Makonda apiga marufuku maandamano Dar

Makonda apiga marufuku maandamano Dar

Katiba! Katiba! UKAWA Piganieni ipatikane katiba mpya muondokane na huu UJINGA!
Mkuu hata hii katiba mbovu kabisa waliokula kiapo cha kuilinda na kuitekeleza wanaikanyaga bila kupinga huu udikteta uchwara hata katiba mpya wataichezea wanavotaka
 
Napatwa na mshangao mkubwa kwa wale ambao hutumia kauli ati Raisi anawataka walioshinda tu wafanye siasa.Hii ina mana kwamba Zitto kabwe tu kwa ACT mwenye haki ya kufanya siasa tena Kigoma na kina mrema hawaruhusiwi kabisa mpaka 2020.Kiukweli hii sio misingi ya demokrasia.Maana kuu ya demokrasia ni nguvu ya umma (people's power).Umma una wakilishwa na viongozi wa namna tofauti na mashirika na tasisi mbali mbali.Wapo wataobahatika kupenya ndani ya bunge na wapo wengine watakua nje ya bunge.Kimsingi mawazo ya walio kidogo yaheshimiwe kupitia viongozi wao(minority rights).
 
Ivi kaisha maliza kuondoa mashoga dar je na wale wasiokuwa na ajira nao amewakamata hahahaha kubwa LA mandama yasio na mikia
 
Makonda ni moja ya wateule wa JPM walioshindwa tayari mpaka sasa! 'Like daddy like son' Kazi yake ni kukurupuka. Yaani huyu jamaa ni mtalaamu wa "copy&paste"

Tangu apewe uDC na sasa uRC ni myu wa matamko yasiyo na mashiko!

Sijui nini hasa kinachomfanya ajione superior na kujifanya yuko karibu sana na JPM! Nakumbuka. alipoingia tu madarakani akaanza na uhakiki wa silaha akafaulu kiasi, akaja na nauli bure kwa waalimu akadoda,akaja na Shisha, hola...!akaja na ombaomba patupu na ....!!!

Sasa sielewi kwanini Mteuzi wake hajamyumbua jipu????
Umesahau ile sukari ilofichwa akachukua polisi na media zote ameipata?huyu blaza sio mzima anahisi ana mda mrefu madarakani anapenda kusema daresalaam ni yake hajui wenye dar wanamuangalia kumpimia upepo
 
Mashoga wamemshinda ataweza kupambana na UKUTA? Kwa kudandia mambo huyu naye hajambo, mbona analicheza kwata ambalo sio la kwake? Halafu kuna lugha moja anapenda kuitumia "Mkoa wangu wa Dar es salaam" nani kamwambia huo ni mkoa wake? yeye ni mtumishi tuu katika mkoa huo na sio wa kwake. Wa kwake ni mkewe nyumbani kwake.
Hana hata xmas kumi jijini kaja juzi tu now ushakua mkoa wake watu wanamchora tu but wen it rains it pours hana mda mrefu jijini ataajiuzulu ukuta ukianza
 
Ni kutokana na hotuba ya Rais akiwa singida kusema akatai watu kufanya siasa maeneo waliyoshinda!!

Yeye akijua kabisa dar inamilikiwa na upinzani lazima tuwe wakweli hapa utazuiaje wabunge kuongea na wananchi wao?

Jana amekurupuka tena kama kawaida yake nafikiri itakuwa Mara ya 7kutoa tamko lenye utata baada ya Yale ya

Nauli kwa walimu
Ujenzi wa baa
Mashoga
Shisha
Kuwasaka wasio na kazi maalumu
Machangudoa

Kama kawaida yake karopoka tena !

Daaah yaani katika wakuu wa mikoa wanamwaibisha Mh Rais ni huyu!!

Ushauri Mh Rais mwondoe Makonda Dar kabla ajakuletea matatizo

Mpelekeke ajifunze utawala kwenye mkoa mdogo!!
Kama Katavi,Simiyu,songwe ,Rukwa!!
 
Wewe Nyumbu mshika UKUTA, kuna tofauti kati ya kufanya mkutano wa kuongea na wananchi na kufanya maandamano.
Hata hili hujui??

Kila taarifa mnapotosha kwa faida ya nani ??
 
Wewe Nyumbu mshika UKUTA, kuna tofauti kati ya kufanya mkutano wa kuongea na wananchi na kufanya maandamano.
Hata hili hujui??

Kila taarifa mnapotosha kwa faida ya nani ??
Kwa taarifa yako mi namsapoti magufuli kwa zaidi ya 100% lakini huyu makonda unafanya kazi zisizo zake
Mfano ili swala lilitakiwa kutolewa ufafanuzi na msemaji wa jeshi la polisi Dar na sio makonda !!!
 
Mkuu kwani Ulikuwa hujui kuwa makonda ni mropokaji, hebu soma historia ya kuanza kupewa cheo mpaka amefikia hapo alipo
 
Back
Top Bottom