Makonda is almost so damn right!

Status
Not open for further replies.
Hivi mkuu unamanisha hawezi kugombea ubunge kuwa hana macho/masikio/mdomo na makalio ya kukaa pale bungeni au unamanisha hana sifa za kugombea sababu ya ufinyu wa akili yake?? Kama kigezo cha 'ukihiyo' wakina Mbunge Lusinde na Msukuma ni Ma genius??

Yani imetolewa order kutoka jumba jeupe kuwa huyu apachikwe jimbo hilo apite kura za maoni mpaka kuapishwa inashindikana??

Acha mahaba mkuu!! Ni lazima tujue kama upinzani tunapambanaje na urasimu huu ila sio kuishi kwa mahaba.
Huyo hawezi kugombea ubunge, labda kama hana akili kabisa ndiyo anaweza kufanya hivyo. Kuna mtu dizaini ya bashite miaka ya nyuma akiitwa Kihiyo aligombea Temeke, waulize waliokuwepo kilichompata.
 
Hivi tunawezaje kuviacha vichwa vyenye akili kama Membe, Lissu, Zitto, January na wengineo na kumruhusu Bashite kuwa mtukufu?

mbona waliachwa wakina malecela kuwa rais waliachwa wakina mwandosya na wengine mashuhuri akawa rais makufuli
 
kwani madhabahu ndio nini au msikitini kama askofu hakutumia njia nzuri ya kumkanya lazima agome kuweni na utaratibu
 
Nasema hivi makonda piga kazi sipangiwi n'a ukinipangia ndo umeharibu kabisa
 
Huyu ataendelea kuwa RC wa Dar na ninasikia ana mpango wa kugombea jimbo la Kawe. Akiwa mbunge anaweza kuwa waziri wa mambo ya ndani.

Hilo ni sahihi kabisa na ndiyo maana ' hatumbuliwi ' hapo kwa sasa kwani kama ' akitumbuliwa ' basi itaweza ' Kuathiri ' sana harakati zake za Kisiasa na akaukosa. Hata hivyo wana CCM wa Kawe huyo siyo chaguo lao na wengi wanamtaka Adamjee kwani amelifanyia makubwa hilo Jimbo miaka ya nyuma alipokuwa Mbunge Wao. Hata mwakani Jimbo la Kawe Moto utawaka!
 
Wanazuga wote Hawa
Who is Musiba ??????
 
Ndiye anayetumia jina lisilo lake. Ndiye anayetumia cheti cha masomo kisicho chake.

Ndiye aliyekwepa kodi, na vifaa vikapigwa mnada. Ndiye pekee anayetajwa na wengi kuwa anaongoza kundi la wasiojulikana.
 

ni kuwa hautaki kusikia Makonda ana prosper!!
 
Nilishangaa kuona anashindana na Waziri wa Fedha kulipia furniture alizoagiza hataki kulipa kodi? Hadi Mh Rais akaingilia kati, nilishangaa sana
Halafu mkuu wakati anaizumgumzia hii ishu (nadhani akiwa Chattle) alikuwa anaongea kwa upoleee. Mwanzo nikadhani ndo ishu ingemuondoa Bash boy. Maana ilikuwa na kila dalili za uhalifu, na mkuu alisema hilo. Lakini wapi! Sijui mpaka aje afanye kituko gani ndo mkuu yamfike shingoni?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…