Sasa wewe unataka kwenye b500+ ya bajeti tupateje 0.1 yetu?Akili yenye afya ingemwelekeza kujenga akademi za mpira walau 5 tu nchi nzima, halafu akawa anaweleta hao wacheza mpira wa zamani kuja kuwatia hamasa vijana kwenye hizo akademi za mpira.
Anachokifanya sasa hivi ni kuwafanya hao wachezaji kuwa twiga wa maonesho . Maana wanakuja ili tuwatazame lkn hawaachi chocbote cha maana.
Au Makonda kaamua kutengeneza mfereji wa upigaji kupitia hiyo wizara uchwara isiyokuwa na mcchango wowote hapa nchini tangu tupate uhuru?
Kuna fursa ya upigaji ameigundua katika kuwaleta hawa watu maarufu na kwa vile anajua Samia hapindui kwake anafanya anavyotaka haguswi kabisa.Akili yenye afya ingemwelekeza kujenga akademi za mpira walau 5 tu nchi nzima, halafu akawa anaweleta hao wacheza mpira wa zamani kuja kuwatia hamasa vijana kwenye hizo akademi za mpira.
Anachokifanya sasa hivi ni kuwafanya hao wachezaji kuwa twiga wa maonesho . Maana wanakuja ili tuwatazame lkn hawaachi chocbote cha maana.
Au Makonda kaamua kutengeneza mfereji wa upigaji kupitia hiyo wizara uchwara isiyokuwa na mcchango wowote hapa nchini tangu tupate uhuru?
kukosa hoja ni umaskini mbaya sana aise,Akili yenye afya ingemwelekeza kujenga akademi za mpira walau 5 tu nchi nzima, halafu akawa anaweleta hao wacheza mpira wa zamani kuja kuwatia hamasa vijana kwenye hizo akademi za mpira.
Anachokifanya sasa hivi ni kuwafanya hao wachezaji kuwa twiga wa maonesho . Maana wanakuja ili tuwatazame lkn hawaachi chocbote cha maana.
Au Makonda kaamua kutengeneza mfereji wa upigaji kupitia hiyo wizara uchwara isiyokuwa na mcchango wowote hapa nchini tangu tupate uhuru?
kukosa hoja ni umaskini mbaya sana aise,
na unaoweza kumfanya mtu akawa lofa hivi hivi tukishuhudia.
Mwenyezi Mungu Bariki wadau wote wa JF
hakuna haja kufanya mambo kimya kimya humu jukwaani,Najua hata ww mwenyewe kimya kimya unaungana hoja zao
Kweli gharama za kuwaleta hawa watu ni kubwa sana, kuanzia tickets mpaka kuwaweka just for show off
Hatuna tofauti na mtu ambae anaenda kukodi gari aonekane tajiri
Tunatumia maela meeeeeeeeengi kwa show off
Then mkutano wa waziri mkuu unatuumbua
Lengo lake kuu nadhani lipo kwenye haya maelezo yako hapo juu. ☝️Au Makonda kaamua kutengeneza mfereji wa upigaji kupitia hiyo wizara uchwara isiyokuwa na mcchango wowote hapa nchini tangu tupate uhuru?