Makonda: Hii dunia sio mali ya Mungu

Makonda: Hii dunia sio mali ya Mungu

51d08d05c93e35d53ed4fdc11081dd99.jpg

Mmmh jamani mambo gani aya
 
Inaonekana hukulala asubuhi hii umeamka nae! Naona mumeamua kula nae sahani moja japo ni wali mkavu,
 
Tulia bila wivu wako juu yake usikilize tena hadi mwisho..

Ona mgazeti wote umeenda kusoma Bible na ku C&P kuja kuandika majanga huku hauna subira wala hauelewi unayosikiliza.. eeeh

Acha wivu
doooh una nguvu!! Maana wenzio wote wameshachoka kumtetea mungu wenu
 
Bado miaka nane tu....JPM ataondoka....mkuu wa mkoa nae ajiandae kuondoka nae...JPM mwenzake atakua anastaafu..sijui yeye atakua anaenda kufanya nn?
Atamtengenezea njia ya kuwa rais, yeye ndie Mungu wa Chama cha manunuzi, hakuna kinachoshindikana
 
Tulia bila wivu wako juu yake usikilize tena hadi mwisho..

Ona mgazeti wote umeenda kusoma Bible na ku C&P kuja kuandika majanga huku hauna subira wala hauelewi unayosikiliza.. eeeh

Acha wivu
Bashite anakuingilia nyuma?
 



Mpelekeeni taatifa Mkuu wa mkoa wa dar es salaam mwambieni kwa niaba ya watumishi wote duniani nampinga kwa maandiko zaidi ya saba yanayokanusha uongo aliouongea hadharani:-

1.kwanza hapo mwanzo MUNGU aliziumba mbingu na dunia.

2.Baba anaitwa Muumba wa mbingu na nchi (dunia)

3.Isaya 45:18
Maana BWANA, aliyeziumba mbingu, asema hivi; Yeye ni Mungu; ndiye aliyeiumba dunia na kuifanya; ndiye aliyeifanya imara; hakuiumba ukiwa, aliiumba ili ikaliwe na watu; Mimi ni BWANA, wala hapana mwingine.

4.Isaya 66:1
BWANA asema hivi, Mbingu ni kiti changu cha enzi, na dunia ni mahali pa kuweka miguu yangu......

5.Mathayo 28:18
Yesu akaja kwao, akasema nao, akawaambia, Nimepewa mamlaka yote mbinguni na duniani.

6.Paulo anasema katika Waefeso 3:14-15
Kwa hiyo nampigia Baba magoti,ambaye kwa jina lake ubaba wote wa mbinguni na wa duniani unaitwa,

7.makonda asichanganye maandiko ,MUNGU anasema anatawala mbinguni na duniani ,maana yake utawala wake upo hapa tayari,dola ipo hapa,usalama wa taifa la duniani tuko hapa tukishirikiana na usalama wa mbinguni......mwambieni aendelee
tu na siasa ,mambo ya MUNGU atuachie tunaotetea maslahi ya MUNGU wa mbingu na dunia!

Nukuu toka kwa Kuhani Philemon Mwansepe

(Zab 24:1)Nchi na vyote viijazavyo ni mali ya Bwana, Dunia na wote wakaao ndani yake.

The earth is the LORD' s, and the fulness thereof; the world, and they that dwell therein.

MITHALI 16:18 Kiburi hutangulia uangamivu; Na roho yenye kutakabari hutangulia maanguko.

Ni kwamba haujamuelewa, simpo!
 
Makonda is so perverted in every way possible; spiritually, physically and mentally. But again birds of same feathers flock together there.
 
ANGALIENI MSIJE PATA ADHABU Neno linasema hivi ""DUNIANAI NA WOTE WAKAAO NI MALI YA BWANA"
We endelea piga porojo zoko na makonda wako
 
Tulia bila wivu wako juu yake usikilize tena hadi mwisho..

Ona mgazeti wote umeenda kusoma Bible na ku C&P kuja kuandika majanga huku hauna subira wala hauelewi unayosikiliza.. eeeh

Acha wivu
Okey masogange ila sidhani kama huyo jamaa ana wivu naona wewe ndo mwenye wivu.
 
Kwani hapo makonda kakosea nn?
Amefafanua Kama walivoandika kweny Biblia n hapo hajakosea chchte ttzo Watu MNA wivu tu wakidada,

Wenye mapovu ruksa.
 
Kwani hapo makonda kakosea nn?
Amefafanua Kama walivoandika kweny Biblia n hapo hajakosea chchte ttzo Watu MNA wivu tu wakidada,

Wenye mapovu ruksa.
Biblia sio gazeti wewe,kilaza atayajulia wapi kutafsiri neno la Mungu
 
Back
Top Bottom