Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 102,675
- 126,869
Wote ambao walitaka ubunge waliandika barua kuomba kuachiaHapo sawa aje mtaani sasa kunadi sera zake..
Wote ambao walitaka ubunge waliandika barua kuomba kuachiaHapo sawa aje mtaani sasa kunadi sera zake..
Habari njema sana hiiWataka ubunge wote wamewekwa pembeni
Atabubujikwa na machozi😁😁ataumia sana. maana lile tutusa
Lakini kwa mfumo huu ovu ndiyo wabunge wetu wajaoHabari njema sana hii
Subiri nicheke kwanza mkuu🤣Kuna alieona jina la Lucas Mwashambwa popote jamani? Maana orodha ni ndefu sana. Kama hatakuwepo na safari hii...
.. basi inabidi ajitafakari sana.
Yani makala anaacha uenezi,anaenda kwenye ubunge?Katibu Mwenezi CCM, Makala anaenda Mvomero.
NdioYani makala anaacha uenezi,anaenda kwenye ubunge?
Sasa ngumbaru kama huyo atapewa kazi gani zaidi ya kudhurura tu hapo lumumba?Kuna alieona jina la Lucas Mwashambwa popote jamani? Maana orodha ni ndefu sana. Kama hatakuwepo na safari hii...
.. basi inabidi ajitafakari sana.
Ni demotion au promotion?Ndio
wewe, ukileta matusi nakuporomoshea hapa hapaUnataka nani akusomee?
Huyo kamaliza mission yake Arusha anaenda kugombea Urais sasaitakua kaondolewa Arusha maana aliacha kazi kutwa yupo na Gambo..
Hakuna mission yeyote.Huyo kamaliza mission yake Arusha anaenda kugombea Urais sasa
Atapewa ubunge Arusha mjini, Gambo anapewa thank you.nauliza tu maana list ni ndefu sijasoma.
Hawa ndio eenye nchi yao, wamiliki, sisi ni wapangaji!
Kuna ugomvi mbingu zitausuluhishaLakini kwa mfumo huu ovu ndiyo wabunge wetu wajao
Unasomba kinyesisisomi mavi
Makonda ni mshirikina vibaya sn kumweza siyo rahisiKuna ugomvi mbingu zitausuluhisha