Makonda yuko sahihi. Kubadili jina kuko kisheria

Makonda yuko sahihi. Kubadili jina kuko kisheria

iv yule kaim mkuu wa mkoa alikwepo toka kitsmbo au ..na wakat anaenda kumpkea raic ..mkuu wa mkoa alikuwa wap..duh safar ndo inaanza nn ya kwahel...maana si kwa kuliaa vilee hahaaa tusubir tuone
 
Hapana alitumia cheti cha Paul Christian Muyenge then baadae ndo akabadili jina to Paul Makonda kosa Si kubadili jina bali kutumia cheti. Huyu kiumbe pengine keshatumbuliwa Maana kuna kaimu Mkuu wa mkoa wa Dar sasa na ndiye aliyeenda kumpokea Magu!! Let's wait and see!!

Unaweza kubadili jina hata mara tano mfano Daudi Bashite ...baadae Paul Christian Muyenge halafu ukaja Paul Makonda yote sawa hakuna kosa lolote
 
proxy.jpg
 
Unaweza kubadili jina hata mara tano mfano Daudi Bashite ...baadae Paul Christian Muyenge halafu ukaja Paul Makonda yote sawa hakuna kosa lolote

Ndugu sijasema kubadili jina ndo kosa, kosa lake katumia cheti cha Paul Christian Muyenge.
 
Aiiseee acheni utan kwenye mambo ya msingi,, inshu sio kubadili jina inshu ni kitumia vyeti vya mtu mwingine
 
Eti analia bila ya kuvua miwani, au ile miwani yake ina wiper? kilio cha kinafik
 
Kama alibadili jina form two na NECTA wanabadilisha mkuu mfan la saba ulitumia Daudi....form four Paul
Unaambiwa alimaliza f4 na jina la Daudi akatoka na zero, akanunua cheti cha Paul Christian M, yeye alikuja kubadilisha jina akiwa uraiani
 
Unaweza kubadili jina hata mara tano mfano Daudi Bashite ...baadae Paul Christian Muyenge halafu ukaja Paul Makonda yote sawa hakuna kosa lolote
Kubadili sio tatizo. Tatizo linaanzia mnapoambiwa wekeni mezani ivyo vyeti mlivyobadili majina tuone sahihi ni kipi. Sio mnaleta zilipendwa.
 
Back
Top Bottom