Makonda: Hii dunia sio mali ya Mungu

Makonda: Hii dunia sio mali ya Mungu

Bado miaka nane tu....JPM ataondoka....mkuu wa mkoa nae ajiandae kuondoka nae...JPM mwenzake atakua anastaafu..sijui yeye atakua anaenda kufanya nn?
Wivu utawaua ndg zangu. Huyu jamaa ameishawashinda hata gwajima ameishaufwata
 
kazi ya albadli imeanza ipo siku atasema muanze kumuabudu subilini tu hata gwajima alisema ipo siku atafanya jambo mpaka mtashangaa yangu macho na masikio nasubili kuona na kusikia makubwa zaidi ya haya
 
Huyu bwana mdogo ameenda mbali kwa kusema hii dunia sio ya mwenyezi Mungu. Je nani muumba wa dunia hii na viumbe vilivyomo. Ni kosa kutafuta kiki za kisiasa kwa kumhusisha Mwenyezi Mungu.
Na cha ajabu kabisa kuna mijitu kibao mule mule ndani kwenye ule mkutano ilikuwa ikimpigia makofi na vigelegele baada ya kuongea huo ujinga....
 
Kwa mujibu wa biblia Makonda yuko sahihi maana ni biblia hiyohiyo imemtaja Shetani kuwa baba wa ulimwengu huu. Maana ya baba wa ulimwengu ni mwenye mamlaka ya juu hapa Duniani. Tusome biblia zetu vizuri jamani. Ni kweli kuwa Mungu aliumba mbingu na nchi/Dunia lkn baada ya uasi shetani alijitwalia sehemu kubwa ya uongozi wa Dunia hii na ndomana hata katika biblia hiyohiyo baada ya Yesu kutoka mlimani kwenye mfungo wa siku 40 alijaribiwa na shetanji kwa namna tofautitofauti ikiwa ni pamoja na kuahidiwa Mali zote za Dunia hii endapo angekubali kumuabudu shetani! Ni nani aweza kuahidi kutoa mali asiyokuwa na mamlaka nayo!!? Mpaka hapo tunagundua kuwa shetani alikuwa na ana mamlaka ya juu hapa Duniani, maana kama ameweza kumjaribu na kumshawishi Yesu kristo ambaye kwetu Wakristo ni Mwana wa Mungu, Bwana na mwokozi wa maisha yetu basi shetani yu'na mamlaka ya juu sana hapa Duniani.
Tusome biblia zetu jamani.
 
Kelele zetu zisizoisha kwa Makonda wala hazitusaidii Sisi pamoja na nchi yetu na kikubwa kila Mtu atimize tu wajibu wake kwa kile kinachompatia mkate wake wa kila siku. Kumuandama Kwenu Makonda ndiyo kunazidi tu kumjenga na kumpa Imani aliyemteua kuwa ana Jemedari wa kweli ambaye ni Kiboko ya Watu. Makelele yenu haya ndiyo yanazidi tu kumkomaza hivyo tuache kila siku kujibiidisha kupaka rangi upepo juu ya suala zima la Makonda. Tunapoteza sana muda juu ya kumjadili Yeye tu kila uchao.
Sawa mama bashite tumekusikia....
 
Mpelekeeni taatifa Mkuu wa mkoa wa dar es salaam mwambieni kwa niaba ya watumishi wote duniani nampinga kwa maandiko zaidi ya saba yanayokanusha uongo aliouongea hadharani:-

1.kwanza hapo mwanzo MUNGU aliziumba mbingu na dunia.

2.Baba anaitwa Muumba wa mbingu na nchi (dunia)

3.Isaya 45:18
Maana BWANA, aliyeziumba mbingu, asema hivi; Yeye ni Mungu; ndiye aliyeiumba dunia na kuifanya; ndiye aliyeifanya imara; hakuiumba ukiwa, aliiumba ili ikaliwe na watu; Mimi ni BWANA, wala hapana mwingine.

4.Isaya 66:1
BWANA asema hivi, Mbingu ni kiti changu cha enzi, na dunia ni mahali pa kuweka miguu yangu......

5.Mathayo 28:18
Yesu akaja kwao, akasema nao, akawaambia, Nimepewa mamlaka yote mbinguni na duniani.

6.Paulo anasema katika Waefeso 3:14-15
Kwa hiyo nampigia Baba magoti,ambaye kwa jina lake ubaba wote wa mbinguni na wa duniani unaitwa,

7.makonda asichanganye maandiko ,MUNGU anasema anatawala mbinguni na duniani ,maana yake utawala wake upo hapa tayari,dola ipo hapa,usalama wa taifa la duniani tuko hapa tukishirikiana na usalama wa mbinguni......mwambieni aendelee
tu na siasa ,mambo ya MUNGU atuachie tunaotetea maslahi ya MUNGU wa mbingu na dunia!

