Makonda ni Trump wa CCM... Ole wetu!!

Makonda ni Trump wa CCM... Ole wetu!!

Sifa gani anakosa? Huwazi kuwa kilitokea nini mpaka akawa Mkuu wa mkoa ndani ya muda mfupi kuwa mbunge wa Arusha Kisha Naibu Waziri na Sasa waziri kamili?
Aliyempa mkuu wa mkoa wa DSM ni mimi, JPM alikuwa anashinda JF, na alikuwa ananikubali kichizi!, siku moja usiku wa mwezi Mar 12, 2016alikuwa anline jf, nikapandisha bandiko hili Nimemkubali Sana DC Makonda, anafaa kuwa Mkuu wa Mkoa Dar es Salaam usiku huo huo alimpigia mtu simu, na kumwagiza alikute fail la Konda Boy, mezani kwake asubuhi.
Kesho yake March 13, Konda Boy aliteuliwa RC, DSM!.

P
 
zitto junior leo hii unazungumzia mambo ya " Cult leader" na blah blah (not in a negative way) zingine kwa kuwa Trump keshafikia kilele chake Cha ubinadamu na madaraka.

Hivi kwa nini Trump hakwenda vitani Vietnam? Kama Makonda alivyo, ndivyo Trump naye alivyotumia njia ya familia Yao kufahamika kukwepa mambo mengi ya kisheria.

Tofauti yao trump aliukuta mfumo uliombeba lakini Makonda ndiyo anautengeneza. Jee wanamtandao hawambebi Makonda?
 
Da.... unamfananisha Makonda na Trump? Trump pamoja na vituko vyake lakini ana akili. Huwezi kumweka kundi moja na Makonda.
Jamaa ana akili sana!, just imagine, baada ya kuzungusha, akachukua vyeti vay mtu, akaingia darasani pale Nyegezi akapasua!, akaja Mbegani, akapasua!, akaenda MUCCOBS, akapasua!, amefanya Masters, mytashangaa ana Ph. D!.

P
 
zitto junior leo hii unazungumzia mambo ya " Cult leader" na blah blah (not in a negative way) zingine kwa kuwa Trump keshafikia kilele chake Cha ubinadamu na madaraka.

Hivi kwa nini Trump hakwenda vitani Vietnam? Kama Makonda alivyo, ndivyo Trump naye alivyotumia njia ya familia Yao kufahamika kukwepa mambo mengi ya kisheria.

Tofauti yao trump aliukuta mfumo uliombeba lakini Makonda ndiyo anautengeneza. Jee wanamtandao hawambebi Makonda?
Trump hajabebwa mkuu, kapambana sana imagine wasanii, Media, marais wastaafu, mahakama, kesi ya ubakaji, kufilisiwa mali, madeni ya mabilioni, kukataliwa hadi na viongozi wa Chama chake lakini bado aliweza kusimama mwenyewe na kushinda 2024.

Niambie kabebwa wapi mkuu??

Ila Makonda ndio anabebwa maana kaanza kwa kupewa teuzi weeeh ni mwaka jana pekee ndio kashinda ubunge ila 2020 aliangushwa vibaya sana licha ya kuwa endorsed na JPM. Na kama sio teuzi ya samia ndio alikwisha futika kisiasa.

Sasa unawezaje sema mtu self made kama Trump kabebwa? Huyo makonda anaweza survive nje ya mfumo?
 
Makonda Hana Hela tu, lakini anafanana na Trump kwa mambo mengi sana.
Ungeniambia kuwa Magufuli ndiye alikuwa na na vi-elements kama vya Trump ningekubali. Makonda na Trump ni mbingu na nchi. Kama umeshamsoma Makonda utajua kuwa ni fisadi wa kiwango cha juu, hajali lolote kuhusu nchi na wananchi bali yeye kufaidika.
 
Title imebadirishwa acheni hizo basi hawezi kua na hatokua hata mfanyaje mnataka kulazimisha mambo
 
Kwani anayemfanya mtu fulani awe rais ni nani?, kama sio wewe, pia sio mimi, sio mtu yoyote!, anayefanya fulani awe kiongozi, mbunge, waziri, waziri mkuu, makamu wa rais na rais, ni YEYE, hivyo kama amepangiwa na itakuwa, na kama hajapangiwa, hawi!.
P
Hajapangiwa na hawi.. I don't like him in short simkubari hata uni convince vipi sipo tayari kumkubari na sababu ninazo yaan mara 100 useme somebody Chalamila ila sio DAB hata uniambie somebody Magoti atakua nitakuambia haina shida ila DAB hapana wewe niambie Josephat Gwajima atakua rais nitakuambia upo sahihi kabisa ila sio DAB Daudi Alberto Bashite ni HAPANA HAFAI KUA RAIS
 
🤣
Nathibitisha
  1. Kwanza naomba kukiri, huyu dogo, mimi namkubali sana kitambo, ni mimi ndiye nilimuumbia u RC Nimemkubali Sana DC Makonda, anafaa kuwa Mkuu wa Mkoa Dar es Salaam
  2. Ni mtu mwenye upako Mafanikio ya Makonda ni Uthibitisho Wa Jiwe walilolikataa Waashi litafanywa kuwa Jiwe Kuu la Pembeni
  3. Ilikuwa Baada ya Magufuli, 2025 Makonda atatufaa sana kwasababu ana uthubutu kuliko hata JPM!
  4. Ndipo JPM akaamua kurejea kupitia kwake Bado kuna ubishi kuwa hiki ni chuma? Je, chuma hiki ni chuma kingine ila ni kama kile au chuma hiki ni kile kile kimerejea kivingine?
  5. Ni mpakwa mafuta wa Bwana Wale mnaosubiri kwa hamu Makonda atumbuliwe, mtasubiri sana!. Ukiwa ni mpakwa mafuta, ni mpakwa mafuta!
Anayeziweka serikali za mataifa ni YEYE, hivyo urais unapangwa na YEYE na unatolewa kwa yeyote YEYE aliyempangia, kama ni yeye ndie aliyepangiwa na YEYE, then ni yeye!.

P.
yani wewe kweli kichwa maji, mirija ya fahamu Ishakata, umebaki kuropoka km cartoon la AI 🚮🚮
 
Back
Top Bottom