Makonda yuko sahihi. Kubadili jina kuko kisheria

Makonda yuko sahihi. Kubadili jina kuko kisheria

Amekutuma eeeh
ataendelea kushinda kwenye nyumba za ibada akifikiri anatatua tatizo kumbe anajidhihirisha unafki wake wa hali ya juu
Mwizi wa vyeti, na Makomeo nae anatupa wasiwasi sana kwa jinsi anavyochelewa kulifanyia kazi hili swala
 
Naunga mkono hoja, ndio maana tumempongeza rais kwa kuzipuuzia kelele hizi.

Kubadili jina ni process ya kisheria na jina likiisha badilishwa husajiliwa kwa msajili wa hati, na tukashauri, kama alipobadili jina hakulisajili rasmi, then tumemshauri Magufuli atengue uteuzi wa Paul Christian Makonda kama Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam na hapo hapo amteue Daudi Albert Bashite kuwa Mkuu mpya wa Mkoa wa Dar es Salaam.
Heko Rais Magufuli kwa msimamo thabiti. Shikilia hapo hapo. Kelele za Mlango Zisikukoseshe Usingizi!
Paskali
hahahaha......umenichekesha sana .........
 
Well said ndugu,,,,,,n am sure anapachikiwa hili suala ili mchomoa kwenye system hao ndo drug dealers
 
Kweli buana yuko sahihi,si yeye tu bashite wapo wengi tu walobadili majina ila chadema wamekomalia hii ishu balaaa
Ww waache tu hawajui mda unawaishia watakuja kushtukia 2020 iko mlangon then wanapigwa tena kwa 87% wamekalia udaku tu humu wanafk wakubwa hawa
 
Ndo nasikia leo kama mtu unaweza kuwa na vyeti tofauti kuanzia primary, sekondari na chuo kila level cheti kina majina tofauti na level nyingine. Mleta uzi huu naona bora utoe uzi wako maana naona huenda ndo mfagizi wa geto la bashite.
Kwaani tatizo si aweke hivyo vyeti na viapo hadharani tatizo nn?
 
kifungu namba ngapi??? ibara ya ngapi???
Zamani sekondari mkifika form four kulikuwa na utaratibu wa kubadili majina a yaxsiyozidi mawili ambayo utayatumia katika mtihani wa form four. pia chuo kama dit zamani hizo registerar alikuwa pia a anafanya hivo na hakuna cha jwenda mahakamani wala nini na baraza la mithani walikuwa wanakubaliana na hilo.
 
Mkuu:
Hivi ni sababu zipi zinazo pelekea wewe ubadili badili majina kwa njia ya viapo.
Labda umeolewa na wanaume mbalimbali au unafanya maovu katika jamii.
 
Forgery ni kosa kisheria! Huyo Bashite anapaswa kuwa Segerea anakula dona
 
Wana JF.
Kubadilisha jina ni jambo la kawaida na linaruhusiwa kisheria ni suala la kwenda mahakamani na kuapa tu kama Paul Makonda aliamua kuchukua jina hilo badala ya Daudi Bashite na akaapa mahakamani hajavunja sharia yoyote ile ni haki yake kisheria acheni hoja za hovyo hovyo.

Mfano kwenye suala la Makonda hii inawezekana
Shule ya msingi ametumia jina la Daudi Bashite

Secondary School akatumia Paul Christian Muyenge

Chuo akatumia Paul Makonda.

Kisheria hii inawezekana kabisa na wala hakuna kosa lolote .
Ni kweli IPO kisheria. Je kuchukua cheti cha MTU IPO kisheria?
 
