jibu nilichouliza, haya mengine ni yakoNaona upo retired and tired... Bado una mida wa kusoma
itakua kaondolewa Arusha maana aliacha kazi kutwa yupo na Gambo..nauliza tu maana list ni ndefu sijasoma
Unataka ujibiwe ulichouliza ila wewe hutaki kusoma kilichoandikwajibu nilichouliza, haya mengine ni yako
Ubunge Arusha Mjininauliza tu maana list ni ndefu sijasoma
Aliomba kuacha agombee ubunge Arusha mjiniKapigwa chini.
VIle vinora alivyokuwa anatamba navyo mtaani mitaa ya Arusha viliishia jana.
sisomi maviUnataka ujibiwe ulichouliza ila wewe hutaki kusoma kilichoandikwa
ataumia sana. maana lile tutusaKuna alieona jina la Lucas Mwashambwa popote jamani? Maana orodha ni ndefu sana. Kama hatakuwepo na safari hii...
.. basi inabidi ajitafakari sana.
Hapo sawa aje mtaani sasa kunadi sera zake..Aliomba kuacha agombee ubunge Arusha mjini
Most probable reason he is out!Aliomba kuacha agombee ubunge Arusha mjini
Mkuu hili mbona liko wazi anapewa muda wa kujitosa kwenye ubungeKapigwa chini.
VIle vinora alivyokuwa anatamba navyo mtaani mitaa ya Arusha viliishia jana.
CCM haijawahi kumuacha fisadi mwenzake kijiweni hata dak 1Most probable reason he is out!