Makonda apiga marufuku maandamano Dar

Makonda apiga marufuku maandamano Dar

Ni kutokana na hotuba ya Rais akiwa singida kusema akatai watu kufanya siasa maeneo waliyoshinda!!

Yeye akijua kabisa dar inamilikiwa na upinzani lazima tuwe wakweli hapa utazuiaje wabunge kuongea na wananchi wao?

Jana amekurupuka tena kama kawaida yake nafikiri itakuwa Mara ya 7kutoa tamko lenye utata baada ya Yale ya

Nauli kwa walimu
Ujenzi wa baa
Mashoga
Shisha
Kuwasaka wasio na kazi maalumu
Machangudoa

Kama kawaida yake karopoka tena !

Daaah yaani katika wakuu wa mikoa wanamwaibisha Mh Rais ni huyu!!

Ushauri Mh Rais mwondoe Makonda Dar kabla ajakuletea matatizo

Mpelekeke ajifunze utawala kwenye mkoa mdogo!!
Kama Katavi,Simiyu,songwe ,Rukwa!!
Nazidi kukuunga mkono na like za kumwaga
 
Katiba ya nchi ndiyo inayomuweka Raisi juu ya sheria na siyo mimi hivyo sina jibu la maswali yako ila nimetoa hali halisi kwamba raisi wa hajavunja Sheria yoyote kwa maana yeye yuko juu ya hiyo sheria ni kama wewe una Kampuni unasema kila Mfanyakazi afike saa Moja unaiandika kwenye Mkataba wa kazi ambao kila Mfanyakazi anausoma kabla ya kusaini sasa wewe mwenye Kampuni ukifika saa mbili au nne Wafanyakazi watasema umevunja sheria? Hakuna kitu kama hicho kwa sababu wewe uko juu ya hiyo sheria ni rahisi kihivyo tu!
Kwa hiyo utakubaliana na mimi katika maazimio niliyo yatoa kuwa ili tufike kule tunataka bila kujali nani anatutawala ni lazima tuwe na katiba inayo punguza hayo madaraka?. Je twajua baada ya miaka kadhaa nani atatuongoza?, na atafanya nini kutumia mammlaka kubwa aliyo pewa na katiba ya sasa?. Nadhani ni muhimu kupata katiba mpya.
 
Mi najiuliza kama Mh Rais alikuwa sawa kwanini huyu aaimkemee kwa tamko lake la Jana??
Sipati picha kama wana ukawa wataamua kufanya mikutano yao kila jimbo walilio shinda hapa dar bwana makonda atafanyaje maana watakuwa wanafuata agizo la mh rais
 
Wewe Nyumbu mshika UKUTA, kuna tofauti kati ya kufanya mkutano wa kuongea na wananchi na kufanya maandamano.
Hata hili hujui??

Kila taarifa mnapotosha kwa faida ya nani ??
Masikini ya mungu wewe hujui unamtukana mwana ccm mwenzako kwa upofu wako,huyo mleta mada ni kada wa hapo lumumba lkn amesema ukweli
 
Wewe Nyumbu mshika UKUTA, kuna tofauti kati ya kufanya mkutano wa kuongea na wananchi na kufanya maandamano.
Hata hili hujui??

Kila taarifa mnapotosha kwa faida ya nani ??
Mshika UKUTA!!!?kwan wewe hapo hujapotosha?
 
Katiba ya nchi ndiyo inayomuweka Raisi juu ya sheria na siyo mimi hivyo sina jibu la maswali yako ila nimetoa hali halisi kwamba raisi wa hajavunja Sheria yoyote kwa maana yeye yuko juu ya hiyo sheria ni kama wewe una Kampuni unasema kila Mfanyakazi afike saa Moja unaiandika kwenye Mkataba wa kazi ambao kila Mfanyakazi anausoma kabla ya kusaini sasa wewe mwenye Kampuni ukifika saa mbili au nne Wafanyakazi watasema umevunja sheria? Hakuna kitu kama hicho kwa sababu wewe uko juu ya hiyo sheria ni rahisi kihivyo tu!
Soma katiba ya nchi kama sikosei ibara ya 46 kifungu cha kwanza hadi cha tatu. Uone Immunity inayo zungumziwa. Lakini katiba pia inasema kuwa anapaswa afuate na kusimamia sheria zilizo wekwa.
 
Mkuu kwani Ulikuwa hujui kuwa makonda ni mropokaji, hebu soma historia ya kuanza kupewa cheo mpaka amefikia hapo alipo
Nakumbuka siku amepata kipondo toka kwa madereva pale ubungo hadi akajificha miguuni mwa kamanda
 
Ni kutokana na hotuba ya Rais akiwa singida kusema akatai watu kufanya siasa maeneo waliyoshinda!!

