Makonda hajawahi kuwa mfuasi wa Hayati Magufuli bali alikuwa na kazi ya kumuharibia

Mtanke

JF-Expert Member
Nov 19, 2011
715
1,774
Kwasisi tulikuwa ndani ya siasa za 2015 ni kwamba Makonda, Gambo, Nape n.k walikuwa kundi la Marehemu Mzee Membe chini ya mwamvuli wa aliyekuwa Rais wa awamu ya nne Mh. JK. Hata Mama Samia hakuwa mtu Magufuli.

Kama ilivyo ada ya CCM ukichaguliwa kuwa Rais unakuja na list yako ya viongozi na Chama kinakupa list ya watu waliokisaidia hadi ukashinda urais ili uone namna ya kuwaingiza serikalini. Mara nyingi list hii ya Chama huwa ni masalia ya Rais anayeondoka ambaye kwa wakati huo huwa ndio Mwenyekiti wa Chama.

Baada ya Magufuli kushinda list yake ilijaa watu wa Tanroads na waliokuwa nje ya serikali ya JK mfano akina Mpango, Ndalichako, Kabudi n.k. Hawa akina Makonda, Gambo, Nape, Samia n.k walitoka kwenye list ya Chama(JK). Na kwasababu walijua Magufuli hawaungi mkono walijitahidi kuvuma sana ili kumjengea imani kwamba wako nae. Nae aliwavumilia akiwatafutia timing na alihakikisha kabla ya uchaguzi mwingine anawaacha njiani.

Waliposhtukia hilo wakaamua kukimbilia kwenye ubunge. Gambo akatoboa Makonda akafeli. Isingekuwa rahisi kwa Makonda yule kushindwa kura za maoni za ubunge tena ndani ya mkoa wa DSM bila mkono wa Rais! Tena kama angekuwa kipenzi cha Rais angeteuliwa yeye badala ya mshindi halali kama alivyofanyiwa Gwajima.

Makonda alitekeleza kila jambo kwa nguvu kupita kiasi ili kufifisha taswira ya Rais wakati ule. Mpaka ilifika mahali wizara zilimkana. Na mama Samia dakika za mwisho akajitenga nae. Binafsi naamini kinga ya Makonda kwenye Utawala wa Magufuli ilikuwa ni Mama Samia Makamu wa Rais na wala hakuwa Magufuli mwenyewe.

Sasa tusimwangalie Makonda kama mtu wa Magufuli tutakosea sana. Taarifa ikufikie PM
 
Kuna mazuzu hapa yanaamini kuwa Bashite alikuwa toto pendwa wa Magufuli 😂😂

Umefanya vyema sana kuweka wazi hili jambo, mie nawaombea tu wale washamba wasukuma waliokusudiwa kufanyika daraja la kuivusha tena CCM uchaguzi ujao kupitia uteuzi wa Bashite 'mpendwa wa Magufuli' waache ujinga sasa.
 
Kuna mazuzu hapa yanaamini kuwa Bashite alikuwa toto pendwa wa Magufuli

Umefanya vyema sana kuweka wazi hili jambo, mie nawaombea tu wale washamba wasukuma waliokusudiwa kufanyika daraja la kuivusha tena CCM uchaguzi ujao kupitia uteuzi wa Bashite 'mpendwa wa Magufuli' waache ujinga sasa.
Nyie chadema ni wapimbavu kweli nyie si mumewakataa wasukuma nini kinawauma tena
 
Kwasisi tulikuwa ndani ya siasa za 2015 ni kwamba Makonda, Gambo, Nape n.k walikuwa kundi la Marehemu Mzee Membe chini ya mwamvuli wa aliyekuwa Rais wa awamu ya nne Mh. JK. Hata Mama Samia hakuwa mtu Magufuli...
Hapana, Magufuli nimjuaye asingeweza kushindwa kumtoa makonda eti kisa anakingiwa kifua na sa100. Magufuli alimwamini Sana makonda na alimulinda Sana.

Kwenye moyo wa makonda lipo Jina la JPM. Kuna kosa alifanya makonda dakika za mwisho JPM akaamua kumpima Imani. Yes makonda alikuwa mfuasi wa membe.

Lakini JPM alimpa nafasi ktk moyo wake na hakuna ubishi alimpenda kwa kazi. Tamaa mbele mauti nyuma" tafakari!
 
Kwasisi tulikuwa ndani ya siasa za 2015 ni kwamba Makonda, Gambo, Nape n.k walikuwa kundi la Marehemu Mzee Membe chini ya mwamvuli wa aliyekuwa Rais wa awamu ya nne Mh. JK. Hata Mama Samia hakuwa mtu Magufuli.

Kama ilivyo ada ya CCM ukichaguliwa kuwa Rais unakuja na list yako ya viongozi na Chama kinakupa list ya watu waliokisaidia hadi ujashinda urais ili uone namna ya kuwaingiza serikalini. Mara nyingi list hii ya Chama huwa ni masalia ya Rais anayeondoka ambaye kwa wakati huo huwa ndio Mwenyekiti wa Chama.

Baada ya Magufuli kushinda list yake ilijaa watu wa Tanroads na waliokuwa nje ya serikali ya JK mfano akina Mpango, Ndalichako, Kabudi n.k. Hawa akina Makonda, Gambo, Nape, Samia n.k walitoka kwenye list ya Chama(JK). Na kwasababu walijua Magufuli hawaungi mkono walijitahidi kuvuma sana ili kumjengea imani kwamba wako nae. Nae aliwavumilia akiwatafutia timing na alihakikisha kabla ya uchaguzi mwingine anawaacha njiani.

