Makonda: Hii dunia sio mali ya Mungu

Makonda: Hii dunia sio mali ya Mungu

Kwa mujibu wa biblia Makonda yuko sahihi maana ni biblia hiyohiyo imemtaja Shetani kuwa baba wa ulimwengu huu. Maana ya baba wa ulimwengu ni mwenye mamlaka ya juu hapa Duniani. Tusome biblia zetu vizuri jamani. Ni kweli kuwa Mungu aliumba mbingu na nchi/Dunia lkn baada ya uasi shetani alijitwalia sehemu kubwa ya uongozi wa Dunia hii na ndomana hata katika biblia hiyohiyo baada ya Yesu kutoka mlimani kwenye mfungo wa siku 40 alijaribiwa na shetanji kwa namna tofautitofauti ikiwa ni pamoja na kuahidiwa Mali zote za Dunia hii endapo angekubali kumuabudu shetani! Ni nani aweza kuahidi kutoa mali asiyokuwa na mamlaka nayo!!? Mpaka hapo tunagundua kuwa shetani alikuwa na ana mamlaka ya juu hapa Duniani, maana kama ameweza kumjaribu na kumshawishi Yesu kristo ambaye kwetu Wakristo ni Mwana wa Mungu, Bwana na mwokozi wa maisha yetu basi shetani yu'na mamlaka ya juu sana hapa Duniani. <br />Tusome biblia zetu jamani.

Aisee hizi siasa zinawafanya yamkini hata wateule kuwa vipofu.
Mtawatambua kwa matendo yao.

Hii nchi ilijengwa na viongozi wengi wema sana.
Sio kwamba hawa ndio wameanza.
Walikabidhiwa nchi ikiwa katika hali bora na salama sana asikudanganye mtu.
Hii nchi ingekua hovyo hovyo kama tunavyoaminishwa kwa malengo ya kujiita mkombozi wa wanadamu tusingekua ikiwa kwenye usalama uliopo. Tuna Jeshi zuri lenye nidhamu ya hali ya juu duniani, tuna usala wa taifa mzuri sana ,tuna polisi wasiolala usiku na mchana pamoja na kuwa na zana duni na miundo mbinu dhaifu. Tuna mahakama nzuri na majaji wazuri, tuna Bunge na jengo zuri. Tuna dini zisizochangamana na siasa. Tuna makabila yanayoishi pamoja.
Haya yasingelindwa na kusimamiwa na serikali zilizotangulia tungekuta nchi ikiwa imeparaganyika.
Je, tunazidi kuimarika kwenye hayo au tunayumba au tunasingizia kuwa dunia ni ya shetani ili uovu ukionekana usisemwe kwa maana ya kujitetea kuwa ndio mambo ya dunia?!
Hua nashangaa watu wanaposema kuwa hii nchi ni ya shetani na wao ndio wanataka waifanye ya Mungu .
Hizi zinazofanyika sasa ni propaganda za kujijenga kisiasa kwa kuondoa na kufuta sifa nzuri za watu wengine waliolinda utu wa mtanzania.

Mtu anakuambia kuwa dunia ni ya shetani halafu naye yuko duniani hapo hapo. Na usiku kucha anapigania kiti chake tena anatamani apewe kiti cha maisha na apande zaidi kwenye dunia ya shetani.

Dunia ya shetani kweli mana watu mara nyingine wanasema wote tuko sawa, halafu kwa kodi ya wananchi mwingine anatembelea miguu yake na mwingine gari ya mil. 500. na wakiambiwa sio sawa wanasema kamata huyo mchochezi weka ndani
Tumegundua kumbe ni kwa sababu watu wameshagundua kuwa wanatawala dunia ya shetani ambayo mwenye nguvu .

Wakati Yesu alisema ufalme wa Mungu uje ili wote waishi kama malaika,
Kuna waliowahi kusema ni lazima wote waishi kama mashetani . Yaani wato wawe kwenye dunia ya shetani na ufalme wake.

Haya maneno ya dunia ni ya Shetani yalitamkwa ma huyo kiongozi mwenye ushawishi mkubwa sana wa kisasa kwa sasa yaliyotokea kimuujiza watu wakapiga makofi bila kutafakari.
 
Mpelekeeni taatifa Mkuu wa mkoa wa dar es salaam mwambieni kwa niaba ya watumishi wote duniani nampinga kwa maandiko zaidi ya saba yanayokanusha uongo aliouongea hadharani:-

1.kwanza hapo mwanzo MUNGU aliziumba mbingu na dunia.

2.Baba anaitwa Muumba wa mbingu na nchi (dunia)

3.Isaya 45:18
Maana BWANA, aliyeziumba mbingu, asema hivi; Yeye ni Mungu; ndiye aliyeiumba dunia na kuifanya; ndiye aliyeifanya imara; hakuiumba ukiwa, aliiumba ili ikaliwe na watu; Mimi ni BWANA, wala hapana mwingine.

4.Isaya 66:1
BWANA asema hivi, Mbingu ni kiti changu cha enzi, na dunia ni mahali pa kuweka miguu yangu......

5.Mathayo 28:18
Yesu akaja kwao, akasema nao, akawaambia, Nimepewa mamlaka yote mbinguni na duniani.

6.Paulo anasema katika Waefeso 3:14-15
Kwa hiyo nampigia Baba magoti,ambaye kwa jina lake ubaba wote wa mbinguni na wa duniani unaitwa,

7.makonda asichanganye maandiko ,MUNGU anasema anatawala mbinguni na duniani ,maana yake utawala wake upo hapa tayari,dola ipo hapa,usalama wa taifa la duniani tuko hapa tukishirikiana na usalama wa mbinguni......mwambieni aendelee
tu na siasa ,mambo ya MUNGU atuachie tunaotetea maslahi ya MUNGU wa mbingu na dunia!

Nukuu toka kwa Kuhani Philemon Mwansepe

(Zab 24:1)Nchi na vyote viijazavyo ni mali ya Bwana, Dunia na wote wakaao ndani yake.

The earth is the LORD' s, and the fulness thereof; the world, and they that dwell therein.

MITHALI 16:18 Kiburi hutangulia uangamivu; Na roho yenye kutakabari hutangulia maanguko.

Muda si mrefu ataingia ktk ile orodha ya watu waliomdhihaki Mungu na kufa.
 
Hii nchi haiishi vituko,na watu wanampigia makofi
 
Asante sana....umeongea kitu cha msingi sana...uongozi wa sasa unatuaminisha kuwa uongozi uliopita ni kama genge la wahuni tu...sababu ukisikiliza hotuba nyingi za sasa ni kama vile hakuna kitu kilichofanyika kabisa....mbaya zaidi ni kwamba haohao viongozi wa sasa ndio ndo walewale....
 
Bado miaka nane tu....JPM ataondoka....mkuu wa mkoa nae ajiandae kuondoka nae...JPM mwenzake atakua anastaafu..sijui yeye atakua anaenda kufanya nn?
Kwani ye hajui hilo. Unafikiri kakaa kibwege hajipangi
 
