Makonda alipunguza sana wanaojiuza

Job Richard

JF-Expert Member
Feb 8, 2013
3,865
2,170
Katika wakuu wa mikoa Makonda alijitahidi sana kuwapunguza wadada wanaojiuza hivi sasa wameongezeka sana ukipita pale ubungo kuanzia saa tatu usiku tayari wameshajaa.

Je, haya mkuu wetu wa mkoa Hayaoni kibaya zaidi wengine watoto wadogo hata huwezi kuwazania.

Na kibaya zaidi pale kuna biashara za watu.

(Kuna jamaa anauza maziwa sisi wadau wakuu)

VIONGOZI MLIANGALIE HILI KAMATENI SAA TATU ANAJIUZA KWELI?
 
Katika wakuu wa mikoa Makonda alijitahidi sana kuwapunguza wadada wanaojiuza, hivi sasa wameongezeka sana ukipita pale Ubungo kuanzia saa tatu usiku tayari wameshajaa.

Je haya mkuu wetu wa mkoa Hayaoni, kibaya zaidi wengine watoto wadogo hata huwezi kuwadhania.
Na kibaya zaidi pale kuna biashara za watu(Kuna jamaa anauza maziwa sisi wadau wakuu)

VIONGOZI MLIANGALIE HILI KAMATENI, SAA TATU ANAJIUZA KWELI?
 
Katika wakuu wa mikoa Makonda alijitahidi sana kuwapunguza wadada wanaojiuza hivi sasa wameongezeka sana ukipita pale ubungo kuanzia saa tatu usiku tayari wameshajaa.
Je haya mkuu wetu wa mkoa Hayaoni kibaya zaidi wengine watoto wadogo hata huwezi kuwazania.
Na kibaya zaidi pale kuna biashara za watu
(Kuna jamaa anauza maziwa sisi wadau wakuu)

VIONGOZI MLIANGALIE HILI KAMATENI SAA TATU ANAJIUZA KWELI?
Saa tatu mbali kote huko! K/nyama mchana tuu unapata hudumaa!
 
Katika wakuu wa mikoa Makonda alijitahidi sana kuwapunguza wadada wanaojiuza hivi sasa wameongezeka sana ukipita pale ubungo kuanzia saa tatu usiku tayari wameshajaa.
Je haya mkuu wetu wa mkoa Hayaoni kibaya zaidi wengine watoto wadogo hata huwezi kuwazania.
Na kibaya zaidi pale kuna biashara za watu
(Kuna jamaa anauza maziwa sisi wadau wakuu)

VIONGOZI MLIANGALIE HILI KAMATENI SAA TATU ANAJIUZA KWELI?
Ubungo sehemu gani weekend hii niende nikaoshe macho?
 
Katika wakuu wa mikoa Makonda alijitahidi sana kuwapunguza wadada wanaojiuza hivi sasa wameongezeka sana ukipita pale ubungo kuanzia saa tatu usiku tayari wameshajaa.
Je haya mkuu wetu wa mkoa Hayaoni kibaya zaidi wengine watoto wadogo hata huwezi kuwazania.
Na kibaya zaidi pale kuna biashara za watu
(Kuna jamaa anauza maziwa sisi wadau wakuu)

VIONGOZI MLIANGALIE HILI KAMATENI SAA TATU ANAJIUZA KWELI?
Acha roho mbaya, hao wanatumia miili yao na si mwili wako kujipatia chochote. Isitoshe wanasaidia kuwaondoa stress wanaume wanaoteseka kwenye mahusiano yao.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Katika wakuu wa mikoa Makonda alijitahidi sana kuwapunguza wadada wanaojiuza hivi sasa wameongezeka sana ukipita pale ubungo kuanzia saa tatu usiku tayari wameshajaa.
Je haya mkuu wetu wa mkoa Hayaoni kibaya zaidi wengine watoto wadogo hata huwezi kuwazania.
Na kibaya zaidi pale kuna biashara za watu
(Kuna jamaa anauza maziwa sisi wadau wakuu)

VIONGOZI MLIANGALIE HILI KAMATENI SAA TATU ANAJIUZA KWELI?
Mkuu wa mkoa mwenyewe ni mteja, awafukuze atakula wapi?
 
Katika wakuu wa mikoa Makonda alijitahidi sana kuwapunguza wadada wanaojiuza hivi sasa wameongezeka sana ukipita pale ubungo kuanzia saa tatu usiku tayari wameshajaa.
Je haya mkuu wetu wa mkoa Hayaoni kibaya zaidi wengine watoto wadogo hata huwezi kuwazania.
Na kibaya zaidi pale kuna biashara za watu
(Kuna jamaa anauza maziwa sisi wadau wakuu)

VIONGOZI MLIANGALIE HILI KAMATENI SAA TATU ANAJIUZA KWELI?
Deal na ishubzako aisee, pita vileee. Viburudisho vinasaidia kupunguza ngunga na ubakaji.
 
Katika wakuu wa mikoa Makonda alijitahidi sana kuwapunguza wadada wanaojiuza hivi sasa wameongezeka sana ukipita pale ubungo kuanzia saa tatu usiku tayari wameshajaa.
Je haya mkuu wetu wa mkoa Hayaoni kibaya zaidi wengine watoto wadogo hata huwezi kuwazania.
Na kibaya zaidi pale kuna biashara za watu
(Kuna jamaa anauza maziwa sisi wadau wakuu)

VIONGOZI MLIANGALIE HILI KAMATENI SAA TATU ANAJIUZA KWELI?
Madada poa wana ubaya gani?

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom