Makonda, Jitokeze hadharani utuombe radhi wanasheria

Makonda, Jitokeze hadharani utuombe radhi wanasheria

Kuna wanasheria tunaendesha nao maguta huku mtaaani ,wanatamani hata job ya 350 kwa mwezi!!

WatashIndwa kuajiriwa Na Paul?

Acheni kujiona nyie waajabu sana!!
 
Petro E. Mselewa

Huyu ndugu yetu Makonda kwa dharau zake hizi atakuja kuishia hewani Kama Rafiki yake Mrisho Ngumbo aliyepata kumtukana mwanasheria wa halmashauri ya wilaya ya korogwe kwa kuishuia elimu yake hadhi. Mbaya zaidi akawatukana wanaume na wana wake wote wa kaskazini kwamba hawana uwezo wa kuzaa mtu atakayeweza kuwa Rais kupitia ile kauli yake kongwe na iliyojaa kejeli alipokuwa na wenzake wa UVCCM mkoa Pwani kuwa " Rais hawezi kutoka kaskazini"

Hawa ni vijana wadogo Mungu awape busara na maisha marefu ili waweze kujifunza busara na kuweka akiba ya Maneno yao.
 
Last edited by a moderator:
Ungeiweka kimahesabu ingekaa vizuri zaidi.
Mkuu wa wilaya hulipwa mmilioni 2 kama mshahara

75% ya mshahara wake ni milioni moja na laki tano.

1500000/7 = 214,285.7

Kweli wanasheria wa Tanzania wanalipwa kidogo sana, hadi makonda anaweza kuajiri 7?.

Hiyo mil 2 ni gross figure au ni net take home?
 
wanasheria saba wanaolipwa na makonda wanaweza kuwa
1. petro mselewa
2. kimomogoro
3. prof. safari
4. kibatala
5. msemwa
6.nyange
7. Msando

kweli makonda unamshahara mkubwa aisee
 
Hivi lile agizo la Paul Makonda kuwa kila hospitali na vituo vya Afya kinondoni kuwepo na dawati la Polisi kwa ajili ya kutoa PF 3 lilitekelezwa?
 
wanasheria wengi sana kitaani hawana kazi tunawatoa mkwanja wa kula sasa peter unalalamika nini,degree ya sheria imekuwa kama ya education.mh hajatudharau ila ndo hali halisi huku mtaani kila mwaka llb wanagraduate 5000 unadhani wote wanaenda wapi au unatafuta umahalufu.

Hata wewe ni mwanasheria kwan
Umahalufu=umaarufu
 
wanasheria wengi sana kitaani hawana kazi tunawatoa mkwanja wa kula sasa peter unalalamika nini,degree ya sheria imekuwa kama ya education.mh hajatudharau ila ndo hali halisi huku mtaani kila mwaka llb wanagraduate 5000 unadhani wote wanaenda wapi au unatafuta umahalufu.

Bila shaka wewe si Mwanasheria.
 
Ni vema tukapata hiyo nukuu ya bwana Makonda, au neno kuajiri linareflect full time?

Maana inaweza kuwa masaa manne kwa wiki wajameni..Ila huyo Madereva mwenyewe simfagilii.

Huyo anahesabu miezi mitatu tu awachie hiyo ofisi ya umma kwani baada ya serikali mpya hawezi kurudu tena kwenye system
 
Paul Makonda ni moja ya mijitu ya hovyo kabisa kuwahi kutokea katika nchi hii. namshangaa jk kwa kugawa vyeo ovyo hata kwa mijitu yenye uwezo mdogo wa utendaji na kufikiri!
 
Last edited by a moderator:
Yote hayo sababu ni Rais wetu anaamini watu ambao ni chini ya kiwango huyo makonda alimpiga mzee ambae ni hazina kuu ya nchi Warioba,baada ya cku cha Jk akamzawadia zawadi ya ukuu wa wilaya, bc kupata ukuu wa wilaya anajiona kaukata sana ulimbukeni m baya jamani
 
Ni vema tukapata hiyo nukuu ya bwana Makonda, au neno kuajiri linareflect full time?

Maana inaweza kuwa masaa manne kwa wiki wajameni..Ila huyo Madereva mwenyewe simfagilii.

Kwanza ile issue ya madereva ameifikisha wapi?
 
Back
Top Bottom