Makonda, Ita MEDIA omba msamaha watanzania

Yani Mo atasahau! Roma!? Wote waliotekwa!?!? Waliouawa!!!familia zao zitasahau!?!? Clouds,!?!Walioporwa,mali!? Harmonize aliambiwa aliambiwa anyooke central!!😂😂😂😂😂
Kwangwaru ilimuokoa Harmonize
 
Aturudishie azory na ben saa 8 kwanza ndipo tumsamehe, au atuambie aliwafukia wapi, tuwape heshima ya maziko
 
Watu walikuwa wakitekwa kipindi kile alikuwa anakuja anasema subirini atapatikana tuu, yale mambo ya watu kutekwa na viroba vya maiti kuelea baharini naona yameisha siku hizi
 
Kikosi cha wajulikana kimekosa mlipaji nadhani kimesambaratika.
 
Hakuna mtawala yeyeto duniani aliyewahi Pambana na watu na akawashinda toka kuumbwa kwa dunia wote walikimbiza upepo. Yaani uwashinde matajiri, freemason, wachawi, Wana maombi, masikini, watu wa Mungu, nk. Wwe ni nani katika dunia ukiwashinda kwenye Nuru watakushinda kwenye giza. Hii dunia ni kukimbiza upepo tu wote ni wapangaji tusishindane na mwenye nyumba.
 
Wauza ngada wanamsaka Kila Kona

USSR

Kwa akili ya kawaida unadhani wale aliowachafua kuwa ni wauza NGADA watamsamehe hata akiwapigia magoti? Wengine aliowataja wanajulikana kuwa ni watu wa visasi hivyo Makonda hana budi kujizatiti tu kivyake vyake. Mimi ningemshauri arudi kwao Kolomoje hapa mjini watampata tu!!! Yeye mwenyewe ajipime kwani wameishaanza kwa kunyang'anya nyumba ,what next?
 
Hili picha sijui litakuja kuishia wapi

Ila ni fundisho in life :be humble
 
Auze mali zake zote akimbilie nchi nyingine akakae huko aanze maisha mapya, Bongo watampata tuu, ila sijui kama nchi za Ulaya au US watamkubali, na sina uhakika kama bado ana passport, na inawezekana kabisa yupo under surveillance 24/7 kwa sasa
 
Usimchukulie poa Bashite ni maji marefu hawezi kuwa under survelliance kirahisi.

He is a man
 
Hakuna kitu, kachukuliwa nyumba mchana kweuuupe, ukiwa nje ya system you are nothing, system ni kama robot inachukua order kutoka kwa authority bila kuangalia sura wala jina, na kwa jinsi watu wa Magu walivyopigwa chini Baraza la mawaziri inawezekana hata kwenye system wamesafishwa pia
 
hello wanajukwaa,

hapa naongea kama mtu wa "sayari ya 78" baada ya Britanica kukupa ushauri asubuhi kuhusu hali ya usalama wa maisha yako ulivyo, nami nakuomba sana na nakusihi sana mdogo wangu Makonda acha kabisa kuwaomba ushauri hao wazee wa chama unaohisi watakusaidia,

mfano:leo umekutana na" mzee wa chama x" ilikuwa saa 12:46 pm maeneo ya kwa aziz ally, kumuomba kaushauri ufanye nini, mzee kakuambia kinafiki yule ni mmoja ya waliotumwa maana alikuwa na wewe na alikuwa ameongozana na watu wapato 23,alitaka kujua tu umemuitia nini.

nakushauri WAOMBE MSAMAHA WATANZANIA KWA UNYENYEKEVU NA BUSARA ,watanzania ni watu wa kusahau nawe pia watakusamehe na kusahau yaliyopita,umefanya mengi mazuri na mabaya sana , naomba tuanze kurasa mpya, hao wazee wana data zako zote mpaka point "z" huna pa kuchomokea.

nakutakia masikilizo mema mdogo wangu,

dada ako nakupenda sana,

napatikana hapa MZIZIMA(JIJI LENYE HEKA HEKA ZOTE)
Kwenda huko
 
Aje na vyeti vyake vya kidato cha nne
 
Hakuna kitu, kachukuliwa nyumba mchana kweuuupe, ukiwa nje ya system you are nothing, system ni kama robot inachukua order kutoka kwa authority bila kuangalia sura wala jina, na kwa jinsi watu wa Magu walivyopigwa chini Baraza la mawaziri inawezekana hata kwenye system wamesafishwa pia
Watu wa magu wameharibu sana hii nchi
 
hello wanajukwaa,

hapa naongea kama mtu wa "sayari ya 78" baada ya Britanica kukupa ushauri asubuhi kuhusu hali ya usalama wa maisha yako ulivyo, nami nakuomba sana na nakusihi sana mdogo wangu Makonda acha kabisa kuwaomba ushauri hao wazee wa chama unaohisi watakusaidia,

mfano:leo umekutana na" mzee wa chama x" ilikuwa saa 12:46 pm maeneo ya kwa aziz ally, kumuomba kaushauri ufanye nini, mzee kakuambia kinafiki yule ni mmoja ya waliotumwa maana alikuwa na wewe na alikuwa ameongozana na watu wapato 23,alitaka kujua tu umemuitia nini.

nakushauri WAOMBE MSAMAHA WATANZANIA KWA UNYENYEKEVU NA BUSARA ,watanzania ni watu wa kusahau nawe pia watakusamehe na kusahau yaliyopita,umefanya mengi mazuri na mabaya sana , naomba tuanze kurasa mpya, hao wazee wana data zako zote mpaka point "z" huna pa kuchomokea.

nakutakia masikilizo mema mdogo wangu,

dada ako nakupenda sana,

napatikana hapa MZIZIMA(JIJI LENYE HEKA HEKA ZOTE)
Una maanisha awaombe msamaha wauza unga, wanufaikaji wa biashara ya madawa, mashoga, walipaji wa visasi na aliowaita waliowahi kuwa sehemu ya ... hivi recently?hata kama hao watu wangekuwa na nia ya kumsamehe wanaweza kumpa muda kwanza kuona hicho kina kirefu chake anachojitapia

Aisee
 
Back
Top Bottom