nzalendo
JF-Expert Member
- May 26, 2009
- 12,733
- 14,160
Last edited by a moderator:
Mimi siyo myao kijana,ila wamawia nawajua sifa zao,ndiyo maana nikasema una sifa zote za kuwa mmawia
DC wanalipwa ngazi ya LSSP1 with Basic of 3,560,000 na Net ya 2,349,540.Therefore kwa wanasheria 7,huyu boya anatamba kuwalipa 335,648.57huo mshahara wa DC hauna makato ya mikopo?PAYE?hao wanasheria watakuwa wanalipwa hela ya wastaafu sio bure!!!!!
DC wanalipwa ngazi ya LSSP1 with Basic of 3,560,000 na Net ya 2,349,540.Therefore kwa wanasheria 7,huyu boya anatamba kuwalipa 335,648.57
Ahahahahaa. Jamaa ana dharau sana aiseeUngeiweka kimahesabu ingekaa vizuri zaidi.
Mkuu wa wilaya hulipwa mmilioni 2 kama mshahara
75% ya mshahara wake ni milioni moja na laki tano.
1500000/7 = 214,285.7
Kweli wanasheria wa Tanzania wanalipwa kidogo sana, hadi makonda anaweza kuajiri 7?.
Ungeiweka kimahesabu ingekaa vizuri zaidi.
Mkuu wa wilaya hulipwa mmilioni 2 kama mshahara
75% ya mshahara wake ni milioni moja na laki tano.
1500000/7 = 214,285.7
Kweli wanasheria wa Tanzania wanalipwa kidogo sana, hadi makonda anaweza kuajiri 7?.[/Q
Ina maana Wanasheria hao wanalipwa chini ya kima cha chini cha serikali. Kima cha chini cha serikali (yaani kwa dereva anayeajiriwa kwa mara ya kwanza) ni sh. 265,000 kwa sasa.
acha uropokaji wewe! ni mkuu wa idara ipi analipwa 3M? wakuu wa idara, hata wale wanaokaribia kustaafu, wanaogelea ndani ya 2M.
usilete ubishi wa kikurya hapa,wewe unadhani basic salary ya mkuu wa idara ni shilingi ngapi
DC wanalipwa ngazi ya LSSP1 with Basic of 3,560,000 na Net ya 2,349,540.Therefore kwa wanasheria 7,huyu boya anatamba kuwalipa 335,648.57
Hiyo mil 2 ni gross figure au ni net take home?
DC wanalipwa ngazi ya LSSP1 with Basic of 3,560,000 na Net ya 2,349,540.Therefore kwa wanasheria 7,huyu boya anatamba kuwalipa 335,648.57
Wewe Ni Muongo Sana DC halipwi kiasi hicho Mbona unapenda kuongea uwongo? Mshahara wa DC sio huo ulioutaja!
hivi hawa huwa hawana marupurupu na allowances jaman? huwa naona nyumba, gari, dereva..nazan kuna na vingine vingine.. ukitotal up dc anaweza kuwa anatumia hata ka ten mln flan monthlyKati ya yeye na wewe nani muongo? Yeye kaweka data wew unabisha maneno matupu.
Kama unajua sio huo si utaje unaoujua, watu wengine bwana mmekaa kimbea sana