Makonda apiga marufuku maandamano Dar

Makonda apiga marufuku maandamano Dar

Kuna mmoja ameulizwa mnatumia sheria gani kuzuia mikutano ya kisiasa nchini..akajibu hatutumii sheria tunatumia utashi..aibu!
Atasema nini wakati huo ndio ukweli wenyewe?
 
Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam,Paul Makonda amepiga marufuku maandamano ndani ya mkoa wa Dar es Salaam. Makonda amesema kuwa kufuatia kauli ya Rais,yeye anaitekeleza.

Makonda amesema kuwa kauli ya Rais ni moja ya mambo aliyoapa kuyatii na kuyatenda. Amesema kuwa hataruhusu wala kukubali kufanyika maandamano yakifanyika mkoani mwake.
Makonda ameanza...

Maoni yangu: Kama Mwanasheria sifurahishwi na kuwekwa kando kwa Sheria zinazoruhusu na kuratibu mikutano ya kisiasa na maandamano. Serikali naiomba ifanye tathmini njema juu ya sakata hili.Where are we heading?

Chanzo: Habari,Channel Ten usiku huu
Kama mwanasheria waelekeze watu wafanye kazi. Advocacy kwenye awamu hii ni lazima uwe na jambo lenye mashiko ukizingatia MKUU ndo Anamalizia uumbaji. Hataki rapsha. Tuvuteni subira hadi 2019 angalau
 
Ishu ya walimu kupanda bure kwenye daladala ilifikia wapi?

Mashoga na wavutaji wa shisha wameacha?

Kaja na hili la kuzuia maandamano.

Anahitaji kuchunguzwa huyu Jamaa inawezekana ana ukichaa fulani hivi.

Kama uko humu naomba ujibu maswali hayo hapo juu Dar RC.
 
Wewe ni Mwanasheria gani usiweelewa? Raisi amesema hajakataza Mikutano ya Kisiasa bali ni kwa wale waliochaguliwa tu, wale ambao hawajachaguliwa hawana cha kutueleza tena kwani walijaribu kutuomba kura tukawasikiliza, kuwapima na kutoa uamuzi wetu ambapo tuliwakataa sasa Mikutano ya nini? Kwa nini wasisubiri kipenga kitakapopulizwa 2020 ndiyo waanze tena?

Kwa nini wale tuliowachagua wasipewe nafasi ya kufanya kazi zao? Ni kwa nini Mbunge wa Hai aende Kahama na siyo Hai? Anafwata nini Kahama? Kwa nini Mbunge wa Singida aende Mwanza inamuhusu nini kwa nini asiende Jimboni kwake? Logic iko wapi? Au Kwenye Sheria huwa hamsomi Mathematics hata utambulisho tu wa kuhusu logic?
Kamwambie makonda kuwa dsm ni jiji la wajanja wa ukawa hivyo aombe ahamishiwe dodoma au ruvuma
 
Huyo ni kipofu tu. Kweli katika haki lazima isimame. By the way who Makondo? Tanzania was there before him.
 
Huyu
Mkuu wa mkoa wa Dar Paul Makonda amesema yoyote atakayetoka mkoani kuja Dar kufanya maandamano atakuwa ni saizi yake na ataona atakachomfanya, hataki kujaribiwa na mtu
Amesema rais anataka watu wafanye kazi ili wapate maendeleo ili nchi ifikie uchumi wa kati ifikapo mwaka 2O2O

Huyu naye ushamba umemzidi!Hakuna Jua anavaa mawani ya jua?
 
Huyu si ndiye yule anayewaogopa mashoga kwa kuwa wanataka kummaliza? Naye kaamua kukurupuka leo.
Heshima yako mkuu BAK huyu wa kukurupuka anatakiwa kutuambia kwanza
ule mpango wake wa kuhamisha mashoga Dar sijui umefikia wapi ?naona amekuja na tamko lingine lakini hatuwezi kumlaumu sana apewe kazi kubwa kuliko uwezo wake
 
Mtaalamu wa galaxy
salama mkuu.tukutane pale LAND MARK HOTEL kesho saa 3 asubuhi niko hapa dar na nimefikia hapo just come in mapokezi na uliza swissme uzinduzi wa UKUTA.

swissme
 
Ogopa sana kulaaniwa na waikizu ,mpaka atapo enda kumtaka radhi yule Mzee.
 
Ao polic wanaiwapa kibur wawataftie makazi ambayo watakuwa na usalama wakutosha maana kama kikinuka sidhan kan udadi ya wale polic wa kozi za miez sita wanalingana hata robo ya wanaukawa wa dar.
 
Back
Top Bottom