Waliposhtukia hilo wakaamua kukimbilia kwenye ubunge. Gambo akatoboa Makonda akafeli. Isingekuwa rahisi kwa Makonda yule kushindwa kura za maoni za ubunge tena ndani ya mkoa wa DSM bila mkono wa Rais! Tena kama angekuwa kipenzi cha Rais angeteuliwa yeye badala ya mshindi halali kama alivyofanyiwa Gwajima.

Makonda alitekeleza kila jambo kwa nguvu kupita kiasi ili kufifisha taswira ya Rais wakati ule. Mpaka ilifika mahali wizara zilimkana. Na mama Samia dakika za mwisho akajitenga nae. Binafsi naamini kinga ya Makonda kwenye Utawala wa Magufuli ilikuwa ni Mama Samia Makamu wa Rais na wala hakuwa Magufuli mwenyewe.

Sasa tusimwangalie Makonda kama mtu wa Magufuli tutakosea sana. Taarifa ikufikie PM
Inafikirisha sana
 
Umefanya vyema sana kuweka wazi hili jambo, mie nawaombea tu wale washamba wasukuma waliokusudiwa kufanyika daraja la kuivusha tena CCM uchaguzi ujao kupitia uteuzi wa Bashite 'mpendwa wa Magufuli' waache ujinga sasa.
Duuh! Umepiga kwenye mshono
 
Kwakuwa sa100, maembe, Magu, Mzee wa msoga wote ni CCCM!!

Pia huyo alotajwa pia ni CCM.

Upinzani kutegemea kuigawa CCM katika makundi Ili kupata uungwaji mkono Kanda ya ziwa ni kujidanganya.

Njooni na mkakati madhubuti, ikiwa mnataka kuwin kura za Kanda ya ziwa, CCM kwenye uchaguzi huungana bila kujali tofauti za makundi Yao.

Ikiwa mnapenda kuungwa mkono Kanda ya ziwa, Mteueni John Mnyika au Heche kuwa mgombea Urais!!!!

Nimemaliza.
 
Kwasisi tulikuwa ndani ya siasa za 2015 ni kwamba Makonda, Gambo, Nape n.k walikuwa kundi la Marehemu Mzee Membe chini ya mwamvuli wa aliyekuwa Rais wa awamu ya nne Mh. JK. Hata Mama Samia hakuwa mtu Magufuli.

Kama ilivyo ada ya CCM ukichaguliwa kuwa Rais unakuja na list yako ya viongozi na Chama kinakupa list ya watu waliokisaidia hadi ujashinda urais ili uone namna ya kuwaingiza serikalini. Mara nyingi list hii ya Chama huwa ni masalia ya Rais anayeondoka ambaye kwa wakati huo huwa ndio Mwenyekiti wa Chama.

Baada ya Magufuli kushinda list yake ilijaa watu wa Tanroads na waliokuwa nje ya serikali ya JK mfano akina Mpango, Ndalichako, Kabudi n.k. Hawa akina Makonda, Gambo, Nape, Samia n.k walitoka kwenye list ya Chama(JK). Na kwasababu walijua Magufuli hawaungi mkono walijitahidi kuvuma sana ili kumjengea imani kwamba wako nae. Nae aliwavumilia akiwatafutia timing na alihakikisha kabla ya uchaguzi mwingine anawaacha njiani.

Waliposhtukia hilo wakaamua kukimbilia kwenye ubunge. Gambo akatoboa Makonda akafeli. Isingekuwa rahisi kwa Makonda yule kushindwa kura za maoni za ubunge tena ndani ya mkoa wa DSM bila mkono wa Rais! Tena kama angekuwa kipenzi cha Rais angeteuliwa yeye badala ya mshindi halali kama alivyofanyiwa Gwajima.

Makonda alitekeleza kila jambo kwa nguvu kupita kiasi ili kufifisha taswira ya Rais wakati ule. Mpaka ilifika mahali wizara zilimkana. Na mama Samia dakika za mwisho akajitenga nae. Binafsi naamini kinga ya Makonda kwenye Utawala wa Magufuli ilikuwa ni Mama Samia Makamu wa Rais na wala hakuwa Magufuli mwenyewe.

Sasa tusimwangalie Makonda kama mtu wa Magufuli tutakosea sana. Taarifa ikufikie PM
Ok. Tumekusikia. Tuma Salam kwa watu watano Kisha chagua wimbo.
 
Kwasisi tulikuwa ndani ya siasa za 2015 ni kwamba Makonda, Gambo, Nape n.k walikuwa kundi la Marehemu Mzee Membe chini ya mwamvuli wa aliyekuwa Rais wa awamu ya nne Mh. JK. Hata Mama Samia hakuwa mtu Magufuli.
Natarajia huu uzi utakuwa wa kweli. Kwa utangulizi tu huu una ukweli asilimia 60%. Tuendelee
 
Waliposhtukia hilo wakaamua kukimbilia kwenye ubunge. Gambo akatoboa Makonda akafeli. Isingekuwa rahisi kwa Makonda yule kushindwa kura za maoni za ubunge tena ndani ya mkoa wa DSM bila mkono wa Rais! Tena kama angekuwa kipenzi cha Rais angeteuliwa yeye badala ya mshindi halali kama alivyofanyiwa Gwajima.
This make sense
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom