Kite Munganga
Platinum Member
- Nov 19, 2006
- 1,773
- 952
Makondaa kidali poo
Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam,Paul Makonda amepiga marufuku maandamano ndani ya mkoa wa Dar es Salaam. Makonda amesema kuwa kufuatia kauli ya Rais,yeye anaitekeleza.
Makonda amesema kuwa kauli ya Rais ni moja ya mambo aliyoapa kuyatii na kuyatenda. Amesema kuwa hataruhusu wala kukubali kufanyika maandamano yakifanyika mkoani mwake.
Makonda ameanza...
Maoni yangu: Kama Mwanasheria sifurahishwi na kuwekwa kando kwa Sheria zinazoruhusu na kuratibu mikutano ya kisiasa na maandamano. Serikali naiomba ifanye tathmini njema juu ya sakata hili.Where are we heading?
Chanzo: Habari,Channel Ten usiku huu
haa haa ....Paul Makonda ni mzalendo wa nchi hii.
Wewe ni Mwanasheria gani usiweelewa? Raisi amesema hajakataza Mikutano ya Kisiasa bali ni kwa wale waliochaguliwa tu, wale ambao hawajachaguliwa hawana cha kutuueleza tena kwani walijaribu kutuomba kura tukawasikiliza, kuwapima na kutoa uamuzi wetu ambapo tuliwakataa sasa Mikutano ya nini? Kwa nini wasisubiri kipenga kitakapopulizwa 2020 ndiyo waanze tena?
Kwa nini wale tuliowacxhagua wasipewe nafasi ya kufanya kazi zao? Ni kwa nini Mbunge wa Hai aende Kahama na siyo Hai? Anafwata nini Kahama? Kwa nini Mbunge wa Singida aende Mwanza inamuhusu nini kwa nini asiende Jimboni kwake? Logic iko wapi? Au Kwenye Sherria huwa hamsomi Mathemitic hata utambulisho tu wa kuhusu logic?
Tulipoanza vyama vingi vyama vya upinzani havikuwa na uwakilishi viliruhusiwaje kufanya siasa?Wewe ni Mwanasheria gani usiweelewa? Raisi amesema hajakataza Mikutano ya Kisiasa bali ni kwa wale waliochaguliwa tu, wale ambao hawajachaguliwa hawana cha kutueleza tena kwani walijaribu kutuomba kura tukawasikiliza, kuwapima na kutoa uamuzi wetu ambapo tuliwakataa sasa Mikutano ya nini? Kwa nini wasisubiri kipenga kitakapopulizwa 2020 ndiyo waanze tena?
Kwa nini wale tuliowachagua wasipewe nafasi ya kufanya kazi zao? Ni kwa nini Mbunge wa Hai aende Kahama na siyo Hai? Anafwata nini Kahama? Kwa nini Mbunge wa Singida aende Mwanza inamuhusu nini kwa nini asiende Jimboni kwake? Logic iko wapi? Au Kwenye Sheria huwa hamsomi Mathematics hata utambulisho tu wa kuhusu logic?
Tulipoanza vyama vingi vyama vya upinzani havikuwa na uwakilishi viliruhusiwaje kufanya siasa?
sheria IPI inamruhusu kufanya hivyo.Wewe ni Mwanasheria gani usiweelewa? Raisi amesema hajakataza Mikutano ya Kisiasa bali ni kwa wale waliochaguliwa tu, wale ambao hawajachaguliwa hawana cha kutueleza tena kwani walijaribu kutuomba kura tukawasikiliza, kuwapima na kutoa uamuzi wetu ambapo tuliwakataa sasa Mikutano ya nini? Kwa nini wasisubiri kipenga kitakapopulizwa 2020 ndiyo waanze tena?
Kwa nini wale tuliowachagua wasipewe nafasi ya kufanya kazi zao? Ni kwa nini Mbunge wa Hai aende Kahama na siyo Hai? Anafwata nini Kahama? Kwa nini Mbunge wa Singida aende Mwanza inamuhusu nini kwa nini asiende Jimboni kwake? Logic iko wapi? Au Kwenye Sheria huwa hamsomi Mathematics hata utambulisho tu wa kuhusu logic?