MWITA100
Senior Member
- Jul 9, 2015
- 165
- 55
Hiyo inawezekana but lazima uwe na sababu ya kueleweka Mara nyingi ninakuwa ni kuchanganya majina kwenye vyeti mfano, la saba undrinkable( john kigoche mwingi), o level ukatumia ( kigoche john mwingi) hapo unaweza kubadiki but CV yako inabaki vile vile,