Makonda anawajibishwa kwa Makosa ya Magufuli why?

Mkuu makonda anawajibishwa kwa kosa moja tu ya kupinga hadharani Ushoga. Hayo mengine ya democrasia ni janja janja tu.


Sent from my iPhone using JamiiForums
Huyo ndio chinja chinja na mkuu wa wasiojulikana sasa wameanza kujulikana. Hakuna mjanja chini ya jua.
 
Ukikkata mti na ukitaka usikusumbue, unatumia njia gani? Unakata mti moja kwa moja au unaanza na matawi?
Hakuna mtu mwenye ubavu wa kufanya jamba analochukia bosi wake na akabaki salama makosa yote yaliyotajwa na Marekani ni makosa yanayoungwa mkono na rais wetu so wakuwajibika hapa ni Makonda au Magufuli? tuache unafiki anayetakiwa kuwekewa vikwazo ni Magufuli.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom