Ciril
JF-Expert Member
- Jan 10, 2011
- 8,558
- 7,168
Hata kama TanZania haitaongozwa na CCM siku zote lk chadema chini ya Lowasa na Mbowe hawezi kuja kuongoza TanZania kamwe!
Hivi vyama vyote ipo siku havitakuwepo ,tutabaki na Utaifa wetu ..Kwa sababu sio wewe uliewafanya wakawepo hapo kama unavyo washambulia , endelea tu kupiga kelele Mkuu..