Yeye akijua kabisa dar inamilikiwa na upinzani lazima tuwe wakweli hapa utazuiaje wabunge kuongea na wananchi wao?

Jana amekurupuka tena kama kawaida yake nafikiri itakuwa Mara ya 7kutoa tamko lenye utata baada ya Yale ya

Nauli kwa walimu
Ujenzi wa baa
Mashoga
Shisha
Kuwasaka wasio na kazi maalumu
Machangudoa

Kama kawaida yake karopoka tena !

Daaah yaani katika wakuu wa mikoa wanamwaibisha Mh Rais ni huyu!!

Ushauri Mh Rais mwondoe Makonda Dar kabla ajakuletea matatizo

Mpelekeke ajifunze utawala kwenye mkoa mdogo!!
Kama Katavi,Simiyu,songwe ,Rukwa!!
Figisu figisu zimeanza..
 
Kawashindwa MASHOGA, ataweza kupambana na Nguvu ya Umma?
Makonda anatetea kitumbua chake. chondechonde nawaombeni cdm msirudi nyuma. kama mbwai na iwe mbwai. kwa dar ccm inalazimisha tu ilishakataliwa na umma....
Makonda nilishamwambia tatzo kutojua wajibu wake hiv kazi ya mkuu wa mkoa ni kuzuia
Shisha,
maandamano
Ushoga,
Au ni kutojua majukumu yako??

Acha kujitoa ufahamu lasivyo Katavi inakuusu
Walimu wanapanda bure mwendokasi?
Wakurupukaji wengi Sana aiseee
R.I.P Kabwe
Mzee wa shisha
Sifa on the work

Nadhani kuna watu humu huwa hawamwelewi mako vizuri. Mako ni moja ya waungwana wapenda sifa, majivuno, jeuri, mpiga wazee, mkurupukaji aka mzee wa matamko yasiyo na utekelezaji, mjipendekezaji, yani kwa ujumla ukishamjua jina mnyama flani wa kufugwa hakusumbui. Wengine tunamwelewa kwa sifa hizo hivyo hata hatusumbui.
 
Soma katiba ya nchi kama sikosei ibara ya 46 kifungu cha kwanza hadi cha tatu. Uone Immunity inayo zungumziwa. Lakini katiba pia inasema kuwa anapaswa afuate na kusimamia sheria zilizo wekwa.

Unashindwa kujibu swali langu dogo sana kwamba kama Raisi amevunja sheria ya nchi kwa nini asishitakiwe kama sisi wengine pindi tuvunjapo Sheria za nchi tunavyoshitakiwa?
 
Kwa hiyo utakubaliana na mimi katika maazimio niliyo yatoa kuwa ili tufike kule tunataka bila kujali nani anatutawala ni lazima tuwe na katiba inayo punguza hayo madaraka?. Je twajua baada ya miaka kadhaa nani atatuongoza?, na atafanya nini kutumia mammlaka kubwa aliyo pewa na katiba ya sasa?. Nadhani ni muhimu kupata katiba mpya.

Sijadili kuhusu kama tunahutaji katiba mpya au la bali najaribu kuelezea wale wanaosema raisi wa JMTZ amevunja sheria za JMTZ wkt hawawezi kumshitaki sasa mtu atavunjaje sheria kama huwezi na hakuna sheria ya kumshitaki kwa hilo kosa?
 
Unashindwa kujibu swali langu dogo sana kwamba kama Raisi amevunja sheria ya nchi kwa nini asishitakiwe kama sisi wengine pindi tuvunjapo Sheria za nchi tunavyoshitakiwa?
Mbona ulishajibiwa ndugu?. Katiba iko wazi kwa hicho nilichosema usome na ni jambo linahusu kinga aliyo nayo. Ni mimi nimeshindwa jibu swali au wewe umeshindwa elewa?.

Pia mimi nimejibu na nikatoa way forward. Wewe unazungumziaje hilo?. Maana umekazania yuko juu ya sheria. Lakini hujui kuwa rais wa nchi anaongozwa na katiba?, je hujui kuwa kiongozi wa nchi ana immunity?. Je ni kweli katiba unaisoma au tunaandika tu kwa kile tulicho sikia bila kusoma katiba yenyewe?.

Ndiyo maana inatuwia ugumu sana. Mfano katiba ya sasa wengi hawaijui, hiyo mpya tuitakayo tunaitoa kwenye misingi ipi?.

Vyema tusome. Lakini tusijifunge ufahamu wetu kwa kuangalia leo. Tuitazame kesho pia. Leo tunaongozwa na viongozi ambao kwa namna moja ama nyingine wanafuata katiba.

Je kesho tunajua atakaye tuongoza?, tunajua atatumiaje madaraka aliyo pewa na katiba ya sasa?. Katika hili usiangalie chama.
 
Back
Top Bottom