuka tukiwa kidato cha pili kabla ya mtihani taifa, lilitolewa tangazo kwa anayetaka kubadili jina, na wako waliotumia nafasi hiyo kuyarudia majina yao halisi baada ya kuingia sekondari kwa majina ya watu wengine.
 
Hakika CCMkumejaa vilaza,alichokifanya kisheria anatakiwa kuhukumiwa miaka isiyopungua 7 jela,hapo bila ya kuunganisha makosa mengine wakati anatumikia ofisi ya umma ie matumizi mabaya ya ofisi ya umma na mikataba yoyote aliyosaini ni fake!!
Kwa hiyo na wewe unavyojiita kipumbwi badala ya Yohana unatakiwa kuhukumiwa miaka isiyopungua 7?
 
Back
Top Bottom