KakaJambazi
JF-Expert Member
- Jun 5, 2009
- 18,830
- 12,314
Mbona rais kasema mbunge wa jimbo husika anahaki ya kufanya maandamano kila kitongoji na kijiji na akamtaka Mboe akayafanyie hai?
Mmeanza kupotezana humjui hata mwenzio? Mnaanza kuwa wajenzi wa mnara wa babeliWewe Nyumbu mshika UKUTA, kuna tofauti kati ya kufanya mkutano wa kuongea na wananchi na kufanya maandamano.
Hata hili hujui??
Kila taarifa mnapotosha kwa faida ya nani ??
Mkuu.Sasa kama hauwezi kumshitaka Raisi wa JMTZ ni kwa nini unasema kavunja Sheria? Hivi huko Chuoni mnaelewa mnachofundishwa au mnakariri tu? Kama huwezi kumshitaki mtu ina maana hiyo Sheria haimuhusu ni rahisi kihivyo tu!
Mkuu.
Japo mimi si mwanachama wa chama chochote, ila ni vyema tukaisoma katiba ya nchi na kuielewa pindi tujadilipo mambo haya.
Katiba ndio mama wa sheria zingine. Hivyo wakati wowote ni vyema kujua katiba inasema nini kuhusu mamlaka aliyo nayo kiongozi wa nchi husika, lakini pia kinga inayomuwekea muhusika huyo.
Kipindi cha chama kimoja yawezekana haikuwa tabu sana, ila mambo yalibadilika baadaye. Na bahati mbaya sana binadamu tunaongozwa na fikra zetu, ila kama viongozi wa nchi ipo miongozo kadha wa kadha inayotumika kwao kutuongoza, na wa juu kabisa ni katiba.
Sasa, hata kama itaonekana rais/mkuu wa nchi kuna mambo anafanya au alifanya kipindi cha utawala wake basi kwa katiba ya sasa utagundua kuwa kuna kinga dhidi yake anayoipata moja kwa moja. Hii inamaanisha kwamba kushindwa kumshitaki kiongozi wa nchi kwa kuwa katiba hairuhusu basi haitoi jibu la moja kwa moja kuwa mtu huyo hawezi kosea. Hilo ni vyema kutambua.
Kwangu mimi ningeshauri zitafutwe njia mbadala ambazo ni za busara ili tueze fikia Tanzania tunayoi itamani.
Kwanza tupate katiba itakayo akisi hali halisi ya maisha ya sasa. Katiba itakayo tokana na wananchi. Katiba itakayoweza kutoa fursa kwa viongozi wetu kutenda kwa uadilifu wakijua kabisa hawako juu ya sheria.
Pili kila mwananchi ajue wajibu wake kwa taifa ni nini.
Tatu kila raia ajue kutii sheria na kufwata taratibu zilizowekwa na mamlaka husika. Na hizo mamlaka zifanye kazi kwa mujibu wa kanuni na taratibu bila kuvunja sheria za nchi.
Mimi naamini kama nchi, tukijipambanua vizuri na kuweka mazingira safi ya kisheria na kila mtu akajua kabisa kuwa kamwe hawezi kuwa juu ya sheria, lakini pia hata mnyonge akajua anaweza pata haki kutoka katika taasisi na mamlaka zilizowekwa kwa mujibu wa sheria za nchi, basi kama taifa tutaweza kufika pale tunapo tamani.
Mungu ibariki Afrika, Mungu ibariki Tanzania.
Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amepiga marufuku maandamano ndani ya mkoa wa Dar es Salaam. Makonda amesema kuwa kufuatia kauli ya Rais,yeye anaitekeleza.
Makonda amesema kuwa kauli ya Rais ni moja ya mambo aliyoapa kuyatii na kuyatenda. Amesema kuwa hataruhusu wala kukubali kufanyika maandamano mkoani mwake.
Makonda ameanza...
Maoni yangu: Kama Mwanasheria sifurahishwi na kuwekwa kando kwa Sheria zinazoruhusu na kuratibu mikutano ya kisiasa na maandamano. Serikali naiomba ifanye tathmini njema juu ya sakata hili.Where are we heading?