Nukuu toka kwa Kuhani Philemon Mwansepe

(Zab 24:1)Nchi na vyote viijazavyo ni mali ya Bwana, Dunia na wote wakaao ndani yake.

The earth is the LORD' s, and the fulness thereof; the world, and they that dwell therein.

MITHALI 16:18 Kiburi hutangulia uangamivu; Na roho yenye kutakabari hutangulia maanguko.

Tatizo huwa wanajisahau wanaposema "viongozi wa dini wasijiingize kwenye masuala ya kisiasa" vivyo hivyo walipaswa kujua "viongozi Wa siasa hapaswi kuingia kwenye maswala ya kiroho"kwasababu ya iuongo unaokuaga dhahiri kabisa huku wakijua uongo ni kinyume cha maadili ya kiroho!
 
Sitahudhuria popote anapokuwepo bashite, iwe kanisani, mkutano wa ndani wa kisiasa, warsha kongamano, mkutano wa hadhara n.k.

Screenshot_20171005-001706.png
 
Huyu bwana mdogo ameenda mbali kwa kusema hii dunia sio ya mwenyezi Mungu. Je nani muumba wa dunia hii na viumbe vilivyomo. Ni kosa kutafuta kiki za kisiasa kwa kumhusisha Mwenyezi Mungu.
Bashite Maliyamungu Albadri imemkalia kooni kwa 100%
 
kazi ya albadli imeanza ipo siku atasema muanze kumuabudu subilini tu hata gwajima alisema ipo siku atafanya jambo mpaka mtashangaa yangu macho na masikio nasubili kuona na kusikia makubwa zaidi ya haya
Bashite na Lipumba kwa msaada wa Abdalah kambaya Dalali wa Ndumba kwa sasa kawaletea zaidi ya waganga wa kienyeji 200 na wote wapo jijini wanalishwa na kula kwa gharama za Bashite ndiyo maana hamwamini Mungu anamwamini shetani pekee.
 
Shida kubwa hapa ni mihemuko na hasira sipendi kuita wivu. Makonda amezungumza vizuri tu. Kwamba kwa nyakati hizi mapepo yametawala duniani na si ya mungu tena watu wanamuabudu shetani kuliko mungu. Nilitegemea watu wa mungu kuunga mkono na sio kumpinga maana ndio tunayoyaona sasa.
 
Mpelekeeni taatifa Mkuu wa mkoa wa dar es salaam mwambieni kwa niaba ya watumishi wote duniani nampinga kwa maandiko zaidi ya saba yanayokanusha uongo aliouongea hadharani:-

1.kwanza hapo mwanzo MUNGU aliziumba mbingu na dunia.

2.Baba anaitwa Muumba wa mbingu na nchi (dunia)

3.Isaya 45:18
Maana BWANA, aliyeziumba mbingu, asema hivi; Yeye ni Mungu; ndiye aliyeiumba dunia na kuifanya; ndiye aliyeifanya imara; hakuiumba ukiwa, aliiumba ili ikaliwe na watu; Mimi ni BWANA, wala hapana mwingine.

4.Isaya 66:1
BWANA asema hivi, Mbingu ni kiti changu cha enzi, na dunia ni mahali pa kuweka miguu yangu......

5.Mathayo 28:18
Yesu akaja kwao, akasema nao, akawaambia, Nimepewa mamlaka yote mbinguni na duniani.

6.Paulo anasema katika Waefeso 3:14-15
Kwa hiyo nampigia Baba magoti,ambaye kwa jina lake ubaba wote wa mbinguni na wa duniani unaitwa,

7.makonda asichanganye maandiko ,MUNGU anasema anatawala mbinguni na duniani ,maana yake utawala wake upo hapa tayari,dola ipo hapa,usalama wa taifa la duniani tuko hapa tukishirikiana na usalama wa mbinguni......mwambieni aendelee
tu na siasa ,mambo ya MUNGU atuachie tunaotetea maslahi ya MUNGU wa mbingu na dunia!

Nukuu toka kwa Kuhani Philemon Mwansepe

(Zab 24:1)Nchi na vyote viijazavyo ni mali ya Bwana, Dunia na wote wakaao ndani yake.

The earth is the LORD' s, and the fulness thereof; the world, and they that dwell therein.

