Sifa gani anakosa? Huwazi kuwa kilitokea nini mpaka akawa Mkuu wa mkoa ndani ya muda mfupi kuwa mbunge wa Arusha Kisha Naibu Waziri na Sasa waziri kamili?Ni kuota mchana kweupe kudhani makonda anaweza kuwa Rais, hata kuwa waziri mkuu au Makamu wa Rais hawezi kufika hapo
Bashite hata huko Arusha yenyewe ndani ya chama chao ilibidi abebwe kwa mbeleko mbele ya Bashe kupewa ubunge wa mezani.Makonda hamzidi Trump kwa kubebwa... Kama Maigizo anayoyafanya Makonda kujidai ni mtu wa dini, ndivyo naye Trump alifanya mapaka leo bado yupo Ikulu ya Marekani.
Juzijuzi tu hapa kabomoa sehemu ya jengo la Ikulu ya Marekani, kafanywa nini? Trump anabebwa Sana.
kura inabidi ziwe ngapi ili zijulikane ni za raia?Hakuna ufanano wowote kati ya CCM na Republicans, Marekani CCM wako madarakani kwa kura za raia, Tanzania CCM ipo madarakani bila kura za raia.
Ufanyike uchaguzi wa kweli.kura inabidi ziwe ngapi ili zijulikane ni za raia?
uchaguzi wa kweli ni very subjective, kama jiwe tu aliiba who is mama kizimkazi.Ufanyike uchaguzi wa kweli.
Subjective...uchaguzi wa kweli ni very subjective, kama jiwe tu aliiba who is mama kizimkazi.
Unaelewa mambo kinyume, Kukubalika kwa Bashite ni kutokana na nguvu kutoka juu yake, Bashite ni mtu anayejua kucheza vizuri ngoma ya mtawala yeyote. Wakati JK alijua kucheza vizuri ngoma ya mkwere dhidi ya Lowassa na katiba mpya hadi kuvutana mashati na Warioba, wakati wa jiwe alijua kucheza vizuri kila mdundo wa jiwe, alipokuja Samuya alijua vizuri pia kujipachika kwenye circle yake kwa maslahi yake kiasi cha kuweza kuaminiwa kama mwanajeshi mtiifu, he is good opportunistic creature. Kwa upande mwingine Trump nguvu yake inatoka chini kwa base ya MAGA wengi wakiwa wafia dini, fanatics, racists na wajinga.Makonda hamzidi Trump kwa kubebwa... Kama Maigizo anayoyafanya Makonda kujidai ni mtu wa dini, ndivyo naye Trump alifanya mapaka leo bado yupo Ikulu ya Marekani.
Juzijuzi tu hapa kabomoa sehemu ya jengo la Ikulu ya Marekani, kafanywa nini? Trump anabebwa Sana.
uchaguzi wa mwaka gani unaweza sema ni uchaguzi wa kweli hapa bongo toka tuingie vyama vingi --- zinatofautiana mbinu za kuiba tu, na kadri ccm inavyopoteza ushawishi ndo mbinu kali na wazi zinadhihirikaSubjective...
Na ndivyo alivyo Trump. Hiyo base ya MAGA kwani imetokana na nini?he is good opportunistic creature. .
😁Kwa upande mwingine Trump nguvu yake inatoka chini kwa base ya MAGA wengi wakiwa wafia dini, fanatics, racists na wajinga.
Mada ni kuhusu Bashite kufanana na Trump kwa ushawishi, kuiba uchaguzi kwa CCM ni mtu yoyote hata akiwekwa Stivu Nyerere wanaweza kumpachika kuwa rais kwa nguvu ya dola lakini haimaanishi kwamba atakuwa na ushawishi wowote.uchaguzi wa kweli ni very subjective, kama jiwe tu aliiba who is mama kizimkazi.
Da.... unamfananisha Makonda na Trump? Trump pamoja na vituko vyake lakini ana akili. Huwezi kumweka kundi moja na Makonda. Makonda bila Samia nakuhakikishia anapotea haraka sana. Ndiyo... aliweza kumlaghai hata Magufuli lakini mpaka wakati Magufuli anafariki alishamshtukia. Na mbaya zaidi ndani ya CCM ndiyo kabisaa, ana maadui kila kona. Ndiyo... Bongo tunapata marais wa ajabu ajabu lakini hata Samia kama siyo ''ajali'' asingekaa awe rais.Makonda hamzidi Trump kwa kubebwa... Kama Maigizo anayoyafanya Makonda kujidai ni mtu wa dini, ndivyo naye Trump alifanya mapaka leo bado yupo Ikulu ya Marekani.
Juzijuzi tu hapa kabomoa sehemu ya jengo la Ikulu ya Marekani, kafanywa nini? Trump anabebwa Sana.
Makonda Hana Hela tu, lakini anafanana na Trump kwa mambo mengi sana.Da.... unamfananisha Makonda na Trump? Trump pamoja na vituko vyake lakini ana akili. Huwezi kumweka kundi moja na Makonda. Makonda bila Samia nakuhakikishia anapotea haraka sana. Ndiyo... aliweza kumlaghai hata Magufuli lakini mpaka wakati Magufuli anafariki alishamshtukia. Na mbaya zaidi ndani ya CCM ndiyo kabisaa, ana maadui kila kona. Ndiyo... Bongo tunapata marais wa ajabu ajabu lakini hata Samia kama siyo ''ajali'' asingekaa awe rais.
Trump ni populist aliyeweza kuwatimua hadi vigogo wa Republicans kama wakin Bush, Pompeo, Mike Pence, John Bolton na wengine wengi kutoka chamani kupitia nguvu ya warugaruga wa MAGA.Na ndivyo alivyo Trump. Hiyo base ya MAGA kwani imetokana na nini?
Kwani anayemfanya mtu fulani awe rais ni nani?, kama sio wewe, pia sio mimi, sio mtu yoyote!, anayefanya fulani awe kiongozi, mbunge, waziri, waziri mkuu, makamu wa rais na rais, ni YEYE, hivyo kama amepangiwa na itakuwa, na kama hajapangiwa, hawi!.Ni kuota mchana kweupe kudhani makonda anaweza kuwa Rais, hata kuwa waziri mkuu au Makamu wa Rais hawezi kufika hapo
Trump anabebwa? Inaonekana haufuatilii siasa. Trump naweza mfananisha na JPM ni "cult figures" yaani watu waliojenga ufuasi either kwa mazuri au mabaya ila wana lenga target fulani ya wapiga kura.Makonda hamzidi Trump kwa kubebwa... Kama Maigizo anayoyafanya Makonda kujidai ni mtu wa dini, ndivyo naye Trump alifanya mapaka leo bado yupo Ikulu ya Marekani.
Juzijuzi tu hapa kabomoa sehemu ya jengo la Ikulu ya Marekani, kafanywa nini? Trump anabebwa Sana.