Makonda alipunguza sana wanaojiuza

Katika wakuu wa mikoa Makonda alijitahidi sana kuwapunguza wadada wanaojiuza, hivi sasa wameongezeka sana ukipita pale Ubungo kuanzia saa tatu usiku tayari wameshajaa.

Je haya mkuu wetu wa mkoa Hayaoni, kibaya zaidi wengine watoto wadogo hata huwezi kuwadhania.
Na kibaya zaidi pale kuna biashara za watu(Kuna jamaa anauza maziwa sisi wadau wakuu)

VIONGOZI MLIANGALIE HILI KAMATENI, SAA TATU ANAJIUZA KWELI?
Hapo issue ni watoto wadogo, wakubwa haikuhusu, wapo kazini.
 
Kama wako serious kutaka kuzuia dadapoa basi waanzishe sheria ya kunyongwa au miaka 30 jela ukitumikishwa kazi za taifa na kufundishwa ujasiriamali.
 
Unataka wakale polisi? Na sisi wakulungwa unataka tukapoze wapi misuli
 
Katika wakuu wa mikoa Makonda alijitahidi sana kuwapunguza wadada wanaojiuza hivi sasa wameongezeka sana ukipita pale ubungo kuanzia saa tatu usiku tayari wameshajaa.

Je, haya mkuu wetu wa mkoa Hayaoni kibaya zaidi wengine watoto wadogo hata huwezi kuwazania.

Na kibaya zaidi pale kuna biashara za watu.

(Kuna jamaa anauza maziwa sisi wadau wakuu)

VIONGOZI MLIANGALIE HILI KAMATENI SAA TATU ANAJIUZA KWELI?
kilichowaondoa barabarani ni hali ngumu ya uchumi ya wateja wao,watu walikuw na maisha magumu genye wangetoa wapi??unavowaona barabarani ni ishara ya neema, milango inqfunguka, hata bar sasa hivi zinajaa ndo maana kina alex wanalewa siku nzima mpaka wanapiga watu bastola........ Makonda hakufanya lolote zaidi ya kubana watu tu!!
 
Kama hawatishii,usalama wa nchi,au usalama wa raia.waacheni watamalizana na muumba wao!
 
Poleni sana...

Huyo anayeuza Maziwa katikati ya wadada wanaojiuza ahamishwe...
 
Katika wakuu wa mikoa Makonda alijitahidi sana kuwapunguza wadada wanaojiuza, hivi sasa wameongezeka sana ukipita pale Ubungo kuanzia saa tatu usiku tayari wameshajaa.

Je haya mkuu wetu wa mkoa Hayaoni, kibaya zaidi wengine watoto wadogo hata huwezi kuwadhania.
Na kibaya zaidi pale kuna biashara za watu(Kuna jamaa anauza maziwa sisi wadau wakuu)

VIONGOZI MLIANGALIE HILI KAMATENI, SAA TATU ANAJIUZA KWELI?
Biashara ya ngono/uzinzi/ umalaya ni biashara kongwe kuliko zote .... sasaivi inafanyika kwa mitandao huko tinder nk.kajipange upya
 
Back
Top Bottom