Kwa mujibu wa biblia Makonda yuko sahihi maana ni biblia hiyohiyo imemtaja Shetani kuwa baba wa ulimwengu huu. Maana ya baba wa ulimwengu ni mwenye mamlaka ya juu hapa Duniani. Tusome biblia zetu vizuri jamani. Ni kweli kuwa Mungu aliumba mbingu na nchi/Dunia lkn baada ya uasi shetani alijitwalia sehemu kubwa ya uongozi wa Dunia hii na ndomana hata katika biblia hiyohiyo baada ya Yesu kutoka mlimani kwenye mfungo wa siku 40 alijaribiwa na shetanji kwa namna tofautitofauti ikiwa ni pamoja na kuahidiwa Mali zote za Dunia hii endapo angekubali kumuabudu shetani! Ni nani aweza kuahidi kutoa mali asiyokuwa na mamlaka nayo!!? Mpaka hapo tunagundua kuwa shetani alikuwa na ana mamlaka ya juu hapa Duniani, maana kama ameweza kumjaribu na kumshawishi Yesu kristo ambaye kwetu Wakristo ni Mwana wa Mungu, Bwana na mwokozi wa maisha yetu basi shetani yu'na mamlaka ya juu sana hapa Duniani. <br />Tusome biblia zetu jamani.
Hivi ni biblia gani huwa mnasoma?na huwa mnatumia nini kuelewa?Umeleta vitu viwili vyenye muktadha tofauti.Shetani hakupewa na wala hakujipa mamlaka duniani,binadamu kwa kudharau mamlaka yake anamuachia shetani mamlaka kwa kukengeuka sheria za Mungu muumbaji.mwanz,3:1-24.mwanz,6:1-8.dan,2:31-35.Anaye adhibiwa mara zote na Mungu ni mwanadamu kwakuwa ndie aliye mkabidhi hatamu za kuitawala dunia na vyote vilivyomo.Hivyo kuweni makini sana kuelewa muktadha wa kila neno ulilosoma na sio kusoma mistari miwili eti tayari umeelewa.Narudia wewe mwanadamu pamoja na baba yako Adamu ndio mlio dharau haki yenu ya uzaliwa wa kwanza wa Mungu alipo wapa haki ya kutawala dunia na yote mkampa dalali shetani ili mpate haki isiyokuwepo.Mwisho soma yer 23:33-40
 
Tulia bila wivu wako juu yake usikilize tena hadi mwisho..

Ona mgazeti wote umeenda kusoma Bible na ku C&P kuja kuandika majanga huku hauna subira wala hauelewi unayosikiliza.. eeeh

Acha wivu
muke ya BASHITTE
 
Ni rahisi sana kuirudia dini ya babu yangu wa saba!

Labda wakristo wakanushe na kumtenga huyu "chintuhamadako"
 
Mpelekeeni taatifa Mkuu wa mkoa wa dar es salaam mwambieni kwa niaba ya watumishi wote duniani nampinga kwa maandiko zaidi ya saba yanayokanusha uongo aliouongea hadharani:-

1.kwanza hapo mwanzo MUNGU aliziumba mbingu na dunia.

2.Baba anaitwa Muumba wa mbingu na nchi (dunia)

3.Isaya 45:18
Maana BWANA, aliyeziumba mbingu, asema hivi; Yeye ni Mungu; ndiye aliyeiumba dunia na kuifanya; ndiye aliyeifanya imara; hakuiumba ukiwa, aliiumba ili ikaliwe na watu; Mimi ni BWANA, wala hapana mwingine.

4.Isaya 66:1
BWANA asema hivi, Mbingu ni kiti changu cha enzi, na dunia ni mahali pa kuweka miguu yangu......

5.Mathayo 28:18
Yesu akaja kwao, akasema nao, akawaambia, Nimepewa mamlaka yote mbinguni na duniani.

6.Paulo anasema katika Waefeso 3:14-15
Kwa hiyo nampigia Baba magoti,ambaye kwa jina lake ubaba wote wa mbinguni na wa duniani unaitwa,

7.makonda asichanganye maandiko ,MUNGU anasema anatawala mbinguni na duniani ,maana yake utawala wake upo hapa tayari,dola ipo hapa,usalama wa taifa la duniani tuko hapa tukishirikiana na usalama wa mbinguni......mwambieni aendelee
tu na siasa ,mambo ya MUNGU atuachie tunaotetea maslahi ya MUNGU wa mbingu na dunia!

Nukuu toka kwa Kuhani Philemon Mwansepe

(Zab 24:1)Nchi na vyote viijazavyo ni mali ya Bwana, Dunia na wote wakaao ndani yake.