Mtu umepata Sufuri afu unajiliza inasaidia nin?! Nenda Kisongo miaka 7 then ukitoka ujipange urudie pepa tena
 
Yaan umetumia cheti cha mtu kujiendeleza baada ya wewe kupata mzunguko ziiro sasa umepata madaraka unayatumia vibaya tena unawatesa wenye vyeti vya kweli Sasa watu wanataka vyeti vyako mnailaumu Chadema ati inamhenyesha huyo zero division hivi mnafikiria kwa central nervous system au excretory system mbona vijana wa Lumumba mnathibitisha kuwa huko ndo tanuli la maziiro? Hivi bashite si alitokea huko Lumumba na anaziro na pengine yeye ndo alikuwa bright Sasa mliobaki huko mpoje? Yaan alifeli yeye halafu mnailaumu Chadema acheni udaku, mwambieni alete vyeti aache kulialia kama kachanga wakati amekomaa.
 
What makes him to cry ?.aidhaa anajua kuwa alifanya kosa sasa anahitaji huruma ya watu .pili analia kwa uchungu kwaku pewa kashfa nzito ambayo hastahili.lakini haya yote ya nini?.Akanushe hizi tuhuma ili abaki safi.Je? Maisha yake baada ya U RC kuisha huenda yanamfanya alie kwani hakuna wakuwaweka ndani,Hakuna wakuwakashfu.Hakuna wakufanya wamtetemekee.na wale ambao amewatendea ubaya je ?watamuacha?.Akumbuke kuwa kuna watu kawatesa nakuwadhalilisha pasina hatia kwa ujuha wake .hawa watu dhaifu ambao hawana wakuwatetea zaidi ya mungu wao aliye hai na si yeye
Mnapouza na kubwiya unga mnaona furaha , mm naona kilio kikubwa humu ni mateja na wauza pods ndio mnamkomalia Makonda , acha kubwiya unga , wengi humu hamtaki kusikia habari ya unga maana mnafaidika , Hii dar ni ya Makonda lazima asafishe jiji
 
Wana JF.
Kubadilisha jina ni jambo la kawaida na linaruhusiwa kisheria ni suala la kwenda mahakamani na kuapa tu kama Paul Makonda aliamua kuchukua jina hilo badala ya Daudi Bashite na akaapa mahakamani hajavunja sharia yoyote ile ni haki yake kisheria acheni hoja za hovyo hovyo.

Mfano kwenye suala la Makonda hii inawezekana
Shule ya msingi ametumia jina la Daudi Bashite

Secondary School akatumia Paul Christian Muyenge

Chuo akatumia Paul Makonda.

Kisheria hii inawezekana kabisa na wala hakuna kosa lolote .
Ninavyojua kuna sababu za msingi zinazoweza kukubalika kubadili jina. Kwamfano mwanamke anapobadili jina la ukoo na kuitwa la ukoo wa mume ni sawa maana sababu zake zinaeleweka, kubadili jina kwa nia ya kukwepa uovu uliofanyika sio sawa, maana kuna sababu za msingi ambazo kwenye kiapo utazieleza. Fikiria kama itatokea mtu akachukua cheti cha Daktari aliyehitimu akaenda mahakamani na kuomba kuitwa jina lililoko kwenye cheti na baadaye akakitumia hicho cheti ni halali? Jamani msipotoshe umma, kuna sababu za msingi zinazoweza kubadili jina.
 
Wana JF.
Kubadilisha jina ni jambo la kawaida na linaruhusiwa kisheria ni suala la kwenda mahakamani na kuapa tu kama Paul Makonda aliamua kuchukua jina hilo badala ya Daudi Bashite na akaapa mahakamani hajavunja sharia yoyote ile ni haki yake kisheria acheni hoja za hovyo hovyo.

Mfano kwenye suala la Makonda hii inawezekana
Shule ya msingi ametumia jina la Daudi Bashite

Secondary School akatumia Paul Christian Muyenge

Chuo akatumia Paul Makonda.

Kisheria hii inawezekana kabisa na wala hakuna kosa lolote .
Hebu peleka wazimu wako huko.

Tunachopinga sio kubadili jina, ni kutumia cheti cha mtu mwingine kujiendeleza kitaaluma.
 
Back
Top Bottom