Makonda, Jitokeze hadharani utuombe radhi wanasheria

Makonda, Jitokeze hadharani utuombe radhi wanasheria

Nadhani tatizo sio kuajiri wanasheria,tatizo ni uwezo wa kutumia robo tatu ya mshahara wake kuripa wanasheria wake,matumizi mengine yote eti asilimia 25% tu,ni suala ambalo haliwezekani kabisa kwa mwanasheria labda awe wakala wa mafisadi
 
Hivi lile agizo la Paul Makonda kuwa kila hospitali na vituo vya Afya kinondoni kuwepo na dawati la Polisi kwa ajili ya kutoa PF 3 lilitekelezwa?

hahahaha! hiki kibonzo sikupata kukisikia. hv huyu Paul Makonda elimu yake ndio tatizo au huwa anajitoa akili wakati mwingine?
 
Last edited by a moderator:
Katoa ajira teh teh kwa wanasheria maana hiyo ni part time yao chezea wanasheria wewe wanaolipwa million 5?kweli awaombe radhi!
 
wanasiasa wengine hawajui kujipima kabla ya kutamka.maneno ukishatamka hayarudi tena mdomoni*2
 
Paulo Makonda anatoa kauli za kukurupuka kama Nape
 
Last edited by a moderator:
Kweli shukrani ya punda mateke, badala ya kunshukuru kwa kuwapa kazo wanasheria wenzenu nyie ndio mnataka awaombe radhi?

Wapo waliosoma sheria waliopigika ambao huo mshahara wa Makonda ata wangekuwa 10 wangeshukuru kugawana.
 
musimshangae jaman yawezekana amewaajiri para-legal ndo mwenyewe anawaita wanasheria, sio kusudio lake ni kutokufahamu ni mara ngapi makonda anaongea pumba so kwa sasa nadhani mimi nishamzoea ili kama hujamzoea huyu dogo ni shida sana.
 
sasa 7 paralegals ndio wagawane 75% ya mshahara wa makonda (after tax)? acha dharau zako mkuu.

Dharau haiji kwa kutoa maelezo ya jinsi gani wanasheria wanaweza kufanya kazi kwa ujira mdogo.Umeshawahi kusikia internships?wengi huwepa nauli tu..,na wengine hawalipwi.
Kiranga ameshakueleza kuna Probono, lakini bado mwakazana tu. Kufanya kazi kwa ujira mdogo au kwa gharama nafuu hakumaanishi kuidharaulisha kazi husika. Ikizingatiwa kinachotolewa kiko inline na legal aid kuliko full blown legal services. Hawa wanasheria hawako pale kutatua matatizo ya wakurugenzi, mameneja au mafisadi wenye fedha, wako pale kuwasaidia wananchi wasio na uwezo kupata haki zao za msingi za kisheria.

Binafsi napongeza uwepo wao, na ninadhani 7 tu hawatoshi. Makonda kama mwanasiasa lazima aweke kiengele cha "dramatics" kwenye ufanyaji siasa wake, ndio wanasiasa wote walivyo. we seriously learn to trim down our expectations of these people.
 
Last edited by a moderator:
Ungeiweka kimahesabu ingekaa vizuri zaidi.
Mkuu wa wilaya hulipwa mmilioni 2 kama mshahara

75% ya mshahara wake ni milioni moja na laki tano.

1500000/7 = 214,285.7

Kweli wanasheria wa Tanzania wanalipwa kidogo sana, hadi @makonda @anaweza @kuajiri 7?.

Hahahaha umenichekesha sana
 
Makonda , ana ule ugonjwa Mtikila aliwahi kuuweka hadharani ......sikumbuki jina ...
 
huo mshahara wa DC hauna makato ya mikopo?PAYE?hao wanasheria watakuwa wanalipwa hela ya wastaafu sio bure!!!!!
 
Kwani kuwa mmawia ni dhambi? Mbona we myao na watu tunakuona ni binadamu wa kawaida?
Mimi siyo myao kijana,ila wamawia nawajua sifa zao,ndiyo maana nikasema una sifa zote za kuwa mmawia
 
Back
Top Bottom