MITHALI 16:18 Kiburi hutangulia uangamivu; Na roho yenye kutakabari hutangulia maanguko.

kosa la makonda hapa ni nini mbona shetani alimwambia yesu ukiitumikia nakupa dunia yote sasa dunia ni ya shetan au Mungu ,mbona Yesu hakusema dunia ni ya baba yangu acheni kutema mapovu bila kufikiri
 
Nimekaa nimetafakali Kwa akili yangu ya kijinga
Kwa mfano lakini sio kweli
Wewe umejenga nyumba mbili halafu moja ukapangisha halafu nyingine ukakaa wewe hivi Yule mpangaji atasema nyumba ni Mali yake kweli

Note
Hii haiusiani na alichokisema mweshimiwa jamani
 
Wewe ndio huelewi maana ya sala ya Bwana kitheolojia na ndio maana mnapigia makofi ujinga.Dunia ukimtoa Mungu ni tupu tu haina chochote na ujinga wa kiwango cha lami kudhani kuna sehemu katika upeo wa macho yetu kunaitwa mbinguni.Huyo bashite akasome tena na tena hiyo sehemu hiyo ya sala ya Bwana ili aelewe nini maana ya ufalme wako uje.Msipotoshe maandiko kwa kujipatia walimu makundi makundi
Kweli kabisa mkuu
 
Kwa mujibu wa biblia Makonda yuko sahihi maana ni biblia hiyohiyo imemtaja Shetani kuwa baba wa ulimwengu huu. Maana ya baba wa ulimwengu ni mwenye mamlaka ya juu hapa Duniani. Tusome biblia zetu vizuri jamani. Ni kweli kuwa Mungu aliumba mbingu na nchi/Dunia lkn baada ya uasi shetani alijitwalia sehemu kubwa ya uongozi wa Dunia hii na ndomana hata katika biblia hiyohiyo baada ya Yesu kutoka mlimani kwenye mfungo wa siku 40 alijaribiwa na shetanji kwa namna tofautitofauti ikiwa ni pamoja na kuahidiwa Mali zote za Dunia hii endapo angekubali kumuabudu shetani! Ni nani aweza kuahidi kutoa mali asiyokuwa na mamlaka nayo!!? Mpaka hapo tunagundua kuwa shetani alikuwa na ana mamlaka ya juu hapa Duniani, maana kama ameweza kumjaribu na kumshawishi Yesu kristo ambaye kwetu Wakristo ni Mwana wa Mungu, Bwana na mwokozi wa maisha yetu basi shetani yu'na mamlaka ya juu sana hapa Duniani. <br />Tusome biblia zetu jamani.
 
Mpelekeeni taatifa Mkuu wa mkoa wa dar es salaam mwambieni kwa niaba ya watumishi wote duniani nampinga kwa maandiko zaidi ya saba yanayokanusha uongo aliouongea hadharani:-

1.kwanza hapo mwanzo MUNGU aliziumba mbingu na dunia.

2.Baba anaitwa Muumba wa mbingu na nchi (dunia)

3.Isaya 45:18
Maana BWANA, aliyeziumba mbingu, asema hivi; Yeye ni Mungu; ndiye aliyeiumba dunia na kuifanya; ndiye aliyeifanya imara; hakuiumba ukiwa, aliiumba ili ikaliwe na watu; Mimi ni BWANA, wala hapana mwingine.

4.Isaya 66:1
BWANA asema hivi, Mbingu ni kiti changu cha enzi, na dunia ni mahali pa kuweka miguu yangu......

5.Mathayo 28:18
Yesu akaja kwao, akasema nao, akawaambia, Nimepewa mamlaka yote mbinguni na duniani.

6.Paulo anasema katika Waefeso 3:14-15
Kwa hiyo nampigia Baba magoti,ambaye kwa jina lake ubaba wote wa mbinguni na wa duniani unaitwa,

7.makonda asichanganye maandiko ,MUNGU anasema anatawala mbinguni na duniani ,maana yake utawala wake upo hapa tayari,dola ipo hapa,usalama wa taifa la duniani tuko hapa tukishirikiana na usalama wa mbinguni......mwambieni aendelee
tu na siasa ,mambo ya MUNGU atuachie tunaotetea maslahi ya MUNGU wa mbingu na dunia!

Nukuu toka kwa Kuhani Philemon Mwansepe

(Zab 24:1)Nchi na vyote viijazavyo ni mali ya Bwana, Dunia na wote wakaao ndani yake.

The earth is the LORD' s, and the fulness thereof; the world, and they that dwell therein.

MITHALI 16:18 Kiburi hutangulia uangamivu; Na roho yenye kutakabari hutangulia maanguko.

Albadir
 
Huyu jamaa sasa madaraka yamemlevya barabara

Anadiriki kutamka hadharani kuwa dunia siyo Mali ya Mungu??

Hakika sasa hivi ni dhahiri albadir ishaanza kuwatafuna......

More to come.
 
Back
Top Bottom