The earth is the LORD' s, and the fulness thereof; the world, and they that dwell therein.

MITHALI 16:18 Kiburi hutangulia uangamivu; Na roho yenye kutakabari hutangulia maanguko.

Naona hujamuelewa BASHITTE anaongelea mungu yupi? Huyo anaemuongelea ni MUNGU WAKE ANAYEISHI MAGOGONI.. hamuongelei huyu tunaye muabudu watu wote wa ulimwengu ''BWANA WA ULIMWENGU'' mungu wa isihaka mungu wa yakubu mungu wa daudi na pia ni MUNGU WA IBRAHIM.
 
Huko ni kulewa kwa madaraka.
Hata shetani kabla hajamuasi Mwenyezi Mungu alijidanganya na kujidhihirishia uwezo wa kimungu na hatimae akadondoshwa kuzimu.

Siku yaja pale gadhabu ya Mungu na upanga wa moto utakavyo washukia madharimu hawa na tambo zao za kishetani.

upload_2017-10-5_8-32-57.png
 
Tulia bila wivu wako juu yake usikilize tena hadi mwisho..

Ona mgazeti wote umeenda kusoma Bible na ku C&P kuja kuandika majanga huku hauna subira wala hauelewi unayosikiliza.. eeeh

Acha wivu
usiye mvivu hebu fafanua dunia yanani kama siyamungu?
 
Wapendwa nimepata kuskia kwa usahihi hotuba ya Mh Makonda bila shaka kiukweli kama siyo yale ya siasa yanayoendelea bila chenga yuko sahihi(nasema kwa hili,siyo eti nahusisha na vyeti vyake na bomoa bomoa na utekwaji wa watu)

Kwa wasomaji wa Biblia,twende kwa usomaji:

Yohana 14:29-30
[29]Na sasa nimewaambia kabla halijatokea, kusudi litakapotokea mpate kuamini.
[30]Mimi sitasema nanyi maneno mengi tena, kwa maana yuaja mkuu wa ulimwengu huu, wala hana kitu kwangu.

Ufunuo wa Yohana 12:10
[10]Nikasikia sauti kuu mbinguni, ikisema, Sasa kumekuwa wokovu, na nguvu, na ufalme wa Mungu wetu, na mamlaka ya Kristo wake; kwa maana ametupwa chini mshitaki wa ndugu zetu, yeye awashitakiye mbele za Mungu wetu, mchana na usiku.

Mathayo 13:25-26
[25]lakini watu walipolala, akaja adui yake akapanda magugu katikati ya ngano, akaenda zake.
[26]Baadaye majani ya ngano yalipomea na kuzaa, yakaonekana na magugu.

Huyu adui aliyepanda magugu(chuki,wivu,ugomvi,talaka,visasi,mauaji,dhuluma,utapeli nk huyo ni shetani)
Na kwa fafanuzi za Yesu anasema konde ni dunia/ulimwengu,

Sasa kiukweli alichokisema Makonda, kwa hapo yuko sahihi, hamaanishi eti dunia siyo ya Mungu kwa umiliki,bali kwa vitendo hivyo,ni ya shetani kabisa maana matendo hayo Mungu hakukusudia yawepo watuni au wanadamuni!

Asanteni wakuu!
 
alichosema kina ukweli fulani lakn kulingana na Biblia dunia yote imeumbwa na Mungu lakini binadamu wa kwanza waliukataa UTAWALA WA MUNGU pale edini kwa kuasi sasa dunia yote inaongozwa na shetani 1yohana 5:19

lakini muda si mrefu utawala wa Mungu utarudishwa duniani na utaziondoa falme/utawala hizi zote soma Daniel 2:44

Tawala zote za kibinadamu hazitaweza kutatua matatizo ya binadamu hata ikiwa kiongozi huyo ana nia kiasi gani 7bu hatukuubwa tuongozwe na utawala Binadamu bali wa Utawala wa Mungu
 
Back
Top Bottom