Chanzo: Channel Ten
Ndio maana nimeanza kwa kusema si mwanachama wa chama chochote. Hii ikiwa na maana siegami upande wowote ule. Ila bado kuwa neutral haimaanishi niko kama kisiwa. La hasha, maendeleo yananihusu pia maana ni mtanzania.Ni logic ya kawaida sana kama mtu hashitakiki ina maana yeye ni zaidi ya hiyo sheria yaani yuko juu yake ndiyo maana hakuna kifungu cha kumshitaki sasa mnaposema raisi kavunja Sheria atavunjaje Sheria kama hakuna kifungu cha kumshtaki? Umejuaje kama kaivunja hiyo sheria? Hii ni simple logic!
Ndio maana nimeanza kwa kusema si mwanachama wa chama chochote. Hii ikiwa na maana siegami upande wowote ule. Ila bado kuwa neutral haimaanishi niko kama kisiwa. La hasha, maendeleo yananihusu pia maana ni mtanzania.
Muhimu hapo ilikuwa kueleza nini katiba ya sasa inasema. Pia nini tufanye. Kosa tunalofanya wengi tunaishia kulaumu baadhi ya mambo ila hatutoi njia mbadala ya kufukia pale tunataka fika.
Wewe ni shahidi, mambo mangapi watu wanafanya mitaani bila kujali sheria inasema nini?. Wengine wanataka kuwa juu ya sheria. Nchi hii ili kila kitu kikae sawa shurti tuwe na katiba inayo akisi hali halisi ya dunia ya leo. Katiba itakayo tuwezesha kutenda ilhali tukijua kuwa iko sheria inatuangalia bila kujali ukubwa wa madaraka tuliyo kuwa nayo.
Sasa swali langu ni je?, kama rais yuko juu ya sheria maana yake inatoa tafsiri gani kwa chochote anacho kiamua?, kiwe sahihi au sio sahihi. Nani anaye umia?.Lkn hao ambao wanavunja Sheria za nchi unaweza kuwashitaki kwa maana wako chini ya Sheria za JMTZ lkn Raisi wa JMTZ hakuna sheria ya kumshitaki hivyo maana yake ni kwamba yeye ni zaidi ya hiyo sheria ni rahisi kihivyo tu!
Mmmhh makonda nooMkuu kwani Ulikuwa hujui kuwa makonda ni mropokaji, hebu soma historia ya kuanza kupewa cheo mpaka amefikia hapo alipo
Huyu upepo umewahi kupulizaMaandamano siyo Mikutano
Sasa swali langu ni je?, kama rais yuko juu ya sheria maana yake inatoa tafsiri gani kwa chochote anacho kiamua?, kiwe sahihi au sio sahihi. Nani anaye umia?.
Logic ni kwamba hata rais hayuko juu ya sheria. Ila katiba imempa mamlaka makubwa sana na ana kinga kwa baadhi ya mambo. Kama unaweza pata wosia wa Mwalimu kuhusu kiongozi wa nchi kuisimamia na kuiheshimu katiba. Alichotaka kusema mwalimu ni kuwa isije fika mahali kiongozi wa nchi akaongozwa na mawazo binafsi bila kuzingatia pia katiba.
Jambo la msingi, yawepo mazingira salama ya kufanyia siasa. After all politics zililetwa tu kwetu, kwanini tukose utashi wa kulinda mazingira tunazofanyia?, kwa wote chama tawala na vyama vya upinzani
makonda huenda huwa anaelewa kinyumenyume na si kama mtukufu muheshimiwa sana almost equal to malaika anavyoagizaRaisi si alisema kwa walioshinda maeneo wanaruhusiwa kufanya mikutano na maandamano?
Au Mimi sikumuelewa?
Raisi si alisema kwa walioshinda maeneo wanaruhusiwa kufanya mikutano na maandamano?
Au Mimi sikumuelewa?
Ndio nini hiyo??4+6 = 4 na 6
Haaah watu wameanza kumpinga akiwa mkuu wa wilaya na mambo ya ushoga kwanza juzi tu!!Huyu upepo umewahi kupuliza
Benderaa hiyoooooo