Makonda: Mimi sio mwanasiasa, sitafuti sifa za kijinga

Mkuu wa mkoa wa Dar ametoa kauli hiyo leo Dar wakati alipowatembelea wahanga wa mafuriko mkoa wa daresalam na kuwataka wahame maramoja maeneo hayo swali ni kweli wanasiasa wanapokua kwny majukumu yao wanatafuta sifa za kijinga??
anaanza wachokoza tena wakati siasa yeye ndio iliyomuweka hapo na sio elimu, kwani uvccm ni chama cha mziki wa dansi? si ndipo alipotokea
 
Kama sio mwanasiasa hiko cheo amepewa kwa ajili ya utaalamu upi alionao?

Kwanza hata cheti cha Form four tu hana!
 
Naona anaendeleza madongo yake kwa wabunge wanasiasa, wazee wa "kutafuta kick za kijinga". Ni kauli kama hizi ndizo zinazomuongezea "maadui".
 
Arudishe kadi kama sio mwanasiasa. Hivi mtu unawezaje kuwa mwanachama wa chama cha siasa alafu at the same time unajiita wewe sio mwanasiasa? Unafiki.
 
Sawa kabisa..we huoni akina mbowe na lissu kila siku wanatafuta sifa za kijinga au lema katafuta sifa za kijinga akasweka lupango akabaki kulia lia tu? Sasa hivi anaomba suluhu na CCM
4c4e495489b27a51914781148670fb74.jpg
 
Sawa kabisa..we huoni akina mbowe na lissu kila siku wanatafuta sifa za kijinga au lema katafuta sifa za kijinga akasweka lupango akabaki kulia lia tu? Sasa hivi anaomba suluhu na CCM
Akili tope kweli kweli wewe! sidhani hata kama habari umesoma au umejipa wakati wa kufijiri japo kdg.japo najua uwezo wako kiakili nao ni shida!
 
Hivi sasa tumwite jina gani? kwani sasa jina lake kamili linajulikana, kwanini tunamwita jina la mtu mwingine??
 
Back
Top Bottom